Wana if,
Wito kwa wale woote ambao hospital ni kama nyumbani, wazee , na watoto chini ya umri miaka mitano, tafadharini sana kaa nyumbani.uwe mbunge, uwe WAZIRI, uwe katibu mkuu, uwe mkuu Wa mkoa, au mkuu Wa wilaya omba likizo kimya kimya kaa nyumbani. Hata ukiwa police ugonjwa huu hatari unakuja kama mwizi kwani hujui siku wala SAA, kirusi hiki kitakapotinga katika mwili wako kukaba koo, kirusi kama vile kimefundishwa kumdandia MTU yeyote kimwonapo machoni. Zamani wakati HIV inaingia tulikuwa tunaonyeshana vidole na kuambizana " bwana usipite pale kuna miwaya, kanyeshe, ngwenge au kama umependa zaidi vaa grobles nenda na zana za kutosha. Sasa hili dubwana haliko hivyo, waage wanao kwa upendo aga Mke wako hii inaweza kuwa nenda nisirudi. Hiki kimetufundisha mengi utu Wa MTU ni upendo kwa watu wote, wale walionyesha kuwa ni watu Wa kipekee dunia kwa heshiwa walizowekewa na wanadamu tunaona wanazikwa kama wakiwa , Hanna sherehe ya mwisho , hakuna kuchinja ng'ombe wala kula wali. Hiki kipindi cha kujitafakari, usijifafanye umepewa mdaraka kunyanyasa watu, huu ndio wakati Wa kujitakasa, influenza Spanish flue iliua watu zaidi ya million 150 sasa wewe ni nani usijiunge na kifurushi hiki. Tafakari chukua hatua.