may 2024, hivi upo serious unalinganisha southafrica na tanzania, au unatania?Jifunze ku post picha vizuri.
Takwimu zako ni za lini??
Aiseeeeee wewe na Lucas kazi zenu ngumu sana.......South Africa hii ya Madiba barabara ya lami hadi kwenye mlango ndiyo tumeipiku???Katika miaka ya hivi karibuni,Tanzania imeonesha juhudi kubwa sana katika kuimarisha mtandao wake wa Barabara za mjini na Vijijini na kupelekea kuingia 10 Bora Afrika ya Nchi Zenye mtandao mkubwa na Bora wa Barabara ππ
View: https://www.instagram.com/p/DBtxqsVtgAU/?igsh=MTJ5MTJsZDkyOG10Zw==
My Take
Hongera TanRoads,Wizara ya Ujenzi na Serikali ya mama Samia Kwa kutoa kipaombele kwenye ujenzi wa Barabara.
Kazi inaendelea Kwa Kasi ππ
View: https://x.com/BusInsiderSSA/status/1852253431278281209?t=8MkHrRRWcBsL3VWZDX-qRw&s=19
Soma haya maelezo hapa ππElewa swali langu then jibu accordingly.
Inaweza kuwa ngumu kama hizo takwimu ni zangu au za serikali ila Sasa wamefanya wengine so hakuna ugumu hapoAiseeeeee wewe na Lucas kazi zenu ngumu sana.......South Africa hii ya Madiba barabara ya lami hadi kwenye mlango ndiyo tumeipiku???
Huwa unaelewa maswali au unajibu tu ili ujifurahishe?Soma haya maelezo hapa ππ
View: https://www.instagram.com/p/C_DVqCJtBDJ/?igsh=d2pycXo4MjFkeHlz
Shida Yako ni nini?Huwa unaelewa maswali au unajibu tu ili ujifurahishe?
Endelea kula magimbi huko uyole mkuuπ€£π€£Shida Yako ni nini?
Hii South Africa inayoshindanishwa hapa ni South Africa hii hii Azania ama kuna South Africa ipo Manzese mtaa wa Nzasa?Katika miaka ya hivi karibuni,Tanzania imeonesha juhudi kubwa sana katika kuimarisha mtandao wake wa Barabara za mjini na Vijijini na kupelekea kuingia 10 Bora Afrika ya Nchi Zenye mtandao mkubwa na Bora wa Barabara ππ
View: https://www.instagram.com/p/DBtxqsVtgAU/?igsh=MTJ5MTJsZDkyOG10Zw==
Pia soma Tanzania imeshika namba 9 Kwenye 20 Bora ya Nchi zenye Barabara bora Afrika Mwaka 2024. Yazipita Afrika Kusini, Algeria na Nigeria
My Take
Hongera TanRoads,Wizara ya Ujenzi na Serikali ya mama Samia Kwa kutoa kipaombele kwenye ujenzi wa Barabara.
Kazi inaendelea Kwa Kasi ππ
View: https://x.com/BusInsiderSSA/status/1852253431278281209?t=8MkHrRRWcBsL3VWZDX-qRw&s=19
Hii South Africa inayoshindanishwa hapa ni South Africa hii hii Azania ama kuna South Africa ipo Manzese mtaa wa Nzasa?
Mnapata faida gani kuongea vitu vya uongo?Katika miaka ya hivi karibuni,Tanzania imeonesha juhudi kubwa sana katika kuimarisha mtandao wake wa Barabara za mjini na Vijijini na kupelekea kuingia 10 Bora Afrika ya Nchi Zenye mtandao mkubwa na Bora wa Barabara ππ
View: https://www.instagram.com/p/DBtxqsVtgAU/?igsh=MTJ5MTJsZDkyOG10Zw==
Pia soma Tanzania imeshika namba 9 Kwenye 20 Bora ya Nchi zenye Barabara bora Afrika Mwaka 2024. Yazipita Afrika Kusini, Algeria na Nigeria
My Take
Hongera TanRoads,Wizara ya Ujenzi na Serikali ya mama Samia Kwa kutoa kipaombele kwenye ujenzi wa Barabara.
Kazi inaendelea Kwa Kasi ππ
View: https://x.com/BusInsiderSSA/status/1852253431278281209?t=8MkHrRRWcBsL3VWZDX-qRw&s=19
Nani anaeongea uongo? ππMnapata faida gani kuongea vitu vya uongo?
Hao business insider ni waongo waongo TuNani anaeongea uongo? ππ
View attachment 3140390
Labda kawaambie waongo ni Hawa hapa ππHao business insider ni waongo waongo Tu