#COVID19 Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19
Sasa tumeshawachokeni na Uzushi wenu na kutaka Kuwatisha Watu. Tanzania CORONA imekwisha kwa Mapenzi yake tu Mwenyezi Mungu pekee.
 
Kama vipi hamia kwa mabeberu ili usiteseke kwa kuona hatufuati mapendekezo ya kibeberu kwenye ugonjwa wa covid 19.
 
Kitu ambacho watu wengi hawajajua ni kwamba huwezi kamwe kudhibiti corona kisayansi kwa sababu ugonjwa huo hauna kinga wala tiba (dawa). Ndio maana tumeamua kuudhibiti ki-IMANI.

Tulimuomba Mungu kama Taifa, na kama mtu mmojammoja. Ninachojua mimi, Mungu huwa anajibu maombi ya wanadamu na Alishatujibu. Mungu ni Baba yetu wa mbinguni, Atupendaye sana! Tunapomlilia huwa anakiona kilio chetu. Ni mwingi wa rehema na fadhili zake ni za milele. Upendo wake kwetu hauna kifani.

JESUS IS LORD!!!!
Ukimwi pia hauna tiba wala kinga lkn maelekezo na elimu namna ya kujikinga yamepunguza sana maambukizi.
 
Sasa tumeshawachokeni na Uzushi wenu na kutaka Kuwatisha Watu. Tanzania CORONA imekwisha kwa Mapenzi yake tu Mwenyezi Mungu pekee.
Umewachoka akina nani?
Au umeichoka wizara ya afya maana ndiyo inatupa mwongozo ambao wao hawausimamii.
 
Ukimwi pia hauna tiba wala kinga lkn maelekezo na elimu namna ya kujikinga yamepunguza sana maambukizi
Kinga ya H.I.V ipo. Ni kuacha ngono (uzinzi na uasherati)

Huwezi kuwa na UKIMWI kisha ukaniambia eti uliipata mbali na kwenye dhambi ya uasherati.
 
Kitu ambacho watu wengi hawajajua ni kwamba huwezi kamwe kudhibiti corona kisayansi kwa sababu ugonjwa huo hauna kinga wala tiba (dawa). Ndio maana tumeamua kuudhibiti ki-IMANI.

Tulimuomba Mungu kama Taifa, na kama mtu mmojammoja. Ninachojua mimi, Mungu huwa anajibu maombi ya wanadamu na Alishatujibu. Mungu ni Baba yetu wa mbinguni, Atupendaye sana! Tunapomlilia huwa anakiona kilio chetu. Ni mwingi wa rehema na fadhili zake ni za milele. Upendo wake kwetu hauna kifani.

JESUS IS LORD!!!!
Kiimani uko sahihi..tatizo ni pale kisima kimoja kinatoa maji matamu na wakati huo huo machungu.
Wanaposema upo tuchukue tahadhari wangestahili waoneshe mfano kwenye hafla kama ile.
 
CCM imeshika hatamu![emoji316][emoji316][emoji316]
1590213780084.jpg
 
Kuna msemo wa kiswahili usemao kuwa: "Nabii huwa hakubaliki kwao". Msemo huu unajidhihirisha katika kipindi hiki; kwa wale wachache walioamua kushupaza shingo zao kwa kupinga kila kinachofanywa na Serikali ya awamu ya tano.

Hapa chini ni baadhi tu maoni ya walimwengu kuhusu mwelekeo aliouchukua Rais John Pombe Magufuli kuhusu janga hili, ambapo sasa nchi nyingi zinafuata nyayo japo kimya kimya....Voila!!.

https://www.rtnnewspaper.com/2020/05/african-country-bans-face-mask-also-reopen-schools-and-shops
 
Mkuu umesahau watu walimlilia Mungu kwa siku tatu...!?
Inamaana Mungu yeye hasikii maombi yetu hata kama wote sisi ni wenye dhambi lazima yupo mmoja mwenye haki mbele ya macho ya Mungu..
 
Chairman ikishakufa inatafuta pakutokea
Leo nimeshuhudia tangazo la kwisha kwa Corona Tanzania. Nimeona kwenye Tv shughuli za kuweka jiwe la msingi la Ikulu Dodoma ile ni Tangazo kwa Dunia kwamba Tanzania Corona Bai Bai maana viongozi wakuu wote wa sasa na wale wastaafu hakuna aliyevaa barakoa na vijana wa JKT na wapiganaji wote hakuna aliyejali barakoa. Safi sana dunia ione na zile propaganda za Kenya ziishe.
 
Mkuu umesahau watu walimlilia Mungu kwa siku tatu...!?
Inamaana Mungu yeye hasikii maombi yetu hata kama wote sisi ni wenye dhambi lazima yupo mmoja mwenye haki mbele ya macho ya Mungu..
Mkuu sijasahau, ila naona historia imejirudia tena kwa Tanzania kuchukua nafasi yake kwenye duru za kimataifa kama ilivyokuwa miaka ya 60/80 wakati wa kupigania uhuru....

Tanzania na hasa Rais JPM atakumbukwa sana na ulimwengu huu kwa msimamo imara pale ambapo kwenye janga hili la COVID19, viongozi wengi walipoonekana kugwaya na kuyumba mbele ya ugonjwa ambao kitakwimu huua asilimia 1% ya idadi ya walioambukizwa.
 
Back
Top Bottom