Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Tatizo walisema ni "kaugonjwa"!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata idadi ya vifo vya corona wanachakachua wanaficha ukweli matokeo yake corona imeonekana siyo Tatizo ni kaugonjwa kadogo ka kuombea kanisani kanaishaNashindwa kuielewa serikali ya nchi hii inayoongozwa na rais Magufuli, tena ni serikali iyowajaa wasomi kuanzia rais, mawaziri na makatibu wakuu wote wamesoma, kiufupi phds zimejaa serikalini
Lakini ajabu kubwa na hii ipo Tanzania pekee, serikali yetu umechukulia ugonjwa wa corona ni kama aibu kwa serikali
Mtu akiathirika na covid19 serikali inapata fedheha na aibu kubwa
Mbaya zaidi inapotokea viongozi wa nchi hii wamekutwa na corona na kupelekea vifo hapo ndio kabisa serikali haiwezi kuiweka wazi aibu hiyo
Shida ni nini hapa Tanzania? Huko Ulaya na duniani kote mambo ni tofauti, waziri mkuu wa nchi kuumwa corona ni kawaida na dunia nzima hutaarifiwa, Uingereza ni kawaida na waziri amepona kwa sasa yupo kazini
Tanzania tunakwama wapi, Je corona ni aibu kwa nchi na serikali?
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wamejanaza vijiweni vibarazani watoto wadogo wanacheza pamoja uswahilini zote huko jiji Dsm ndipo penye shida kubwa sana misongamano vituo vya basi bodaboda bajaji daladala mwendo kasi ni mkubwa uvaaji wa masks ni wa hovyo hovyo hawavai vizuri ipasavyoTatizo walisema ni "kaugonjwa"!!
waliwapora upinzani wenyeviti wa Serikali za mitaa ikabakia CCM peke yake lakini huko mitaani ndipo kuna vijiweni maambukizi makubwa hakuna Matangazo ya kuzuia watu kukaa vijiweni hakuna msaada kwa wananchi wamekaa tu wakiangalia watu wakizidi kuambukizana zaidi kwenye mikusanyiko isiyo na tijaMagafuli nchi imemshinda
"Naodha tosa nanga
Abiria sote twateseka"
Nashindwa kuielewa serikali ya nchi hii inayoongozwa na rais Magufuli, tena ni serikali iyowajaa wasomi kuanzia rais, mawaziri na makatibu wakuu wote wamesoma, kiufupi phds zimejaa serikalini
Lakini ajabu kubwa na hii ipo Tanzania pekee, serikali yetu umechukulia ugonjwa wa corona ni kama aibu kwa serikali
Mtu akiathirika na covid19 serikali inapata fedheha na aibu kubwa
Mbaya zaidi inapotokea viongozi wa nchi hii wamekutwa na corona na kupelekea vifo hapo ndio kabisa serikali haiwezi kuiweka wazi aibu hiyo
Shida ni nini hapa Tanzania? Huko Ulaya na duniani kote mambo ni tofauti, waziri mkuu wa nchi kuumwa corona ni kawaida na dunia nzima hutaarifiwa, Uingereza ni kawaida na waziri amepona kwa sasa yupo kazini
Tanzania tunakwama wapi, Je corona ni aibu kwa nchi na serikali?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wataalamu wa afya mnatuambia gonjwa hili halina tiba harafu mnasema wagonjwa wanapona au kupata ahueni .
Inamaana kuna kupona kama kupo mkisema halina tiba mnamaana gani ?
Je mnatutisha huku mkijua matibabu yapo?
Nimeambiwa kuna watu wanaletwa wakiwa mahututi na baadae wanapona kabisa so kumbe kuna kupona ?
Hivi maana ya ugonjwa kutokuwa na tiba wala kinga inamaana gani hasa?
Kukumweupe
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanapona madhara yatokanayo na kolonyaWataalamu wa afya mnatuambia gonjwa hili halina tiba harafu mnasema wagonjwa wanapona au kupata ahueni .