Mtoto wa kaka yangu wa kwanza (First born) amebamiza 'A' za kutosha za darasa la nne mpaka nimeogopa sana, tutafute pesa Elimu nzuri ni gharama

Mtoto wa kaka yangu wa kwanza (First born) amebamiza 'A' za kutosha za darasa la nne mpaka nimeogopa sana, tutafute pesa Elimu nzuri ni gharama

Mungu niguse

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2024
Posts
272
Reaction score
729
Wakuu this is the first time nashuhudia kijana wa kaka yangu anafanya maajabu kama haya.


Kiufupi nimefurahi sana huyu angekuwa st kayumba sijui kama angepata hata A moja

Elimu nzuri ni gharama wakuu.

Kila mwaka inatoka mil 5 Ila matunda ni mazuri.

Ukiachana na hilo anaongea kiingereza Kama kiswahili.

Anajiamini
Anachambua mambo makubwa politics ,n.k


Elimu nzuri ni gharama.
 
Niliwahi kwenda pale Agha Khan Primary School, ipo jirani na shule za Zanaki, Olympio na Diamond.

Umasikini ni mbaya tena ni laana, ee Mungu Baba tutoe huku. Wale watoto ukiwatazama wooote unawaona wamenawiri, wana afya, ngozi nyeusi ina mafuta mafuta yenye kupendeza.

Watoto wadogo wameshiba vizuri, uniform imekaa penyewe, imemtight vizuri. Vifungo vya shati vimebana, kiatu cheusi na soksi nyeupeee.

Hakuna mtoto asiyechana nywele, hakuna mtoto akiongea anarusha mate. Watoto wanacheza kistaarabu, muda wa kutoka pale nje hakuna bajaj au boda hata moja inayosubir kumchukua mtoto, nje kuna prado, harrier, benz, alphard n.k hizi IST, Raum, Rumion ambazo sisi tunatambazo nazo basi pale ndo gari za kwenda kuchukulia watoto.

Ukikaa pale kwa lisaa tu hakika utachukia hizi shule zetu za Kayumba. Walimu wapo smart, hakuna mwalimu kavaa kata K, hakuna mwalimu anayevaa suluari za malinda au zile suluari za karume za elfu tatu tatu sijui elfu nne.

Ee Mungu utusaidie.
 
Wakuu this is the first time nashuhudia kijana wa kaka yangu anafanya maajabu kama haya.


Kiufupi nimefurahi sana huyu angekuwa st kayumba sijui kama angepata hata A moja

Elimu nzuri ni gharama wakuu.

Kila mwaka inatoka mil 5 Ila matunda ni mazuri.

Ukiachana na hilo anaongea kiingereza Kama kiswahili.

Anajiamini
Anachambua mambo makubwa politics ,n.k


Elimu nzuri ni gharama.
Mwanangu ana soma kayumba na kapata ufaulu wa grade A

KINACHO NISHANGAZA MWANANGU ANA UWEZO WA AKILI UNAO STAAJABISHAA.

NAWEKA NA MATOKEO YAKE HAPA CHINI.

Screenshot_20250104-131138_1.jpg


IMG-20250104-WA0010_2.jpg

FROM KAYUMBA.
 
Ndo shida ya watu tusiokuwa na hela hii
Sasa kama akifanana na aliyesoma Kayumba ndo nini?, hutaki wafanane ama😂
Huwezi mchukua mtoto wa Feza Primary School uje umpambanishe na mtoto wa Mbagala Kuu Primary School.

Tusiongee saana, embu mtu mmoja aende ktk hizo shule akae ata lisaa tu kisha aje atupe ushuhuda ameona nini.

Zile shule kila muda ni safi, watoto wanapigwa na feni, vitabu na nyezo ni za kutosha. Mwalimu hana stress za mshahara, mwalimu na mwanafunzi wakiwa darasani wote tayari wamekula vizuri na kushiba, hakuna ubuyu wala kachori. Kule mayai, maziwa, samaki n.k vitu ambavyo vinaboost akili ya mtoto.

Wakati mtoto anakula hivyo, huku Kayumba mwalimu tu samaki anakula mara moja au mbili kwa mwezi, akila samaki, kuku ni kama anasa kwake.
 
Back
Top Bottom