Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
Et mipaka ingefungwa hata vocha angekosa. Hivi nyie misukule wa Polepole na Meko mbona hata hamna huruma na maisha yenu? Mnayempigia debe kajipiga total locdown misukule ipo kazini.Tanzania imefaidika Ndio maana hukosi bando la kuingia mtandaoni
Mipaka ingefungwa hata vocha ungekosa
Unajitambua? Vocha inahusiano gani na serikali? Au hujui vocha inaifaidisha serikali kwa kupata kodi?
Wewe jamaa mbona umejidhalilisha sana kwa kuandika hiki ulichoandika!!Tanzania imefaidika Ndio maana hukosi bando la kuingia mtandaoni
Mipaka ingefungwa hata vocha ungekosa
Ni tatizo la uzembe wa Serikali ya Wabongo na wabongo wenyewe kwa kukubali kuongozwa na wabongo wasiokuwa na uwezo. Viongozi hao wanatumia wingi wa umma ulio kama wao kuficha udhaifu wao katika kila nyanza kwa mafanikio makubwa. Wanazungumza sana bila vitendo kuwavutia watu lakini mara nyingi hakuna cha maana wanachosema na mbinu hiyo ikishindikana wanaamua kukaa kimya bila kuonekana wakiacha wananchi wakiulizana kulikoni. Wakati huu mgumu wa hili gonjwa, Viongozi wetu wa Serikali na wa Chama Tawala wako wapi, wanafanya nini na wanasema nini? Ndivo walivyo!Kwenye hili la korona mashule yamefungwa ,vyuo na makolegi kitambo sana kila duka ama biashara na maofisi hatua stahik za kujikinga sinachukuliwa, hususani kwenye vyombo vya usafiri na mipakani bado hali ni mbaya pamoja na yote hayo swali ni je tatizo ni uzembe wa wabongo au serikali ya wabongo
Kutofunga mipaka imekusaidia wewe, Mimi na wengine kuwa na nguvu na uwezo wa kuingia mitandaoni vinginevyo Hali ingekuwa mbaya zaidi kiuchumi,,,,,lakini kumbuka nchi moja ikifunga mpaka na ina maana hata ile ambayo haijatangaza mufunga nayo automatically mpaka wake unakuwa umefungwa,,,,wewe mwenzetu ulitaka serikali ifanye ili uridhike nafsi yako???Tuliambiwa watalii wasipokuja nchi haina pesa bajeti haitakwenda ndio maana ni Tanzania pekee haijafunga mipaka. Mpka pale safari zilipojifunga zenyewe na sio nchi kufunga inamaana tulipiga pesa nyingi kwani tulikuwa wenyewe sokoni na watalii duniani.
Kwa kutofunga mipaka ndio tulipoingiza wagonjwa nchini huku tukitarajia kupata kodi na tozo mbalimbali kuendesha nchi bila shaka tumezikusanya za kutosha.
Inakuwaje tumeukaribisha ugonjwa na kupata fedha za kutosha lakini hatuna vifaa vya kukabuliana na ugonjwa huo mpka tusubiri misaada?
Nchi hii inasubiri ihudumiwe na raia wake badala ya serikali kufanya wajibu wake kama wakusanya kodi.
Je nikweli sisi ni matajiri na tuna pesaya kujiendesha kwa miezi 6 bila kufanya kazi? Kwanini hata mwezi mmoja umetushinda kama nchi?
Ni kweli kutofunga mipaka imeisaidia nchi au imeuwa nchi hasa nguvu kazi ya taifa?
Amesema ametumia tangawizi na limao, limao amekata katikati kipande kimoja kakamua kingine kakiweka hivyohivyo, tangawizi kaichemsha pia katumia vitunguu swaumu, ushauri wake ukipata korona kaa ndani usitoke kusambaza kwa wengineSummary tafadhali amesemaje?
Sina embii za kupakua
Ahsante mkuu nguvuAmesema ametumia tangawizi na limao, limao amekata katikati kipande kimoja kakamua kingine kakiweka hivyohivyo, tangawizi kaichemsha pia katumia vitunguu swaumu, ushauri wake ukipata korona kaa ndani usitoke kusambaza kwa wengine
Amesema ametumia tangawizi na limao, limao amekata katikati kipande kimoja kakamua kingine kakiweka hivyohivyo, tangawizi kaichemsha pia katumia vitunguu swaumu, ushauri wake ukipata korona kaa ndani usitoke kusambaza kwa wengine
Kigwangala anapendekeza herd immunity, yaani tuache ugonjwa uenee, watu wafe, watakaobaki ndio hao wanatosha! Na ndivyo kinachofanyika sasa. na kwa ugonjwa kama huu, hata 90% ya watu wanaweza kufa kabla ya kufikia hiyo herd immunity. He is very stupid indeed!Tuliambiwa watalii wasipokuja nchi haina pesa bajeti haitakwenda ndio maana ni Tanzania pekee haijafunga mipaka. Mpka pale safari zilipojifunga zenyewe na sio nchi kufunga inamaana tulipiga pesa nyingi kwani tulikuwa wenyewe sokoni na watalii duniani.
Kwa kutofunga mipaka ndio tulipoingiza wagonjwa nchini huku tukitarajia kupata kodi na tozo mbalimbali kuendesha nchi bila shaka tumezikusanya za kutosha.
Inakuwaje tumeukaribisha ugonjwa na kupata fedha za kutosha lakini hatuna vifaa vya kukabuliana na ugonjwa huo mpka tusubiri misaada?
Nchi hii inasubiri ihudumiwe na raia wake badala ya serikali kufanya wajibu wake kama wakusanya kodi.
Je nikweli sisi ni matajiri na tuna pesaya kujiendesha kwa miezi 6 bila kufanya kazi? Kwanini hata mwezi mmoja umetushinda kama nchi?
Ni kweli kutofunga mipaka imeisaidia nchi au imeuwa nchi hasa nguvu kazi ya taifa?
Na lenyewe litakufa kama ndivyo anatakaKigwangala anapendekeza herd immunity, yaani tuache ugonjwa uenee, watu wafe, watakaobaki ndio hao wanatosha! Na ndivyo kinachofanyika sasa. na kwa ugonjwa kama huu, hata 90% ya watu wanaweza kufa kabla ya kufikia hiyo herd immunity. He is very stupid indeed!
afadhali lfe litoe mfanoNa lenyewe litakufa kama ndivyo anataka