Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna baadhi ya shule za private zishaanza kuulizia ada ya semester ya apr to june while Watoto wako nyumbani!!Wewe unafundisha private najua unaweza mshahara wa mwezi huu. Mzazi gani atakubali kupeleka mtoto shule kwa hali hii?
Hii ni sigara kubwa imefanya kazi yake.sawa mkuu tumekupata.
Shule na vyuo vifunguliwe hali itakapotengamaaWakuu kufuatia hatua zilizochukuliwa na serikali yetu kupambana na covid 19 hakika kama ingekuwa ni janga basi Watanzania tungekwisha tupukutike!
Shughuli zingine zote zinaendelea, shule na vyuo tu ndio vimesimama, sioni ulazima wa vyuo na shule kufungwa kwa kuepuka corona kama janga kwa nchi yetu.
Corona ipo kwaajili ya wazungu huko Ulaya, ni zamu yao sasa wacha iwanyooshe. Huku Africa tunapambana na majanga yetu ya maralia, njaa, ebola na mengine mengi. Wazungu wanataka kulazimisha janga lao liwe la dunia nzima. Haiwezekani.
PM Majaliwa tunaomba usiongeze muda wa kufunga shule na vyuo, watoto warudi kusoma kuanzia tarehe 17 Aprili.
Hii ni JF unaruhusiwa kutumia lugha Kali ila sio kutusi wazazi wa MTUMpumbavu mama yako
Don't be sillyWakuu kufuatia hatua zilizochukuliwa na serikali yetu kupambana na covid 19 hakika kama ingekuwa ni janga basi Watanzania tungekwisha tupukutike!
Shughuli zingine zote zinaendelea, shule na vyuo tu ndio vimesimama, sioni ulazima wa vyuo na shule kufungwa kwa kuepuka corona kama janga kwa nchi yetu.
Corona ipo kwaajili ya wazungu huko Ulaya, ni zamu yao sasa wacha iwanyooshe. Huku Africa tunapambana na majanga yetu ya maralia, njaa, ebola na mengine mengi. Wazungu wanataka kulazimisha janga lao liwe la dunia nzima. Haiwezekani.
PM Majaliwa tunaomba usiongeze muda wa kufunga shule na vyuo, watoto warudi kusoma kuanzia tarehe 17 Aprili.
Tatizo La Mtandao Kutoshika Ni Kubwa Sana Sehemu Nyingi Hapa Tz Tena Hasa Kwa Smartphone Ndio Kabisa. Pia Pamoja Na Kuwa Na Jina Kubwa La Mwana Chuo Kikuu Si Wote Ni Wajuzi Katika Matumizi Ya Mtandao. Hivyo Hoja Yako Kukubalika Na Kukataliwa Yaweza Kuwa 50/50
Tungoje Winter la hapa TZ na EA kwa ujumla lipite ndio tuyajua km tunaendelea kulala au kukeshaWakuu kufuatia hatua zilizochukuliwa na serikali yetu kupambana na covid 19 hakika kama ingekuwa ni janga basi Watanzania tungekwisha tupukutike!
Shughuli zingine zote zinaendelea, shule na vyuo tu ndio vimesimama, sioni ulazima wa vyuo na shule kufungwa kwa kuepuka corona kama janga kwa nchi yetu.
Corona ipo kwaajili ya wazungu huko Ulaya, ni zamu yao sasa wacha iwanyooshe. Huku Africa tunapambana na majanga yetu ya maralia, njaa, ebola na mengine mengi. Wazungu wanataka kulazimisha janga lao liwe la dunia nzima. Haiwezekani.
PM Majaliwa tunaomba usiongeze muda wa kufunga shule na vyuo, watoto warudi kusoma kuanzia tarehe 17 Aprili.
Museven anawashauri watu wake Mazoezi wafanyie majumbani mwao, haina haja kwa wale wanaopenda Mazoezi kwenda kufanyia Mazoezi nje.Upo sahihi... Nawahurumia sana wakenya na waganda wanaofungiwa majumbani
Sent using Jamii Forums mobile app