Inakera mno chief, mbaya zaidi wanakuja hapa majukwaani wanajifanya hawajui yanayoendelea.Ni kweli wanapenda kuchangisha Hela ya mafuta/ nauli, wakati mafuta ni ya serikali na wanalipwa na serikali. Ila dawa Yao ni kuandaa ushahidi na kuwaripoti makao makuu Dodoma