#COVID19 Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19
Naamini hii ni kwasababu serikali haiweki wazi balaa la corona nchini, siku ya nne sasa hawaja tangaza update zozote juu ya ugonjwa huu.

Kuna mtu alidondoka na kupoteza maisha jana Kariakoo, cha ajabu mpaka leo maiti ilikua imesuswa. Si polisi wala nani aliehangaika kuiokota.

Watu hawachukulii serious.
Ndio hao nawaita malofa kusubiri waone maiti zimezagaa mitaani, au yeye ameambukizwa, ndio azingatie kanuni za afya. Wakumbuke tu kwamba, ardhi haihachoka kupokea wafu, na wao wataongeza namba ya wafu.
 
Umeandika kama wewe una kinga dhidi ya huu ugonjwa! Huu ni ugonjwa wetu sote ila inatakiwa serikali ichukue hatua madhibuti kukabiliana nao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana if,

Wito kwa wale woote ambao hospital ni kama nyumbani, wazee , na watoto chini ya umri miaka mitano, tafadharini sana kaa nyumbani.uwe mbunge, uwe WAZIRI, uwe katibu mkuu, uwe mkuu Wa mkoa, au mkuu Wa wilaya omba likizo kimya kimya kaa nyumbani. Hata ukiwa police ugonjwa huu hatari unakuja kama mwizi kwani hujui siku wala SAA, kirusi hiki kitakapotinga katika mwili wako kukaba koo, kirusi kama vile kimefundishwa kumdandia MTU yeyote kimwonapo machoni. Zamani wakati HIV inaingia tulikuwa tunaonyeshana vidole na kuambizana " bwana usipite pale kuna miwaya, kanyeshe, ngwenge au kama umependa zaidi vaa grobles nenda na zana za kutosha. Sasa hili dubwana haliko hivyo, waage wanao kwa upendo aga Mke wako hii inaweza kuwa nenda nisirudi. Hiki kimetufundisha mengi utu Wa MTU ni upendo kwa watu wote, wale walionyesha kuwa ni watu Wa kipekee dunia kwa heshiwa walizowekewa na wanadamu tunaona wanazikwa kama wakiwa , Hanna sherehe ya mwisho , hakuna kuchinja ng'ombe wala kula wali. Hiki kipindi cha kujitafakari, usijifafanye umepewa mdaraka kunyanyasa watu, huu ndio wakati Wa kujitakasa, influenza Spanish flue iliua watu zaidi ya million 150 sasa wewe ni nani usijiunge na kifurushi hiki. Tafakari chukua hatua.
 
Watoto wengi wana kinga ya kutosha. Na ndilo kundi ambalo halijaathirika sana.
Changamoto katika kuwalinda wazee ni kwamba wanaishi na vijana nyumbani. Na hawa vijana wanalazimika kutoka nje kwenda kazini etc. Sasa hata kama wazee na wagonjwa watabaki nyumbani wakati baadhi ya wanafamilia wanatoka...hawa wanafamilia watawaletea ugonjwa nyumbani.

Kwa hiyo tunahitaji kuwatenga waishi kama wafungwa ndani ya miji/nyumba zetu
 
Punguza Bp ...mkuu Hii Corona inaweza kukupata. Hata kama afya yako ni Imara na ukafa vilevile.
Acha kutisha watu. Zaidi ya 80% ya watu wanao pata maambukizi ya corona hawaumwi wala hata kuonyesha dalili yote. Watu ambao afya zao zina mgogoro ndo wanaumwa hadi kufikia kulazwa na wakati mwingine kufariki. Hii ni kama 2% tu ya watu
 
Frontline health workers are getting ill and dying everyday from being stretched and the lack of PPE to protect them..
 
Endelea kujipa moyo
 
Ni kweli wizara hizi sio za kimuungano.

Ila the fact that wenzetu wako wazi kimataifa Kama kanuni zinavyotaka.

Wenzetu wanatangaza kwa uwazi corona cases zao.

Sisi huku tumeamua kuficha ukweli.

Hi ni aibu Sana kwa taifa.

Zanzibar wanaonekana watoto smart sisi tunaonekana makubwa jinga.
 
Frontline health workers are getting ill and dying everyday from being stretched and the lack of PPE to protect them..
 
Shein nae anaweza kumabiwa na Chama aige style ya kwenda kujuficha nungwi halafu apige stop matangazo ya covid19
 
Kuna mtu atakumbukwa Kama jemadari aliekimbia Vita huku watu wake wakiangamia.
 
na wakiumwa hawajui kama wanaumwa na hupona bila ya kujitambua waliumwa wakapona.

Back
Top Bottom