Drifter
JF-Expert Member
- Jan 4, 2010
- 5,122
- 5,104
Katika miaka ya hivi karibuni,Tanzania imeonesha juhudi kubwa sana katika kuimarisha mtandao wake wa Barabara za mjini na Vijijini na kupelekea kuingia 10 Bora Afrika ya Nchi Zenye mtandao mkubwa na Bora wa Barabara 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DBtxqsVtgAU/?igsh=MTJ5MTJsZDkyOG10Zw==
Pia soma Tanzania imeshika namba 9 Kwenye 20 Bora ya Nchi zenye Barabara bora Afrika Mwaka 2024. Yazipita Afrika Kusini, Algeria na Nigeria
My Take
Hongera TanRoads,Wizara ya Ujenzi na Serikali ya mama Samia Kwa kutoa kipaombele kwenye ujenzi wa Barabara.
Kazi inaendelea Kwa Kasi 👇👇
View: https://x.com/BusInsiderSSA/status/1852253431278281209?t=8MkHrRRWcBsL3VWZDX-qRw&s=19
Wale ambao hamtaki mezeni Razor barbed wire 👇👇
View: https://youtu.be/1xZXCDAOBvg?si=xQkfHPGdjXSOef0U
Yo’ damn right. Tanania imeipiku hata USA kwenye ukuaji wa uchumi. Mwaka jana tulifikia kama 5.2% wakati US waliishia 2.4% hivi.
Sijui nani apigiwe makofi.