Mtendaji Mkuu wa TANROADS: Tanzania inashika nafasi ya 9 kwa miundombinu ya barabara na madaraja kati ya nchi 54 za Afrika

Barabara za Lami Hadi Vijijini,tunaachaje kuwa Juu? 👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DB3neyXtkoK/?igsh=aGE0dGVpN3B0dDV1
 
Nchi hii ina vijana wa hovyo sana na serikali hii ina double standard sana, huwezi piga dual carriage outer ring tena inapita maporini huko Dodoma kama 110km,unaacha kupanua barabara inayoptisha malori mengi kama hiyo barabara ya Tazam mbeya,
 
Miundombinu bora ya barabara ni msingi muhimu kwa maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwa kuwa inawezesha harakati za watu, bidhaa, na huduma kwa urahisi na ufanisi zaidi na kuchochea ukuaji wa biashara, uzalishaji wa viwanda, kilimo, na sekta nyingine kwa ujumla.

Taarifa hizi zinakuja ikiwa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan imewekeza fedha nyingi katika ujenzi wa miundombinu ya barabara kuanzia mijini hadi vijijini.
Uwekezaji huo unalenga kuwarahisishia wananchi, kufanya shughuli zao za kiuchumi ikiwemo usafirishaji kwa urahisi ili kuharakisha maendeleo yao na Taifa kwa ujumla.

Wakati nchi nyingine za Afrika zimepiga hatua kubwa katika kuendeleza na kutunza miundombinu yao ya barabara, nchi zingine bado zinakabiliwa na changamoto za miundombinu isiyotosheleza, utaratibu duni wa matengenezo, na ukosefu wa uwekezaji katika mifumo ya usafiri.

Kulingana na ripoti iliyopewa jina ‘Cross-Border Road Corridors Expanding Market Access in Africa and Nurturing Continental Integration’, kuna ongezeko la gharama za uzalishaji zinazotokana na ukosefu mkubwa wa miundombinu ya barabara barani Afrika, hali inayochangia matatizo kama vile ucheleweshaji wa usafirishaji, gharama kubwa za matengenezo ya magari, na ukosefu wa upatikanaji wa masoko nakadhalika.

Hii ni orodha ya nchi 10 bora za Afrika zenye miundombinu bora ya barabara mnamo mwaka wa 2024;

1. Namibia
2. Misri
3. Benin
4. Rwanda
5. Mauritius
6. Côte d’Ivoire
7. Morocco
8. Kenya
9. Tanzania
10. Afrika Kusini

Chanzo: SwahiliTimes
 
Mods unganisha huu Uzi, tayari upo humu jukwaani
 
Rais Samia Aiongoza Tanzania kuwa nchi ya 9 Kati ya 54 Afrika katika Miundo mbinu bora

Na: Keneth Mushiu, Dodoma

Juhudi za Rais Samia Hassan za ujenzi wa Miundo mbinu bora kwa ajili ya uchumi wa nchi umeifanya Tanzania kushika nafasi ya 9 kati ya nchi 54 za Afrika.

Katika nchi kumi bora zenye viwango bora vya barabara Afrika, Tanzania imeshika nafasi ya pili Afrika Mashariki baada ya Kenya na ya tisa kati ya kumi bora.

Kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na mtandao wa Statista ikichapishwa na businessinsider, Tanzania ipo katika nafasi ya tisa ikiwa na alama 4.41.

Taarifa hizi zinakuja ikiwa serikali ya Tanzania inaendelea kuweka fedha nyingi katika ujenzi wa miundombinu ya barabara kuanzia mijini hadi vijijini.

Uwekezaji huo unalenga kuwarahisishia wananchi, kufanya shughuli za kiuchumi ikiwemo usafirishaji kwa urahisi, ili kuharakisha maendeleo yao na ya Taifa kwa ujumla.

Kwa sasa Tanzania inajengwa kila kona ya nchi lengo kubwa la serikali ikiwa ni kuhakikisha kuwa nchi inapitika, nchi inaunganishwa na nchi jirani na kuhakikisha mazao ya nchi yanatoka mashambani kwenda katika masoko ya ndani na nje.

Ni kutokana na adhima hii ya serikali, Rais Samia amehakikisha kuwa miundo mbinu ya barabara inajengwa, miundo mbinu ya majini inaboreshwa na meli mpya na vivuko vinajengwa na ndege mpya zaidi ya 15 zimenunuliwa.

Kwa sasa watanzania wanafurahia matunda hayo ukianzia na SGR ambayo kila siku inasafirisha zaidi ya abiria elfu kumi kutoka Dar es salaam kupitia Morogoro kwenda Dodoma.

Sio hiyo tu Watanzania wanafurahia kujengwaa kwa barabara za juu kama zile za Mfugale, Kijazi na nyingine nyingi.

Lakini kuna lile daraja lefu Afrika Mashariki na kati la Busisi ambalo limefikia zaidi ya asilimia 94. Haya si tu ni maajabu ila Rais ameamua Tanzania kwenda mbele na kuunganisha nchi za jirani.

Kama hiyo haitoshi ile Meli ya MV Mwanza Hapa Kazi tu ambayo itabeba zaidi ya tani 400 na abiria zaidi ya 1200 ipo hatua za mwisho kumalizika na kuanza kazi.

Haya ni kwa uchache lakini watanzania na dunia wanajua kuwa Rais Samia ni kinara wa miundo mbinu bora kwa ajili ya Tanzania, watanzania na dunia nzima.

Nchi kumi zenye miundo mbinu bora kwa mfuatano ni Namibia, Misri, Benin, Rwanda, Mauritius, Cote d’Iviore, Morocco, Kenya, Tanzania na Afrika Kusini.
 
Attachments

  • IMG_1433.jpeg
    59.6 KB · Views: 2

Hizi takwimu hazina uhalisi hata kidogo.wanaotoa takwimu Huwa wanamalengo Yao binafsi ya kujinufaisha kupitia kuwapa sifa viongozi wa Nchi husika wanayotaka wanufaike nao
 
Rubbish, number 9 with these patched up roads. He must be an idiot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…