#COVID19 Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19
Mna UJUAJI mwingi ndo tatizo..
Mbona hamshangai kuna MATAIFA Yana wagonjwa mpaka 1-2?.
Lakini Tanzania kuwa na wagonjwa 20 mnaona haiwezekani na mnaongopewa.kama una taarifa ya wagonjwa wengine idadi yao SI UITAJE?

Angalia hizo nchi Zina wagonjwa wachache kuliko Tanzania lakini bado mnaona Tanzania inadanganya.
ACHENI UJUAJI.
Screenshot_20200404-060347.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiki ki mama kijuaji sana, natamani simi Mona nikione live na nikipe mistari au kukitemee sumu nione kama kitachomoa

Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo "kijuaji" Tu. Kinajuwa kweli kweli kuliko wewe na wengine elfu moja kama wewe.

Unataka kukiona "live", utaweza lakini kufanya yote hayo uyasemayo ukikutana nacho? Usije kujiharia tu.

Njoo ukutane nacho, mtaa wa Lumumba zilipo ofisi za Mkoa wa Dar za CCM. Njoo na sumu yako, usiisahau.
 
Duh.. !. Mkuu Mbabe, tusutishane.
Imeelezwa vifo vya Corona vinatokana na udhaifu mwingine uliokuwepo mwanzo, Corona ikaja kukusindikiza tuu.
Please please please, tusitishane!.
P
Wacha zako hizo. Kabla ya mtu hata mmoja kufa kutishana ilikuwa marufuku. Sasa ruksa kutishana. Si amekufa mtu!
Watz wote ni wagonjwa. Wewe unazungumzia udhaifu mwingine? Kama kuna ambaye hakwenda kwa babu wa kikombe kilichogomba ni nauli. Alikuja kanyaga maji kujisalimisha kwa meli ya wachina. Nenda hospitali rasmi na haramu utakuta umati wa wagonjwa. Maombezi hayaachi mtu hata dini nyingine wamo tu wapone. Imani yako imekuponya zama hizo. Zama zetu imani nyingine wanapata promosheni. Mkate wanalishwa mbwa!
Kinga kwetu wagonjwa ni muhimu kuliko maelezo. Hapa hakuna cha dawa na kazi. Wagonjwa wote watasindikizwa huko... na watz wote ni wagonjwa. Nani atabaki? Mfu kuzika mfu! Maambukuzi 20 tu kifo! Je, maambukuzi 2,000 si ndio itakuwa kiama? Kinga, kinga, kinga!!
 
Kwa hiyo ulitaka iweje?
 
Ili iweje?

Anza kujikinga mwenyewe kwanza, kwa kufanya hivyo utakuwa umeikinga na jamii.
huwezi elewa nilichokiandika kwa kuwa inawezekana wewe siyo (na wala hujawahi kuwa) kiongozi mahali popote.

walengwa wameelewa nachomaanisha!
 
Ummy ndiyo alikuletea Corona?

Anza Kwa kujikinga mwenyewe usitegemee Ummy au mwengine yeyote kuwa anaweza kujikinga na maambukizi kama wewe mwenyewe huchukuwi tahadhari.

Kumbuka tu, kujikinga na tahadhari zako zote hakumaanishi kuwa ikiwa wa kufa kwa Corona basi kuna cha kuzuwia.

Moja ya tahadhari ni kujitayarisha kisaokolojia kuwa corona yupo na unaweza kumzuwia asikupate na akikupata basi hatokuwa na madhara makubwa kwako na kwa jamii inayokuzunguka Kwa kuwa umejiandaa na kujitahadhari nae vya kutosha.
upo sahihi kama points zako hizi utazi raise huko jikoni au kijiweni.

mimi nimewalenga viongozi.

pamoja na msisitizo wa mtu mmoja mmoja kujilinda, viongozi wanahitajika kuwa na tools za ku monitor maambukizi kwani mtu binafsi kujilinda siyo 100% foolproof.
 
huwezi elewa nilichokiandika kwa kuwa inawezekana wewe siyo (na wala hujawahi kuwa) kiongozi mahali popote.

walengwa wameelewa nachomaanisha!
Aah wewe ni wa kupuuzwa tu, hayo yako ni mawazo mfu.

Hujioni ulivyo poyoyo, ungoje mpaka watu wafe ndiyo ufanye hesabu za "fatality rate"!?. Ujuha huo.

Usifikiri kila takwimu na kila report inawekwa wazi kwa kila mtu. Ungekuwa japo una chembe ya fikra za uongozi ungenielewa.

Nyie ndiyo wale majuha msioelewa mpaka leo kwanini ikapitishwa sheria ya takwimu nchini.
 
Ili kupata projection ya uhalisia wa athari za Corona nchini kwetu kwa siku za usoni, ninaishauri serekali iwe ina monitor hii kitu inaitwa "Fatality Rate" ambayo inapatika kwa ku calculate idadi ya vifo gawanya kwa jumla ya maambukizi.

