Unajua gharama ya seats tatu kujumlisha accompanying medical personnel ni walau kiasi gani minimum?Wangechukua siti tatu za pamoja na mtoto alazwe hapo.
Kama mabasi yanabeba wagonjwa mahututi kwa nini ndege ishindwe?
Huyo mtoto ana uwezo wa ku-afford gharama za kukodi ndege?Expensive kuliko maisha ya mtoto.mdogo kama huyo ambaye future iko gizani
Mbona profesa J waligharqmikia matibabu? Wameshindwa nini kumlipia mtoto nauli yq ndg hata kama watu ni 10. Watu wanaenda kwny mikutano huko ulaya na watu hata 50 mbona husemi gharama?Unajua gharama ya seats tatu kujumlisha accompanying medical personnel ni walau kiasi gani minimum?
Angalieni mambo kwa uhalisia wake, tusikalie tu kupiga soga hapa tuonekane tumeumia au kuchukizwa sana.
Thamani ya maisha ya mtanzania. Wafanyakazi fulani wanasafiri kwa ndege kila kukicha. Lakini mgonjwa serious ana safirishwa by road.Mtu yuko Kigoma anasafirishwa kwa gari kuja Dar? Kwani gharama za mafuta ya gari kwenda na kurudi na wahudumu wote si zingefidiwa na tiketi ya ndege
Nchi watu,viongz wanafkMbona profesa J waligharqmikia matibabu? Wameshindwa nini kumlipia mtoto nauli yq ndg hata kama watu ni 10. Watu wanaenda kwny mikutano huko ulaya na watu hata 50 mbona husemi gharama?
Inasikitisha sidhani kama hata kwenye zama za mawe watu walikua wanasafiri umbali wote huo kufuata matibabu hasa ukizingatia mtu yuko mahututiMtu yuko Kigoma anasafirishwa kwa gari kuja Dar? Kwani gharama za mafuta ya gari kwenda na kurudi na wahudumu wote si zingefidiwa na tiketi ya ndege
Mtu yuko Kigoma anasafirishwa kwa gari kuja Dar? Kwani gharama za mafuta ya gari kwenda na kurudi na wahudumu wote si zingefidiwa na tiketi ya ndege
fuvu lilikuwa limekatwa na panga kwa kima Cha nch 5 Kama sikosei ,halafu NI mahututi ,mnampakia kwa ambulance from kigoma to dar,aise hapo lzm mfikishe marehemu sio mgonjwa .kwa nn wasiwavhukulie tiketi ya ndege !???? anyway ,all in all ,tumuachie Allah!!!, rest easy young boy
Air Ambulance service mbona ziko nyingi tu!kilicho hitajika hapa ni utashi na nani wa kubeba gharama mbona huko huko Kigoma mtalii mzungu akipata changamoto serious ya afya anaitiwa hizo? Unamtoa mgonjwa tena mtoto kutoka ICU na kumsafirisha kwa Ambulance ya kawaida 2dys trip to Dar jamani unategemea nini?Ndege zetu zinazoenda Kigoma (Bombardier) hazina stretcher, haziwezi kubeba mgonjwa asiyeweza kukaa na au anayehitaji uangalizi maalumu, labda wangekodi ndege binafsi which is way more expensive.
Wakati Nape anakodishiwa helikopta kuzunguka nchi nzima "kuhamasisha" watu wafunge vibao vya majina mitaani. Huu upuuzi upo Banana republics pekeeInasikitisha sidhani kama hata kwenye zama za mawe watu walikua wanasafiri umbali wote huo kufuata matibabu hasa ukizingatia mtu yuko mahututi
Hao ni viongozi waandamizi na ipo kisheria. Professor Jay ni kwasababu ya umaarufu wake and he caught government's attention.Mbona profesa J waligharqmikia matibabu? Wameshindwa nini kumlipia mtoto nauli yq ndg hata kama watu ni 10. Watu wanaenda kwny mikutano huko ulaya na watu hata 50 mbona husemi gharama?