ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Barabara za Lami Hadi Vijijini,tunaachaje kuwa Juu? 👇👇Ubora wa barabara kuipita SA kwa Tan road hii hii iliyofilisiwa mpaka mishahara ni tabu, au mimi ndiyo sielewi. Inawezekana kwa hisia ila sio uhalisia. Barabara ya Ramadi Shinyanga kabla haijakabidhiwa ilikuwa mashimo na madimbwi mpaka ikarudiwa karibu nusu ya mradi. Mifano ni mingi nitajaza tu. Tungekuwa wakali kama China kusimamia miradi hakika tungekuwa mbali. Kusifu au kuweka takwimu feki kujipandishia daraja kimataifa ni kukubali kudumaa. Ukizingatia sasa makampuni hawaogopi tena kuharibu miradi maana mwamba alishatoweka. Mbona tunaziona hizi barabara za mashimo au tunaishi hewani.
View: https://www.instagram.com/reel/DB3neyXtkoK/?igsh=aGE0dGVpN3B0dDV1