Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Jiwe anataka hawa wazee wote wafe ili abadilishe katiba atawale milele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukimwi pia hauna tiba wala kinga lkn maelekezo na elimu namna ya kujikinga yamepunguza sana maambukizi.Kitu ambacho watu wengi hawajajua ni kwamba huwezi kamwe kudhibiti corona kisayansi kwa sababu ugonjwa huo hauna kinga wala tiba (dawa). Ndio maana tumeamua kuudhibiti ki-IMANI.
Tulimuomba Mungu kama Taifa, na kama mtu mmojammoja. Ninachojua mimi, Mungu huwa anajibu maombi ya wanadamu na Alishatujibu. Mungu ni Baba yetu wa mbinguni, Atupendaye sana! Tunapomlilia huwa anakiona kilio chetu. Ni mwingi wa rehema na fadhili zake ni za milele. Upendo wake kwetu hauna kifani.
JESUS IS LORD!!!!
Umewachoka akina nani?Sasa tumeshawachokeni na Uzushi wenu na kutaka Kuwatisha Watu. Tanzania CORONA imekwisha kwa Mapenzi yake tu Mwenyezi Mungu pekee.
Kinga ya H.I.V ipo. Ni kuacha ngono (uzinzi na uasherati)Ukimwi pia hauna tiba wala kinga lkn maelekezo na elimu namna ya kujikinga yamepunguza sana maambukizi
But HIV is not contagious!Ukimwi pia hauna tiba wala kinga lkn maelekezo na elimu namna ya kujikinga yamepunguza sana maambukizi
Kiimani uko sahihi..tatizo ni pale kisima kimoja kinatoa maji matamu na wakati huo huo machungu.Kitu ambacho watu wengi hawajajua ni kwamba huwezi kamwe kudhibiti corona kisayansi kwa sababu ugonjwa huo hauna kinga wala tiba (dawa). Ndio maana tumeamua kuudhibiti ki-IMANI.
Tulimuomba Mungu kama Taifa, na kama mtu mmojammoja. Ninachojua mimi, Mungu huwa anajibu maombi ya wanadamu na Alishatujibu. Mungu ni Baba yetu wa mbinguni, Atupendaye sana! Tunapomlilia huwa anakiona kilio chetu. Ni mwingi wa rehema na fadhili zake ni za milele. Upendo wake kwetu hauna kifani.
JESUS IS LORD!!!!
Leo nimeshuhudia tangazo la kwisha kwa Corona Tanzania. Nimeona kwenye Tv shughuli za kuweka jiwe la msingi la Ikulu Dodoma ile ni Tangazo kwa Dunia kwamba Tanzania Corona Bai Bai maana viongozi wakuu wote wa sasa na wale wastaafu hakuna aliyevaa barakoa na vijana wa JKT na wapiganaji wote hakuna aliyejali barakoa. Safi sana dunia ione na zile propaganda za Kenya ziishe.Chairman ikishakufa inatafuta pakutokea
Mkuu sijasahau, ila naona historia imejirudia tena kwa Tanzania kuchukua nafasi yake kwenye duru za kimataifa kama ilivyokuwa miaka ya 60/80 wakati wa kupigania uhuru....Mkuu umesahau watu walimlilia Mungu kwa siku tatu...!?
Inamaana Mungu yeye hasikii maombi yetu hata kama wote sisi ni wenye dhambi lazima yupo mmoja mwenye haki mbele ya macho ya Mungu..