may 2024, hivi upo serious unalinganisha southafrica na tanzania, au unatania?Jifunze ku post picha vizuri.
Takwimu zako ni za lini??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
may 2024, hivi upo serious unalinganisha southafrica na tanzania, au unatania?Jifunze ku post picha vizuri.
Takwimu zako ni za lini??
Katika miaka ya hivi karibuni,Tanzania imeonesha juhudi kubwa sana katika kuimarisha mtandao wake wa Barabara za mjini na Vijijini na kupelekea kuingia 10 Bora Afrika ya Nchi Zenye mtandao mkubwa na Bora wa Barabara 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DBtxqsVtgAU/?igsh=MTJ5MTJsZDkyOG10Zw==
My Take
Hongera TanRoads,Wizara ya Ujenzi na Serikali ya mama Samia Kwa kutoa kipaombele kwenye ujenzi wa Barabara.
Kazi inaendelea Kwa Kasi 👇👇
View: https://x.com/BusInsiderSSA/status/1852253431278281209?t=8MkHrRRWcBsL3VWZDX-qRw&s=19
Soma haya maelezo hapa 👇👇Elewa swali langu then jibu accordingly.
Inaweza kuwa ngumu kama hizo takwimu ni zangu au za serikali ila Sasa wamefanya wengine so hakuna ugumu hapoAiseeeeee wewe na Lucas kazi zenu ngumu sana.......South Africa hii ya Madiba barabara ya lami hadi kwenye mlango ndiyo tumeipiku???
Shida Yako ni nini?Huwa unaelewa maswali au unajibu tu ili ujifurahishe?
Endelea kula magimbi huko uyole mkuu🤣🤣Shida Yako ni nini?
Katika miaka ya hivi karibuni,Tanzania imeonesha juhudi kubwa sana katika kuimarisha mtandao wake wa Barabara za mjini na Vijijini na kupelekea kuingia 10 Bora Afrika ya Nchi Zenye mtandao mkubwa na Bora wa Barabara 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DBtxqsVtgAU/?igsh=MTJ5MTJsZDkyOG10Zw==
Pia soma Tanzania imeshika namba 9 Kwenye 20 Bora ya Nchi zenye Barabara bora Afrika Mwaka 2024. Yazipita Afrika Kusini, Algeria na Nigeria
My Take
Hongera TanRoads,Wizara ya Ujenzi na Serikali ya mama Samia Kwa kutoa kipaombele kwenye ujenzi wa Barabara.
Kazi inaendelea Kwa Kasi 👇👇
View: https://x.com/BusInsiderSSA/status/1852253431278281209?t=8MkHrRRWcBsL3VWZDX-qRw&s=19
Hii South Africa inayoshindanishwa hapa ni South Africa hii hii Azania ama kuna South Africa ipo Manzese mtaa wa Nzasa?
Katika miaka ya hivi karibuni,Tanzania imeonesha juhudi kubwa sana katika kuimarisha mtandao wake wa Barabara za mjini na Vijijini na kupelekea kuingia 10 Bora Afrika ya Nchi Zenye mtandao mkubwa na Bora wa Barabara 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DBtxqsVtgAU/?igsh=MTJ5MTJsZDkyOG10Zw==
Pia soma Tanzania imeshika namba 9 Kwenye 20 Bora ya Nchi zenye Barabara bora Afrika Mwaka 2024. Yazipita Afrika Kusini, Algeria na Nigeria
My Take
Hongera TanRoads,Wizara ya Ujenzi na Serikali ya mama Samia Kwa kutoa kipaombele kwenye ujenzi wa Barabara.
Kazi inaendelea Kwa Kasi 👇👇
View: https://x.com/BusInsiderSSA/status/1852253431278281209?t=8MkHrRRWcBsL3VWZDX-qRw&s=19
Nani anaeongea uongo? 👇👇Mnapata faida gani kuongea vitu vya uongo?
Hao business insider ni waongo waongo TuNani anaeongea uongo? 👇👇
View attachment 3140390
Labda kawaambie waongo ni Hawa hapa 👇👇Hao business insider ni waongo waongo Tu