Mkata-tamaa
Senior Member
- Nov 21, 2018
- 180
- 312
Embu toa mapendekezo matatu tuu katika hiyo orodha yako. By the way hivi Katibu mkuu wa Wizara ya Afya ni Daktari wa binadamu kwa taaluma yake? nikipata jibu nitauliza swali gumu
Namba 6 kwa wauza soko apo umezingua
Wanaojaza soko sio wauzaji, ni sisi tunaoenda kuemea
Wauza soko wote kila mtu ana meza yake na social distance imezingatiwa
Labda sisi tunaoenda kufanya manunuzi ndo tuwekewe ratiba
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa Mkuu nakubaliana na wewe kuwa litakuwa jambo gumu kidogo kuiweka Dar yote kizuizini lakini bora kinga kuliko tiba.Kuweka Dar yote kwenye Karantini ni zoezi Gumu Na expensive ingawa linawezekana.. kupanga ni kuchagua .. lakini bado tunaweza kuweka Karantini maeneo kwa maeneo badala ya Dar yote .. pia kufanya mapendekezo niliyatoa ili kupunguza maambukizi
mi katika comments zangu mada nyingi za Corona niliomba all points of entry kote nchini wawepo wanajeshi ili kukamata wageni wanaoingia kwa kuhonga au kwa njia za panya na pia wanajeshi wawepo vituo vya karantini kuzuia wanaotoroka karantini na kutuletea mauti mitaani ila nadhani wahusika na wasomi kama wewe mna mbinu bora zaidi kuzuia au kupunguza community transmissions!Mawazo yako mengi mazuri, ila hili LA kutumia jeshi siungi mkono.
Badala ya kutumia wanajeshi serikali itumie ma bwana afya wa ngazi zote. Kuanzia ngazi ya mtaa, kijiji, kitongoj, kata, tarafa, wilaya, mkoa hadi taifa kulingana na uhitaji.Mapendekezo ambayo Mr President anatakiwa kufanya .
1. Kwa kuwa ugonjwa umeshafika kwenye community stage transimission , Ningeshauri ile mikoa ambayo case chache zimepatikana.. kungeagizwa test kits za kutosha ili kubaini ukubwa wa Tatizo, Pili kila anayepatikana positive apelekwe kwenye vituo vya karantini.
2. Kwa kuwa ventilator zime prove low rates healing 50% compare to Hydroxychlotoquine + Zinc , pia ni very expensive .. ningeshauri Tanzania itowe order kwa ndugu zetu wa India Watutengenezee hydroxy Ch.. Zinc mseto mara moja na tutume ndege kwenda kuchukua ili zitumike kwa waliotest positive ..
3. Kiwanda cheti cha pharmaceutical kama kinaweza tengeneza mseto huo basi ni wakati mwafaka wa kufanya hivyo.
4. Kwa wagonjwa wenye mild symptoms na wenye ku prove self karantini waruhusiwe kijitibu Nyumbani.
5. Mabaa na Shughuli zote zamikusanyiko isiyo ya lazima zipigwe marufuku.
6 . Wauza masoko wapunguzwe au wauze kwa zamu.. Kuwepo Na mita 2 toka muuza soko mmmoja mpaka mwingine .
7. Serikali ingize barakoa za kutosha Na kutumia wanajeshi kugawa kwenye maeneo mbalimbali na baada ya week mbili iwe ni marufuku kutembea bila barakoa.
6. Mabasi ya mikoani.. yaagizwe kubeba mtu mmoja kwa siti ya watu wawili.. kupunguza kukaribiana kwa Abiria .
7 . Dalaldala kubeba abiria nusu ya idadi ili abiria wakae kwa nafasi Na zoezi hili lisimamiwe Na jeshi.
8 . Kusiwe Na total Lockdown , watu warujusiwe kufanya kazi , pale maeneo ya kazi yatakapokuwa ni hatarishi, basi eneo hilo tu ndio lifungwe.
9: Stendi za mabasi zisimamiwe Na Jeshi Na wale wapiga debe waondolewe wote kupunguza msongamano usio Na lazima .
10. Hospital maalaum za Korona zisifanye kazi y huduma zingine za kawaida ili kupunguza maambukizi.
11. Ibada ziendelee lakini waumini waingie kwa zamu na kuwepo kwa umbali wa mita 2 toka muhimini mmoja Na mwingine Na Usafi wa kutosha ufanyike kila baada ya Ibada moja kuisha kabla ya kuingia Nyingine.
12. Wanajeshi wapelekwe mtaani ili kuangalia maeneo ya kazi ambayo yataonekana kuwa hatarishi basi yafungwe .
13. Shughuli za kilimo na mifuko ziendelee kama kawaida Na wakulima waelimishwe namna ya kujikinga Na kuweka mita 2 toka mkulima mmoja mpaka mwingine.
14 . Wenye viwanda pia wao observe mita 2 toka mtu mpaka mtu Na uvaaji wa mask.
....
Nadhani ni daktariEmbu toa mapendekezo matatu tuu katika hiyo orodha yako. By the way hivi Katibu mkuu wa Wizara ya Afya ni Daktari wa binadamu kwa taaluma yake? nikipata jibu nitauliza swali gumu
Hajazingua kasema kweli, labda kwa baadhi ya masoko ndio ipo unavyosema. mengi unakuta meza moja kuna wauzaji hata watatu, na haina ukubwa wa hata mita 5.Namba 6 kwa wauza soko apo umezingua
Wanaojaza soko sio wauzaji, ni sisi tunaoenda kuemea
Wauza soko wote kila mtu ana meza yake na social distance imezingatiwa
Labda sisi tunaoenda kufanya manunuzi ndo tuwekewe ratiba
Sent using Jamii Forums mobile app
Hana mbinu za kukabiliana na majanga? Ningepewa fursa ya kushauri, ningeshauri Mh. Mbatia aongezwe kwenye kamati ya taifa ya kukabiliana na CORONA labda fani inaweza kutusaidia kipindi hiki kama taifaNadhani ni daktari
Mbatia ni daktar wa binadamu??Hana mbinu za kukabiliana na majanga? Ningepewa fursa ya kushauri, ningeshauri Mh. Mbatia aongezwe kwenye kamati ya taifa ya kukabiliana na CORONA labda fani inaweza kutusaidia kipindi hiki kama taifa
Mtaalamu wa kupambana na majangaMbatia ni daktar wa binadamu??
hahahaah kumbe kama ni hivyo mbona wapo wengi? Hata mimi naweza kuongezwa wakitaka katika kamati hiyo.Mtaalamu wa kupambana na majanga