Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Wao walikuwa wamejificha kama jiwe na ccm huku wakiwaacha wenyeji wafeMay be! Lakini na wao walkuwa hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wao walikuwa wamejificha kama jiwe na ccm huku wakiwaacha wenyeji wafeMay be! Lakini na wao walkuwa hapa
Mimi sijala limao wala tangawizi nakunywa sana maji hata kipindi nilijihisi mgonjwa kichwa kiliuma sana na mwili ulikuwa umechooka km mwezi mzima wa 3 kwenda wa nne sikumwambia mtu nilipunguza safari nikawa nashinda peke yngu sana ndani.Kiukweli sijala limao ila majani yake ndo tunachemsha, hata nyungu sijapiga bado.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu ametushushia ugonjwa, na ametujaalia msimu wa malimao yenye maji mengi kama machungwa, mungu amejibu dua zetuAksante Mama Tibaijuka kubutua Kombolela
Mie leo nimezurura mjini bila ya Tambala la kufunika pua na Mdomo kama afanyavyo Mwamba wetu
Baada ya kufuturu hapa natandika Limao na matangawizi mpaka yanikome
Sent using Jamii Forums mobile app
Una kiburi weye mkulu katuambia tule limao ww unakula majani yake.....laiti angesema tule majani yake we ungekula limao....aisee!!Kiukweli sijala limao ila majani yake ndo tunachemsha, hata nyungu sijapiga bado.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie sijala ila nmeambiwa Pilipili kichaa pekee ndo tibaMimi binafsi na familia yangu tumesha yapiga sana malimao ili kujikinga na corona
Na siamini kama kuna mkazi wa hapa dar hajawahi kula limao kwa kipindi hichi cha kupambana na corona na kama yupo ana stahili pongezi kwa jinsi alivyo na roho ngumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Dawa ya coronaNi wazi mtakubaliana na mimi kuwa watendaji wengi wa serikali ni wazembe. Kitu ambacho ungekipata ndani ya dakika 2 itakuchukua mwezi yaani ubunifu zero kabisa. Hebu imagine tungefungiwa hako kagawio ka chakula kule kijijini kwenu ndugu zako wangefikiwa lini? Kifupi njaa ingetumaliza kabla ya corona.
Uamuzi wa Magufuli uliona mbali ila ulipaswa kuboreshwa na si kuacha mambo kuwa holela kama ilivyo leo
Noted.Corona ni mafua tu Sema kuna watu walijazwa uwoga na media za Mabeberu
Toa uchafu wako hapa, kila mtu apambane na hali yakeHawa ndugu .. Kwa ufupi wanasema mwanzoni kama nchi hawakuheshimu wala kuzingatia tahadhari ya kuepuka maambukizi, leo hii taifa linashuhudia idadi kubwa yamaambukizi na vifo,wauguzi sekta ya afya huko ni kama sasa imezidiwa na wagonjwa! ambapo katika masaa ishirini na nne yaliyopita wameripoti idadi kubwa kabisa ya vifo vya watu 1000...hii hali inatisha sana.
Hizi Habari za kuiaga corona hapa Dar zinaleta wasiwasi kwa sasa ni vema basi tungevuta subira kwanza ni kama bado mapema kufikiria kuwa huyu adui corona keshatoweka mjini.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Toa uchafu wako hapa, kila mtu apambane na hali yake