#COVID19 Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19
Partial
Kaa umsuburi asielemewe ndipo uchukue hatua.
Wewe huoni amefanya partial lockdown kwa shule na vyuo? Au unahitaji sign kutoka mbinguni ndipo akili ikukae sawa?
Alipaswa aungane na manesi na madaktari mstari wa mbele au sio?
Mwenzio yuko kwa mama ake wewe kaa umsubiri arudi magogoni na chamwino akutangazie hali ya hatari ndio uelewe vizuri
Partial Lockdown kwa mashule?!. So una maanisha..... okay, labda hujui maana ya partial Lockdown
 
Partial

Partial Lockdown kwa mashule???!!!!!. So una maanisha..... okay, labda hujui maana ya partial Lockdown
Subiri sign kutoka mawinguni ili ujue hali si shwari mazee....
 
Subiri sign kutoka mawinguni ili ujue hali si shwari mazee....
Sijui kama ulielewa maana ya huu uzi, alie anzisha alitaka tuweke maneno ya wanasiasa kabla ugonjwa haujaingia Tanzania. Mimi nime quote maneno ya Rais, sasa nashindwa kuelewa kwanini umeamua kuni attack.

Kana kwamba mimi ndo naamini maneno yake aliyosema, labda hukuelewa huu uzi na nia yake. Jaribu kusoma tena kabla hujaa ni qoute na ku comment.
 
Usiamini maneno ya wanasiasa nyakati zote, ugonjwa upo tele umesambaa.
Nilimaanisha hivyo, pamoja na hizi nukuu zilizotolewa ugonjwa una exist watu wachukue tahadhari sahihi waachane na porojo .
 
Usiamini maneno ya wanasiasa nyakati zote, ugonjwa upo tele umesambaa.
Nilimaanisha hivyo, pamoja na hizi nukuu zilizotolewa ugonjwa una exist watu wachukue tahadhari sahihi waachane na porojo .
Siamini maneno ya wanasiasa, nachukua tahadhari zote. Nasikiliza wataalamu wanachosema
 
Kwa maoni yangu, Serikali ndio inayofahamu makali ya CORONA hapa kwetu. Nashauri madarasa ya Mitihani wawahi kufungue shule( vyuo na shule zilizo chini ya NECTA) kwa sasa.

Maana utaratibu wa maisha wa kupambana na hili gonjwa haujabadilika sana. Hii itasaidia kupunguza kuvurugika kwa mihula.
 
Sasa umeshasema serikali ndiyo inafahamu makali ya corona, wewe unakuja na "ninashauri" kama nani sasa, si uiachie hiyo serikali "inayofahamu"!! Hebu tuacheni kwanza, mnatuchanganya tu na serikali yenu ya maigizo!
 
Usitegemee Kovid-19 ikaisha completely hapa Tz na pengine Africa. Haipo na haitatokea.

Imeshasambaa mnoo na mwingiliano ni mkubwa sana kati yetu na pia mataifa mengine duniani.

Kovid imeshajichimbia sana kwenye jamii yetu bila sisi kujua. Kuna wengine wanatembea nayo tu, akikutana na mtu mdhaifu inamla fasta.

Ngoja tuone!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Brother COVID-19 must be killed ASAP.
Tatizo amiri jeshi Mkuu amesanda gemu, saa hizi kachukua nafasi ya Kuhani Mkuu wa Makuhani, anaongoza kufunga na maombi, na COVID-19 tunaiondoa kwa maombi na mafusho. Vifaa vya kupimia tumegundua vinatuyeyusha tu, tumevipeleka kwenye chuma chakavu
 
Back
Top Bottom