#COVID19 Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19
Hali ya hewa ya mikoa ya arusha, dodoma (kondoa), iringa, njombe, mbeya sio rafiki kabisa kwa hili FUTA, wakazi wa maeneo haya wachukue tahadhari mapema sana.
 
Samunge wanapewa kikombe na babu
1588046165370.png
 
Kwenye hili la korona mashule yamefungwa ,vyuo na makolegi kitambo sana kila duka ama biashara na maofisi hatua stahik za kujikinga sinachukuliwa, hususani kwenye vyombo vya usafiri na mipakani bado hali ni mbaya pamoja na yote hayo swali ni je tatizo ni uzembe wa wabongo au serikali ya wabongo
 
Tuliambiwa watalii wasipokuja nchi haina pesa bajeti haitakwenda ndio maana ni Tanzania pekee haijafunga mipaka. Mpka pale safari zilipojifunga zenyewe na sio nchi kufunga inamaana tulipiga pesa nyingi kwani tulikuwa wenyewe sokoni na watalii duniani.

Kwa kutofunga mipaka ndio tulipoingiza wagonjwa nchini huku tukitarajia kupata kodi na tozo mbalimbali kuendesha nchi bila shaka tumezikusanya za kutosha.

Inakuwaje tumeukaribisha ugonjwa na kupata fedha za kutosha lakini hatuna vifaa vya kukabuliana na ugonjwa huo mpka tusubiri misaada?

Nchi hii inasubiri ihudumiwe na raia wake badala ya serikali kufanya wajibu wake kama wakusanya kodi.

Je nikweli sisi ni matajiri na tuna pesaya kujiendesha kwa miezi 6 bila kufanya kazi? Kwanini hata mwezi mmoja umetushinda kama nchi?

Ni kweli kutofunga mipaka imeisaidia nchi au imeuwa nchi hasa nguvu kazi ya taifa?
 
Tanzania imefaidika Ndio maana hukosi bando la kuingia mtandaoni

Mipaka ingefungwa hata vocha ungekosa
 
Back
Top Bottom