muonamambo
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 875
- 545
Wanajeshi ni iron apo elimu tu inatosha.ukiweka wanajeshi ni mkusanyiko tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wabongo wabishi sana , bila bakora hawaendi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanajeshi ni iron apo elimu tu inatosha.ukiweka wanajeshi ni mkusanyiko tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaiongelea tu na mambo mengine yanaendelea kama kawaidaKwa kweli huku mtaani kwangu mimi ni bora mtu ujiweke lockdown mwenyewe,nikitoka nje naona watu km hawajui lolote kuhusu Corona!
Yaani Inatisha,Sijui km wanajua kinachoendelea kila siku wanachojua wao ni kuweka vile vindoo vya maji na sabuni tuuu yaani wameyaweka mpaka kwenye mabanda umiza halafu wanajazana kuangalia muvi sijui mpira,Hatari sana.
Wazo zuriMapendekezo ambayo Mr President anatakiwa kufanya .
1. Kwa kuwa ugonjwa umeshafika kwenye community stage transimission , Ningeshauri ile mikoa ambayo case chache zimepatikana.. kungeagizwa test kits za kutosha ili kubaini ukubwa wa Tatizo, Pili kila anayepatikana positive apelekwe kwenye vituo vya karantini.
2. Kwa kuwa ventilator zime prove low rates healing 50% compare to Hydroxychlotoquine + Zinc , pia ni very expensive .. ningeshauri Tanzania itowe order kwa ndugu zetu wa India Watutengenezee hydroxy Ch.. Zinc mseto mara moja na tutume ndege kwenda kuchukua ili zitumike kwa waliotest positive ..
3. Kiwanda cheti cha pharmaceutical kama kinaweza tengeneza mseto huo basi ni wakati mwafaka wa kufanya hivyo.
4. Kwa wagonjwa wenye mild symptoms na wenye ku prove self karantini waruhusiwe kijitibu Nyumbani.
5. Mabaa na Shughuli zote zamikusanyiko isiyo ya lazima zipigwe marufuku.
6 . Wauza masoko wapunguzwe au wauze kwa zamu.. Kuwepo Na mita 2 toka muuza soko mmmoja mpaka mwingine .
7. Serikali ingize barakoa za kutosha Na kutumia wanajeshi kugawa kwenye maeneo mbalimbali na baada ya week mbili iwe ni marufuku kutembea bila barakoa.
6. Mabasi ya mikoani.. yaagizwe kubeba mtu mmoja kwa siti ya watu wawili.. kupunguza kukaribiana kwa Abiria .
7 . Dalaldala kubeba abiria nusu ya idadi ili abiria wakae kwa nafasi Na zoezi hili lisimamiwe Na jeshi.
8 . Kusiwe Na total Lockdown , watu warujusiwe kufanya kazi , pale maeneo ya kazi yatakapokuwa ni hatarishi, basi eneo hilo tu ndio lifungwe.
9: Stendi za mabasi zisimamiwe Na Jeshi Na wale wapiga debe waondolewe wote kupunguza msongamano usio Na lazima .
10. Hospital maalaum za Korona zisifanye kazi y huduma zingine za kawaida ili kupunguza maambukizi.
11. Ibada ziendelee lakini waumini waingie kwa zamu na kuwepo kwa umbali wa mita 2 toka muhimini mmoja Na mwingine Na Usafi wa kutosha ufanyike kila baada ya Ibada moja kuisha kabla ya kuingia Nyingine.
12. Wanajeshi wapelekwe mtaani ili kuangalia maeneo ya kazi ambayo yataonekana kuwa hatarishi basi yafungwe .
13. Shughuli za kilimo na mifuko ziendelee kama kawaida Na wakulima waelimishwe namna ya kujikinga Na kuweka mita 2 toka mkulima mmoja mpaka mwingine.
14 . Wenye viwanda pia wao observe mita 2 toka mtu mpaka mtu Na uvaaji wa mask.
....
Ni kweli bora tujiongeze aseee Mungu atunusuruSaa nyingine Tunajiongeza wenyewe kama hiviView attachment 1422720
Mkuu hii ngoma yetu wote sisi ndio tumeiweka serikali madarakaniSerikali inashauriwa na serikali kuna wateuliwa na waajiriwa kwa ajili ya kushauri nchi wewe upo kundi lipi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Ni sahihi kujilinda kwanza lakini zipo sababu zisizo epukika,Anza kuchukua hatua wewe mwenyewe na wanaokuzunguka..ukisubiri serikali ifanye kitu mwisho wa siku utajikuta karantini na bado utaendelea kuilaumu serikali kwa yaliyokupata.
Corona itakuwa imekupanda kichwani! Kwa nini usijilock down wewe na familia yako? Nani kakukataza kufanya hivyo?
Basi.. Akae kimya aendelee kufaidi joto la mkewe... Marekani wenyewe wenye pesa chungu mzima yamewashinda... Kuanzia J3 watu wanaanza kwenda makazini japo maambukizi yapo juu! Sembuse sie hoe hae ndio tutaweza?Unajuaje kama hajajilockdown?
Kutojilockdown kunakunyima haki ya kutoa maoni yako?
Kiongozi yupi wa serikali corona haijampanda kichwani??
Kwakweli ili uwe mshabiki wa serikali hii ya meko inakuhitaji kwanza uwe mnafiki mkubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mawazo yaajabu kabisa haya. Yani unadhani sisi hatuwezi kufanikiwa katika jambo ambalo watu wa nje wameshindwa? Acha mawazo ya kitumwa. Huenda haya yalioandikwa hujasomaBasi.. Akae kimya aendelee kufaidi joto la mkewe... Marekani wenyewe wenye pesa chungu mzima yamewashinda... Kuanzia J3 watu wanaanza kwenda makazini japo maambukizi yapo juu! Sembuse sie hoe hae ndio tutaweza?
Tangu uzaliwe umewahi kufanikisha lipi?Mawazo yaajabu kabisa haya. Yani unadhani sisi hatuwezi kufanikiwa katika jambo ambalo watu wa nje wameshindwa? Acha mawazo ya kitumwa. Huenda haya yalioandikwa hujasoma