Ni kiongozi ndani ya SerikaliMakonda ni nani kwenye serikali hata mumtegemee kushauri, wabunge wenu mnawaogopa..?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kiongozi ndani ya SerikaliMakonda ni nani kwenye serikali hata mumtegemee kushauri, wabunge wenu mnawaogopa..?
Hii kauli ya MAKONDA ina maana tofauti na tulivyoipokea,ukiunganisha dots unataona kabisa nchi inaenda Kwenye lockdown ndiyo maana wenye nyumba wanaombwa kupunguza Kodi Kwa kipindi ambacho wananchi watakuwa ndani...
Idadi ya walio victims ni kubwa ukiunganisha na Ile ya serikali tusishangae tukaona na Sisi tunapewa siku 21 za kujifungia ndani
Mkuu ninakushauri usimini sana taarifa za Covid19 kutoka Kenya. Viongozi wao wengi ni wapiga dili, wanaweza kuandaa taharuki ili waibie wananchi. Vilevile usiamini DR Congo, Sudan, South Sudan, Ethiopia na nchi nyingi ambako rushwa ni kama jadi yao.Ni muda sasa Dunia ikiwa ina pambana na Janga la Corona.
Modelling ya Wanasayansi nchini Kenya inaonesha kufikia mwishoni mwa mwezi April 2020 kuna uwezekano wa Kenya kuwa na Wagonjwa 10,000. US inaonesha by August 2020 marehemu wanaweza kuwa zaidi ya 82,000. Italy kwa sasa vifo ni zaidi ya 12,000.
Nchi zetu za Africa hasa Tanzania zimewekeza sana katika Siasa na kubakia madarakani na siyo Tafiti za kuliendeleza Taifa. Nchi yetu imeshindwa hata kufanya tafiti za kuzuia magonjwa ya Mhogo!
Siyo kwamba wataalam hawapo nchini, laa asha! Wataalum wapo wengi sana.
Tatizo kuu la Tanzania ni vipaumbele. Mbunge wa Tanzania sifa kuu ajue kusoma na kuandika tu, mshahara mnono, Gari zuri, Allowances kibao, mikopo, Ruzuku on spot akistaafu. Na huyu ndie apange sera za Taifa karne ya 21 dhidi ya US, Germany, Russia na China. Kweli au ni mzaha?
Bunge letu ni muda sasa haliidhinishi pesa za Tafiti karibu 90% hata ya Pesa ndogo ilioombwa. Hakuna nchi itaendelea duniani bila Research & Development. Hizi ndizo huzaa Innovation (patent rights) kwa wagunduzi.
Utashangaa Mjinga mmoja ana ropoka ni muda sasa wa Maprofessor, madaktari , Watafiti na Wahadhiri kuja na Tiba ya Corona! Yaani Professa umlipe Tshs 3m. Researchers Tshs 1.5m na Wahadhiri Tshs 1.5M (bila gari, nyumba kapanga, no allowances, nk). Afu Kibaji na Mlinga uwalipe Tshs 15m kwa Mwezi! Tena bila pesa za Tafiti!
Ni muda sasa:
1. Serikali itenge at least 1% ya GDP kwa ajili ya R&D.
2. Serikali ijenge Vyuo/Centers za Utafiti. Ziwepo za Virus, Bacteria, nk. Ziwepo za Mazao, wanyama, nk. Ziwepo Centers za Gunduzi za bidhaa, huduma, maarifa, nk. Siyo kila kukicha CBE New Branch, UDSM New Branch, Chato University, nk.
3. Serikali itume vijana wa Sayansi Takribani 2000 nchi zote duniani kuiba maarifa kila nyanja. Na kuwarudisha baada ya miaka 10. Hatujachelewa tuanze sasa!
Hivi ni nchi gani hii hadi Toothpick tunaagiza China? Hand Sanitizers MSD wanaagiza China? Mask hadi msaada?
Ni muda muafaka sasa kuheshimu wasomi na Sayansi. Ni muda wa wasomi kuongea. Siyo kila Mjinga anaongea kuhusu CORONA.
Tuendelee kujikinga na Corona kwa kufuata ushauri wa Wataalam wa Afya. Corona inaua vibaya!
Sent using Jamii Forums mobile app
Bashite aoneshe mfano kwa kupunguza bei za dawa kwenye Phamacy zake badala ya kutaka wenye nyumba wasitoze. Kodi!!
tatizo chini ya awamu hii kila kitu ni siasa siasa siasa.Tahadhari hii ni ya muhimu sana.
Katika mambo ya kisayansi,data hutoa picha na kutumika kama dira.
Tunakushukuru umekuja na hoja ya msingi sana.
Sifa kuu za data:Tahadhari hii ni ya muhimu sana.
Katika mambo ya kisayansi,data hutoa picha na kutumika kama dira.
Tunakushukuru umekuja na hoja ya msingi sana.
Ili iweje?Ili kupata projection ya uhalisia wa athari za Corona nchini kwetu kwa siku za usoni, ninaishauri serekali iwe ina monitor hii kitu inaitwa "Fatality Rate" ambayo inapatika kwa ku calculate idadi ya vifo gawanya kwa jumla ya maambukizi.
Kwa kigezo hiki, takwimu hadi leo asubuhi zinaonyesha kuwa Tanzania ina "COVID-19 Fatality Rate" kubwa kuliko nchi zote katika EAC block, kama hesabu hizi hapa chini zinavyothibitisha:
Tanzania 1/20 = 5.0%
Kenya 3/110 = 2.7%
Rwanda 0/84 = 0%
Uganda 0/45 = 0%
Burundi 0/3 = 0%
Ili tuweze ku improve kwenye score hii, inabidi tuongeze uwezo (in terms of testing centres & equipment) wa upimaji ili tuwe na sample size kubwa.
Ili iweje?Sifa kuu za data:
1. Ukamilifu,
2. Zitoke kwa wakati,
3. Uhusika (relevancy), na
4. Usahihi (accurate).
Je, data zinazotoka zina sifa hizo.
Duh.. !. Mkuu Mbabe, tusutishane.Kwa kigezo hiki, takwimu hadi leo asubuhi zinaonyesha kuwa Tanzania ina "COVID-19 Fatality Rate" kubwa kuliko nchi zote katika EAC block,
Ummy ndiyo alikuletea Corona?Kile kimama ummy kije hapa kijifunze kitu kinachoweza isaidia nchi kupambana na huu ugonjwa sio kinakuja na idadi ya ndoo na cock za maji utadhani kibibi maji
Kweli huyu jamaa hana tofauti na Lumumba choir Mnavyosemaga anatunyoosha watanzania huwa anatumia nini kutunyoosha ni Pasi au rula ?case fatality rate umeipimaje??