Kwa kigezo hiki, takwimu hadi leo asubuhi zinaonyesha kuwa Tanzania ina "COVID-19 Fatality Rate" kubwa kuliko nchi zote katika EAC block, kama hesabu hizi hapa chini zinavyothibitisha:

Tanzania 1/20 = 5.0%
Kenya 3/110 = 2.7%
Rwanda 0/84 = 0%
Uganda 0/45 = 0%
Burundi 0/3 = 0%

Ili tuweze ku improve kwenye score hii, inabidi tuongeze uwezo (in terms of testing centres & equipment) wa upimaji ili tuwe na sample size kubwa.

Mbona mnapenda wagonjwa wawe wengi wakati hamtaki kuutafuta ili idadi iongezeke? Kama una hamu ya kuona wagonjwa wengi nenda kwa wale walioambukizwa uchue unyevu wao tukuongeze kwenye idadi ya namba za wagonjwa, yaani mnapenda wagonjwa wawe wengi ili iweje? Na ni nani augue kama sio wewe?
 
Duh.. !. Mkuu Mbabe, tusutishane.
Imeelezwa vifo vya Corona vinatokana na udhaifu mwingine uliokuwepo mwanzo, Corona ikaja kukusindikiza tuu.
Please please please, tusitishane!.
P
hahaha!

on a serious note though, takwimu hazidanganyi. katika ukanda wa EAC tunaongoza kwa "fatality rate" mkuu. we need to curb this. seriously!

hii kitu inahitaji close monitoring.
 
Aah wewe ni wa kupuuzwa tu, hayo yako ni mawazo mfu.

Hujioni ulivyo poyoyo, ungoje mpaka watu wafe ndiyo ufanye hesabu za "fatality rate"!?. Ujuha huo.

Usifikiri kila takwimu na kila report inawekwa wazi kwa kila mtu. Ungekuwa japo una chembe ya fikra za uongozi ungenielewa.

Nyie ndiyo wale majuha msioelewa mpaka leo kwanini ikapitishwa sheria ya takwimu nchini.
sawa ndugu, suit yourself. sitatumia lugha ya vijiweni kukujibu kama unayotumia weye.

ila nina uhakika the likes of Ummy wamenielewa, that's all what matters.
 
Mbona mnapenda wagonjwa wawe wengi wakati hamtaki kuutafuta ili idadi iongezeke? Kama una hamu ya kuona wagonjwa wengi nenda kwa wale walioambukizwa uchue unyevu wao tukuongeze kwenye idadi ya namba za wagonjwa, yaani mnapenda wagonjwa wawe wengi ili iweje? Na ni nani augue kama sio wewe?
wapi nimeandika nataka wagonjwa wawe wengi?
 
wapi nimeandika nataka wagonjwa wawe wengi?

Idadi iliyotamkwa ndio sahihi, sasa ukitaka kujua ukweli jidunge hiyo corona kisha ukapime uwe positive ukiona namba hazibadiriki ujue wanaongopa, zikibadilika ujue ni ukweli, fanya tafiti kwa mwili wako mwenyewe, usisubili kwa wengine, mtaka ukweli hutafuta ukweli.
 
nani kasema idadi inayotamkwa siyo sahihi?
 
Ili kupata projection ya uhalisia wa athari za Corona nchini kwetu kwa siku za usoni, ninaishauri serekali iwe ina monitor hii kitu inaitwa "Fatality Rate" ambayo inapatikana kwa ku calculate idadi ya vifo gawanya kwa jumla ya maambukizi.

Kwa kigezo hiki, takwimu hadi leo asubuhi zinaonyesha kuwa Tanzania ina "COVID-19 Fatality Rate" kubwa kuliko nchi zote katika EAC block, kama hesabu hizi hapa chini zinavyothibitisha:

Tanzania 1/20 = 5.0%
Kenya 3/110 = 2.7%
Rwanda 0/84 = 0%
Uganda 0/45 = 0%
Burundi 0/3 = 0%

Ili tuweze ku improve kwenye score hii, inabidi tuongeze uwezo (in terms of testing centres & equipment) wa upimaji ili tuwe na sample size kubwa.

Hivi takwimu hizi zimekaa kaaje? Ina maana hakuna mtu aliye fariki Uganda au Rwanda!!
 
Kwa hiyo ulitaka iweje?
Asiyejua maana haambiwi maana! Kuuliza si ujinga. Lakini kuna na maswali ya kipumbavu. Usitafute wala kujiulizauliza ni yapi! Hili lako ni mfano halisi. Nimerudia kinga ×3, bado unauliza: kwa hiyo ulitaka iweje? Kama ni mahaba ya kumtetea P. sasa kihoja! Mwenyewe ka-mute. Dawa inakolea kwa shingo. Bibie acha papara. Fatality rate yetu ni majanga na bado hatujawa na msimamo thabiti. Corona ni zaidi ya Chadema!
 
Wenye akili waongea kwa sababu wana mambo ya kuongolea. Wapumbavu wao wanaongea ili waongee tu.
Nakubaliana na wewe 100%. Jinsi ulivyojibu na nilikudikia majibu yako kwenye video clip ya Masanja, nimekuelewa...

Back
Top Bottom