Tuhuma za uongo?Unauhakika alimpa nani? Tafadhali milango ipo wazi akidhibitisha hili hatua zinachukulowa mara moja.
Tuache kutoa tuhuma za uongo ambazo hazina taarifa
Nilikuwa nakuona mtu kumbe nawe ni takataka tu, usiamshe hasira zetu, tuna mengi ya moyoni ambayo tumehifadhi kwa rushwa zenu.