Angekuwa msanii hapoAir Ambulance service mbona ziko nyingi tu!kilicho hitajika hapa ni utashi na nani wa kubeba gharama mbona huko huko Kigoma mtalii mzungu akipata changamoto serious ya afya anaitiwa hizo? Unamtoa mgonjwa tena mtoto kutoka ICU na kumsafirisha kwa Ambulance ya kawaida 2dys trip to Dar jamani unategemea nini?
Serikali inatoa wapi hela ya kuwa inasafirisha kila mgonjwa mahututi kwa ndege? au wagonjwa wengine mahututi siyo Watanzania?Kwa hiyo serikali isingeweza kutoa complimentary hizo seats 4 au 5 kutoka Kigoma kuja DAR?
Hapa tunalalamikia kwanini serikali haikumsafirisha mtoto kwa ndege halafu ww unakuja kutetea ujinga kwa kujifanya unajua sana kubana matumizi.
Kwani hiyo gari kutoka Kigoma hadi DAR ni almost 1400 Km one way X 2=2800KM let say kila lita ya Diesel ni 3360 Tsh na gari inatumia 10Km kwa 1 lita(2800KM =280lita X3360=? + per diem za dereva na nesi=?
Wangeshindwa kulipia ndege hata kama ATCL hawana complimentary tickets?
Tusihalalishe uzembe wakati kuna better option.
Shida mmejawa hisia kuliko uhalisia. Acheni unafiki.Unalinganisha uhai wa mtu na gharama uko sawa kweli, angekuwa mwanao ungeandika hivi!!? Hebu tuambie ni tirioni ngapi hizo gharama
Una tatizo wewe
Serikali zote duniani haziwezi kutoa hizo huduma kwa watu wote.So what is yo point here?
Kila mkoa/wilaya unakuwa na pesa ya emergency kwa matukio ambayo yana sura ya upekee.Serikali inatoa wapi hela ya kuwa inasafirisha kila mgonjwa mahututi kwa ndege? au wagonjwa wengine mahututi siyo Watanzania?
Unakiri serikali huwa inawasaidia inapoweza, wakati huohuo unailalamikia haijamsaidia huyu mtoto; una akili timamu?Kila mkoa/wilaya unakuwa na pesa ya emergency kwa matukio ambayo yana sura ya upekee.
Hujawahi kusikia kuna baadhi ya matukio serikali imegharamia matibabu ya mtu/watu au maziko kwa kununua majeneza pamoja na kusafirisha maiti?
Unadhani serikali inaendeshwa kama ghetto la masela?
Au ww ni denti iliyemaliza form six juzi kati hujui uendeshaji wa serikali?
Ww mwenye akili timamu tuambie kwanini mtoto aachwe afe wakati pesa za maafa zipo?Unakiri serikali huwa inawasaidia inapoweza, wakati huohuo unailalamikia haijamsaidia huyu mtoto; una akili timamu?
We jamaa ni moja ya wapumbavu waliotukuka JF nimekutukana tusi kubwa sana shenzy typeSerikali inatoa wapi hela ya kuwa inasafirisha kila mgonjwa mahututi kwa ndege? au wagonjwa wengine mahututi siyo Watanzania?
Huyu ni mpumbavu mwandamiziKila mkoa/wilaya unakuwa na pesa ya emergency kwa matukio ambayo yana sura ya upekee.
Hujawahi kusikia kuna baadhi ya matukio serikali imegharamia matibabu ya mtu/watu au maziko kwa kununua majeneza pamoja na kusafirisha maiti?
Unadhani serikali inaendeshwa kama ghetto la masela?
Au ww ni denti iliyemaliza form six juzi kati hujui uendeshaji wa serikali?
Nani huyo?Huyu ni mpumbavu mwandamizi
Inawezekana hujui vitu au unajitoa ufahamu serikali huwa inasafirisha wagonjwa mpk nje ya nchi kwa wagonjwa wenye case zilizoshindikana hapa nchini sasa unafikiri huko huwa wanaenda kwa punda?Shida mmejawa hisia kuliko uhalisia. Acheni unafiki.
Tangu lini serikali inatoa huduma za anga za usafiri kwa wagonjwa mahututi?
Get rational & realistic, pal. Siyo kila sehemu unaweka siasa na unafiki.
Huu ndo ukweli mkuu.Sijui kuna nn huko ndoani mpaka wawe hivi?mimi tatizo likitokea huwa naangalia chanzo. Tuseme ukweli Dada zetu na Mama zetu wengi walioolewa ni wachafu sana siku hizi. Wanaume wengi hawana raha tena na ndoa zao kuchepuka imekuwa fashion.
Jamii iwafunde kinadada na kinamama watulie kwenye ndoa zao.
Kuna mabadiliko makubwa ya kitabia ya wanawake wa kisasa wanatafuta ndoa kwa nguvu akishaolewa tu tayari ataanza kuchepuka.Huu ndo ukweli mkuu.Sijui kuna nn huko ndoani mpaka wawe hivi?
Halaf utakuta ki ambulance chenyewe hakina vifaa vyovyote ku deal na life threatening emergencies.Umasikini umechukua maisha ya mtoto daah.
Hivi kweli unamtoa mgonjwa mahututi kutoka kigoma mpaka dar kwa gari? Na hizi barabara zetu kweli.
Aisee hiki kifo cha huyu dogo kimeniuma, imeonesha ni jinsi gani hatujari uhai wa watu, na mkuu wa wilaya ana taarifa kabisaa ya hali ya mtoto.