Kote yaani, watu hawajitambui. Hata Samunge, krokoni hali ni hiyo hiyo. Mwenye kuvaa barakoa anataniwa, “vipi? Una corona nini?”
Samunge wanapewa kikombe na babuKote yaani, watu hawajitambui. Hata Samunge, krokoni hali ni hiyo hiyo. Mwenye kuvaa barakoa anataniwa, “vipi? Una corona nini?”
Sent using Jamii Forums mobile app
Samunge wanapewa kikombe na babu
Unajitambua? Vocha inahusiano gani na serikali? Au hujui vocha inaifaidisha serikali kwa kupata kodi?Tanzania imefaidika Ndio maana hukosi bando la kuingia mtandaoni
Mipaka ingefungwa hata vocha ungekosa
Mtanzania asimulia alivyopona CORONA, nashauri tutumie njia hizi