#COVID19 Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19
Mbona hujashauri serikali kusitisha malipo ya mikopo ya nje pamoja na matumizi ya fedha kwenye miradi inayoendelea?

Ushauri wangu ni kuisitisha miradi yote na kujihami kwa kuweka pesa zote za nchi kwenye mfuko wa tahadhari. Mambo yakirejea normal tutaendelea na ujenzi.
Tanzania bila COVID-19 inawezekana kila mmoja wetu akiwajibika ipasavyo kuzingatia ushauri wa kujikinga dhidi yake na/au kuusambaza. Mawazo hayo ya kwako ni dhahiri hujawa tayari kufanya hivyo kiasi unashauri Serikali ndiyo iwajibike kudhibiti COVID-19.

JE, Wewe nyumbani kwako umechukua hatua gani?

Maisha yaendelee kama jana, juzi, leo na kesho.

JIKINGE UMKINGE JIRANI

JILINDE UWALINDE WAPENDWA WAKO
 
Nimekaa nikatafakari kwa kina sana, nikagundua kwamba, dawa ya ugonjwa kama Corona inaweza ikawa ni kutouzungumzia kabisa, utashangaa ugonjwa unayeyuka wenyewe na hata wagonjwa wanapotea kabisa, hii phenomena bado naifanyia utafiti, nitatolea andiko la kina sana.
word
 
Unajiuliza hivi wanaokufa kwa corona ni watu gani?
Bodaboda wapo imara,mamantilie wapo imara husikii hata mtu kuumwa

Ila ukiingia Jamii forum na Twitter Ndio kuna watu wanadeka sana mara hivi mara vile
Unaambiwa wanaothirika zaidi ni wazee/wenye umri mkubwa na ambao wanachangamoto tofauti za kiafya.

Sasa katika hayo makundi unadhani wapo wangapi?

Tazama hata hao waliokufa kwa corona.

Kikubwa ni kuchukua tahadhari kama ambavyo Rais wetu amechukua na ametuasa.

Wewe mwenyewe umejifungia ndani unashinda mitandaoni.

Sent using iphone pro max
 
Nasubiri kuona km hadi December kila Nchi zitakuwa zinatangaza maambukizi mapya
Niliandika kuhusu kutokutangaza takwimu za maambukizi na vifo kutokana COVID-19 nikashambuliwa kwelikweli. Serikali isitangaze maambukizi na vifo kutokana COVID-19 - JamiiForums

Narudia tena, takwimu hizo kwa sasa zitaleta taharuki kwa jamii kutokana kuwepo na watu, hasa wanasiasa, kuzipindisha na/au kuzitumia kutafuta umaarufu. Pia uwezekano wa kuketa taharuki katika jamii ni mkubwa sana.

Msimamo wangu ni uleule, kwamba takwimu zitumike na utawala kuchukua hatua stahiki kutokana na ushauri wa wataalamu ambao wanaendelea kutafuta au kuboresha mbinu za kudhibiti kusambaa na maambukizi mapya ya gonjwa hili.
 
Corona inatufundisha somo muhimu katika maisha.

Unapoingia kwenye duka au ofisi unapimwa joto na kunawishwa mikono lakini hakuna anayejali unapotoka. Yaani usituletee virusi vyako lakini hatujali ukiwapelekea wengine virusi vyetu. Ndio ubinafsi tulionao binadamu.

Ushauri: Unapoingia kokote, nawa mikono, ukitoka, nawa mikono!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salamu wakuu. Hili gonjwa bado linaua wazee tuchukue tahadhari sana. Achana na propaganda za kisiasa za akina Makonda na Rais Magufuli. Huu ugonjwa unaua mazee. Kuna rafiki yangu alikua na pharmacy pale Morogoro mjini Mr Rola wa Holland pharmacy RIP ilikua ni partinaship na wenzie wawili. Yasemekana walitembelewa na asymptomatic Covid-19 case hapo pharmacy. Pamoja na kumpatia huduma bahadi mbaya wali contract the infection. Wawili wao bahati mbaya wakatwaliwa akiwepo Mr Rola. Mmoja kaponea chupuchupu tunamshukuru Mungu.

Huu ugonjwa bado upo ndugu zangu . tuchukue tahadhari.
 
U

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unapata wapi ujasiri wa kubishana na mtakatifu!???? muulize Ndungulile kilichomkuta mwenzio mfalme wetu sultani souleyman khan hapingwi akiongea yeye kashasema hakuna jua hivyo hakuna.acha kutumika na mabeberu
 
Salamu wakuu. Hili gonjwa bado linaua wazee tuchukue tahadhari sana. Achana na propaganda za kisiasa za akina Makonda na Rais Magufuli. Huu ugonjwa unaua mazee. Kuna rafiki yangu alikua na pharmacy pale Morogoro mjini Mr Rola wa Holland pharmacy RIP ilikua ni partinaship na wenzie wawili. Yasemekana walitembelewa na asymptomatic Covid-19 case hapo pharmacy. Pamoja na kumpatia huduma bahadi mbaya wali contract the infection. Wawili wao bahati mbaya wakatwaliwa akiwepo Mr Rola. Mmoja kaponea chupuchupu tunamshukuru Mungu.

Huu ugonjwa bado upo ndugu zangu . tuchukue tahadhari.
tuwekee cheti chake cha kifo tuamini kama kweli amekufa kwa corona vinginevyo wewe litapeli pumbafu sawa na mitapeli na mizushi mingine
 
Back
Top Bottom