Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania bila COVID-19 inawezekana kila mmoja wetu akiwajibika ipasavyo kuzingatia ushauri wa kujikinga dhidi yake na/au kuusambaza. Mawazo hayo ya kwako ni dhahiri hujawa tayari kufanya hivyo kiasi unashauri Serikali ndiyo iwajibike kudhibiti COVID-19.Mbona hujashauri serikali kusitisha malipo ya mikopo ya nje pamoja na matumizi ya fedha kwenye miradi inayoendelea?
Ushauri wangu ni kuisitisha miradi yote na kujihami kwa kuweka pesa zote za nchi kwenye mfuko wa tahadhari. Mambo yakirejea normal tutaendelea na ujenzi.
wordNimekaa nikatafakari kwa kina sana, nikagundua kwamba, dawa ya ugonjwa kama Corona inaweza ikawa ni kutouzungumzia kabisa, utashangaa ugonjwa unayeyuka wenyewe na hata wagonjwa wanapotea kabisa, hii phenomena bado naifanyia utafiti, nitatolea andiko la kina sana.
Unaambiwa wanaothirika zaidi ni wazee/wenye umri mkubwa na ambao wanachangamoto tofauti za kiafya.Unajiuliza hivi wanaokufa kwa corona ni watu gani?
Bodaboda wapo imara,mamantilie wapo imara husikii hata mtu kuumwa
Ila ukiingia Jamii forum na Twitter Ndio kuna watu wanadeka sana mara hivi mara vile
Niliandika kuhusu kutokutangaza takwimu za maambukizi na vifo kutokana COVID-19 nikashambuliwa kwelikweli. Serikali isitangaze maambukizi na vifo kutokana COVID-19 - JamiiForumsNasubiri kuona km hadi December kila Nchi zitakuwa zinatangaza maambukizi mapya
USalamu wakuu. Hili gonjwa bado linaua wazee tuchukue tahadhari sana. Achana na propaganda za kisiasa za akina Makonda na Rais Magufuli. Huu ugonjwa unaua mazee. Kuna rafiki yangu alikua na pharmacy pale Morogoro mjini Mr Rola wa Holland pharmacy RIP ilikua ni partinaship na wenzie wawili. Yasemekana walitembelewa na asymptomatic Covid-19 case hapo pharmacy. Pamoja na kumpatia huduma bahadi mbaya wali contract the infection. Wawili wao bahati mbaya wakatwaliwa akiwepo Mr Rola. Mmoja kaponea chupuchupu tunamshukuru Mungu.
Huu ugonjwa bado upo ndugu zangu . tuchukue tahadhari.
tuwekee cheti chake cha kifo tuamini kama kweli amekufa kwa corona vinginevyo wewe litapeli pumbafu sawa na mitapeli na mizushi mingineSalamu wakuu. Hili gonjwa bado linaua wazee tuchukue tahadhari sana. Achana na propaganda za kisiasa za akina Makonda na Rais Magufuli. Huu ugonjwa unaua mazee. Kuna rafiki yangu alikua na pharmacy pale Morogoro mjini Mr Rola wa Holland pharmacy RIP ilikua ni partinaship na wenzie wawili. Yasemekana walitembelewa na asymptomatic Covid-19 case hapo pharmacy. Pamoja na kumpatia huduma bahadi mbaya wali contract the infection. Wawili wao bahati mbaya wakatwaliwa akiwepo Mr Rola. Mmoja kaponea chupuchupu tunamshukuru Mungu.
Huu ugonjwa bado upo ndugu zangu . tuchukue tahadhari.
Hawa makamanda wa ufipa wamechanganyikiwa. Kila siku wanaambiwa wachukue tahadhari lakini wao hawasikii wanataka hadi Magufuli awachape viboko ndio wataamini kuwa anawaambia ugonjwa bado upo lakini tujifunze kuishi nao.Nani kasema haupo?
kuna watu wagumu sana kuelewaHata magufuli kasema upo na anataka kujikinge huku tukifanya kazi
Sent using Jamii Forums mobile app