Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waje tu Mungu yuko nasi.Najiuliza tu waungwana hawa watanzania walioko nje ya nchi kipindi hiki cha mapambano ya Corona je wabakie huko huko?
Rais wa Uganda mh Museveni amefanya maamuzi magumu ya kuwazuia waganda walio nje ya nchi kurejea nchini hadi pale ugonjwa wa Corona utakapodhibitiwa.
Je, uamuzi wa mh Yoweri unafaa kuigwa?
Maendeleo hayana vyama!
Serikali ya JMT imeshatoa tamko kuwa wakija hapa Tz watawekwa karantini kwa muda wa siku 14 kwa gharama zao. Sasa mnataka tamko gani tena? Wenyewe wajiongeze tu wabaki huko kama ilivyokuwa China. Maana unaweza kuja hapa Tz alafu una dola 500 ukashindwa hata kujihudumia hizo siku kumi na nne.Najiuliza tu waungwana hawa watanzania walioko nje ya nchi kipindi hiki cha mapambano ya Corona je wabakie huko huko?
Rais wa Uganda mh Museveni amefanya maamuzi magumu ya kuwazuia waganda walio nje ya nchi kurejea nchini hadi pale ugonjwa wa Corona utakapodhibitiwa.
Je, uamuzi wa mh Yoweri unafaa kuigwa?
Maendeleo hayana vyama!
Trump jana aliwapa deadline Wamarekani wote walioko nje ya nchi warudi nyumbani haraka iwezekanavyo. Wasipofanya hivyo kabla ya deadline hiyo basi waendelee kukaa nje ya Marekani indefinitely kwa kuwa hawataruhusiwa kuingia Marekani. Hii ni kutokana na kufunga mipaka ya nchi yake ili kudhibiti Corona. Kwa kuwa Rais wa Marekani amesema hivyo, tunaipokea tu taarifa hiyo. Rais Magufuli akisema hivyo inakuwa nongwa.Ni ngumu kuzuia raia wako kurejea kwenye nchi yao. Hata leo nimekuwa KIA kuna watalii kibao wanarudi makwao.
Muse7 katishwa katishika, sisi kwetu ni tusitishane, Watanzania wote walioko ughaibuni karibuni sana nyumbani, njooni tulijenge taifa.Najiuliza tu waungwana hawa watanzania walioko nje ya nchi kipindi hiki cha mapambano ya Corona je wabakie huko huko?
Rais wa Uganda mh Museveni amefanya maamuzi magumu ya kuwazuia waganda walio nje ya nchi kurejea nchini hadi pale ugonjwa wa Corona utakapodhibitiwa.
Je, uamuzi wa mh Yoweri unafaa kuigwa?
Maendeleo hayana vyama!
Yes nimeona safari nyingi zimekuwa cancelled watu wanarudi kwao. Tatizo pia huku wanaacha janga kampuni nyingi za utalii zinafanya retrenchment (redundancy) hali ni tete.Trump jana aliwapa deadline Wamarekani wote walioko nje ya nchi warudi nyumbani haraka iwezekanavyo. Wasipofanya hivyo kabla ya deadline hiyo basi waendelee kukaa nje ya Marekani indefinitely kwa kuwa hawataruhusiwa kuingia Marekani. Hii ni kutokana na kufunga mipaka ya nchi yake ili kudhibiti Corona. Kwa kuwa Rais wa Marekani amesema hivyo, tunaipokea tu taarifa hiyo. Rais Magufuli akisema hivyo inakuwa nongwa.
Ndio maisha ya walio wengi, sasa fikiria mtu kafungiwa ndani Mba!,Kula yangu ya kesho naitafuta leo Mungu tusaidie.
Bora kufa kwa corona ila wanangu wabaki hai kuliko tufe wote kwa njaaNdio maisha ya walio wengi, sasa fikiria mtu kafungiwa ndani Mba!,
Naongelea attention na uzito uliochukulowa na viongozi wakuu wa dunia kwa Corona! Tatizo sio kwa vile unaua! Kama ni kuua yako magonjwa mengi yanaua kuliko Corona!Jamani kila kitu mnalalamika mbona mambo yote yana ufumbuzi?.umaskini jitahidi ujikwamue kutoka huko kwa kufanya kazi, Ukimwi achana na ngono zembe kama ww ni kijana,lakini labda kama ulizaliwa nao hapo utasikitika.