Kimwerymdodo5
JF-Expert Member
- Feb 10, 2019
- 2,043
- 3,305
waambie tushafanya "after corona bash"...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Who cares!
We are free country,no one can interfere with our affair's!I care and I believe all who were made to believe the numbers are getting to zero do care.
On the contrary, how can a dead wood care?
Mgosi those are Tanzanians, our people, shouldn't we care about ourselves?We are free country,no one can interfere with our affair's!
Mkuu tafuta kinywaji baridi piga utulize akili.Kumbe watanzania tuliokuwa tukigundulika na Corona kwa wenzetu tulikuwa tukihesabiwa kwao.
Hata hivyo imeonekana kuwa tumekuwa tukijimwambafai mno kuwa kwetu namba zinaelekea kusoma bila bila kiasi wameamua kuturejeshea watu wetu na namba zetu tuhangaike nazo wenyewe.
Msala mzima uko hapa:
More Tanzanians Test Positive for Coronavirus
We are free country,no one can interfere with our affair's!
waambie tushafanya "after corona bash"...
Rais wa Belarus alisema vodka ni tiba na Kinga ya Coronavirus COVID-19. Kwa kweli nchi Yake ikawa na maambukizi kidogo Sana, ligi yao haikusimamishwa, wamekipiga mwanzo mwishokwani konyagi bei gani??
usiseme niko nje ya mada.
moja kati ya nchi za mabahariaRais wa Belarus alisema vodka ni tiba na Kinga ya Coronavirus COVID-19. Kwa kweli nchi Yake ikawa na maambukizi kidogo Sana, ligi yao haikusimamishwa, wamekipiga mwanzo mwisho
Duh...…….Jitu...………..lina! mweeMara kadhaa najaribu kumuelewesha wife kujikinga COVID-19 lakin aisee Ni changamoto jitu linachukulia poa tu. Yaan linaalika ndugu zake tu. Daah aisee Ni shida hawa viumbe.
NB: ukijaribu kumuelekeza kwaupendo hatari ya kupata COVID19 ananuna siku 5.
Mkuu unesema vizuri sana, lakini ulipokosea ni kumwita mkeo "jitu" hapo mkuu umekosea sana! Mengine nakubaliana na wewe, wake zetu hawa ni changamoto sana yaani hata umweleshe vipi bado hakuelewi kabisa! Hapa kwangu yaani kama COVID-19 haipo kabisa!!Mara kadhaa najaribu kumuelewesha wife kujikinga COVID-19 lakin aisee Ni changamoto jitu linachukulia poa tu. Yaan linaalika ndugu zake tu. Daah aisee Ni shida hawa viumbe.
NB: ukijaribu kumuelekeza kwaupendo hatari ya kupata COVID19 ananuna siku 5.
Kwani unashindwa kupiga marufuju watu kuja hapo nyumbani kwa wakati huu?Mara kadhaa najaribu kumuelewesha wife kujikinga COVID-19 lakin aisee Ni changamoto jitu linachukulia poa tu. Yaan linaalika ndugu zake tu. Daah aisee Ni shida hawa viumbe.
NB: ukijaribu kumuelekeza kwaupendo hatari ya kupata COVID19 ananuna siku 5.