Mtoto auawa baada ya familia kushindwa kutuma Milioni 6 kwa watekaji

Mtoto auawa baada ya familia kushindwa kutuma Milioni 6 kwa watekaji

Samia atoe hata tamko kukemea haya mambo kuliko kukaa kimnya. Huo uchunguzi aliomba ufanyike haraka mpaka leo hakuna mshukiwa hata mmoja tumesikia amekatwa na tukio lilifanyika wazi tena kwenye capital city​
 
Samia atoe hata tamko kukemea haya mambo kuliko kukaa kimnya. Huo uchunguzi aliomba ufanyike haraka mpaka leo hakuna mshukiwa hata mmoja tumesikia amekatwa na tukio lilifanyika wazi tena kwenye capital city​
Nikiwa km mmoja wa wanachama waliowahi kula Zero CHAZITA ninakemea mauaji ya hao watu
 
Hizi kazi za upolisi Huwa zinawafanya kukosa utu kabisa.yaani askari analazimisha apewe milioni sita ili amwachie huyo mtoto lakini alipozikosa akaamua kuua.
 
Mambo ya usalama wanahitajika watu competent kweli, siyo kimemo au rushwa itakayosaidia kutatua changamoto za kiusalama...mifumo ikishakuwa corrupt Kwa kuingiza watu wasiostahili Kwa manufaa Yao binafsi basi matokeo huonekana mbeleni, kinachotia hofu ni kwamba miaka Ishirini mbele kutakuwa na Hali Tete zaidi.
 
Watawafikia huko we ngoja

Ova
Wamesha anza kuteka kwa sababu ya kudai pesa sasa watazifikia familia za viongozi.
Hatimae tunajiunga kundi la Mexico na Colombia.
Wakiambiwa wapunguze pengo kubwa kati ya walionazo na wasiokuwanazo wanajibu kwa jeuri tuache uvivu tujiajiri.
Huku wao na watoto wao hadi wa chekechea wanataka kuajiriwa pia wanataka madaraka na siasa tu.
 
Huyu mama kutuharibia sana Nchi.mamvo ya kutekana Kwa Sasa yamekuwa ni jambo la kawaida.kila siku yanatokea na yeye yupo tu anakula kiyoyozi
 
Kutekana itakuwa vyanzo vya watu kupata kipato
Wahalifu wataona ahh kumbe kutekana inawezekana,ngoja tumteke mtoto wa fulani au wa familia fulani alafu tudai hela

Ova
Itakuwa hatari sana
 
Sasa kama polisi ndio wanateka watu na kudai ‘Ransom money’ na kuua, inabidi kila raia awe mlinzi wa mwenzake, kila mtu akae na sime ndani kwake, polisi akija kukukamata bila mwenyekiti wa serikali ya mtaa, anapaswa kuchinjwa kama kuku! Yaani tunapambana na polisi na majambazi kwa pamoja..
Wengine labda ni wahalifu kweli wanatumia mkanganyiko na ombwe lililopo wakijua lawama zitaelekezwa kwingine.
 
Serikali kupitia vyombo vya ulinzi na usalama imeshindwa kuhakikisha usalama na uhai wa Watanzanja.

Wawajibike
Msanii ukisema vyombo ya ulinzi na usalama hapo kwenye ulinzi unamaanisha jeshi kitu ambacho sio sahihi kwa sababu hiyo sio kazi yake. Vyombo vya usalama ndio hivyo vyote vinavyojulikana sana.
 
Inahuzunisha sana Kumuua mtoto kijana ambao watatuzika sisi baadae.
 
Back
Top Bottom