Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nope nimempiga 3 bila mkuu. Yani Mimi mwanamke nimemla bure halafu wewe mwanamke huyo huyo umemla kwa milioni halafu tuwe sawa mkuu? How ?Walau sasa mpaka muda huu matokeo ni 3-3!
Dooh!! Mwisho wa yote ni kuongea kingereza na kuchambua siasa.... uvumbuzi na kuleta mabadiliko katika Jamie yako sifuri.. "wabongo tujitadhmini"Wakuu this is the first time nashuhudia kijana wa kaka yangu anafanya maajabu kama haya.
Kiufupi nimefurahi sana huyu angekuwa st kayumba sijui kama angepata hata A moja
Elimu nzuri ni gharama wakuu.
Kila mwaka inatoka mil 5 Ila matunda ni mazuri.
Ukiachana na hilo anaongea kiingereza Kama kiswahili.
Anajiamini
Anachambua mambo makubwa politics ,n.k
Elimu nzuri ni gharama.
NakaziaHili nalo limekushangaza wakati huko kayumba madogo kibao wamepiga hizo A.
Kinachopaswa kukushangaza ni, imekuaje madogo wa kayumba wamepiga A 🤣🤣🤣🤣
Mimi mboni ninae hapa kasoma kayumba na kapiga A zote ila serikali imempeleka shule mbaya zaidi kuzidi ile ya mwanzo hapa ndio ninapoona hawa hua wanaua ndoto za watoto wengihuyu angekuwa st kayumba sijui kama angepata hata A moja
Umejuaje kama atakwenda UDSM? Mzazi wake anaweza kumpeleka chuo kingine nje ya nchi.Finally UDSM.
Nafikiri kaongelea kwa walio wengi karibu 95%Umejuaje kama atakwenda UDSM? Mzazi wake anaweza kumpeleka chuo kingine nje ya nchi.
Amewatoa kimasomaso ukoo wenu maana haijawahi tokea. Si kwa shangwe hiziWakuu this is the first time nashuhudia kijana wa kaka yangu anafanya maajabu kama haya.
Kiufupi nimefurahi sana huyu angekuwa st kayumba sijui kama angepata hata A moja
Elimu nzuri ni gharama wakuu.
Kila mwaka inatoka mil 5 Ila matunda ni mazuri.
Ukiachana na hilo anaongea kiingereza Kama kiswahili.
Anajiamini
Anachambua mambo makubwa politics ,n.k
Elimu nzuri ni gharama.
Muache tu achague njia yake bro, hata huko anaweza kufail badae akaja kukulaumu. Life is unpredictableMimi nikija kuwa na pesa na familia yangu watoto shule kidgo ila nitawekeza kwenye watoto kuwapeleka academy za mpira huko ulaya..
wanasomesha watoto wao shule kubwa mkuu, shule za kizunguElimu ya Tz ni utapeli aheri hzo 5 Milion kwa mwaka,uwekeze UTT atazikuta huko ukubwani!! Faten wahind na waarabu jns wanai treat elimu kwa hapa bongo.
You are very right mkuu . Jamaa wanatumia nguvu nyingi sana kwenye sehemu inayo hitaji kutumia akili na hesabu rahisi tu..Wenzako watoto wao wamebamiza hizo hizo A za kutosha wakiwa Kayumba with 0 cost.
Unajua kuna time ukifanya cost-benefit analysis, utajikuta mambo mengi tunafanya kwa kukurupuka tu, mfano, enzi zangu mimi nilipiga 1 kali form 4 hata leo watoto wanapiga 1 shule za serikali, wakat wengine wanaoiga 1 kali hizo hizo wakizilipia mamilion ya fedha na mwisho wa siku wote mnakutana UD au Muhas, huwa najiuliza, what the heck is this??
Kama mtoto anaweza pata hizo As serikalini binafsi naona ni hasara mwingine anapozipata kwa kutumia mamilion kila mwaka
NB
Sipingi shule bora wala sio kwamba nam support LIKUD , kila mtu aachwe afanye anavyojisikia.
Mkuu, Hata mimi nilisoma kayumba enzi zanguMwanangu ana soma kayumba na kapata ufaulu wa grade A
KINACHO NISHANGAZA MWANANGU ANA UWEZO WA AKILI UNAO STAAJABISHAA.
NAWEKA NA MATOKEO YAKE HAPA CHINI.
View attachment 3193004
View attachment 3193008
FROM KAYUMBA.
Sijui kwann nimecheka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Finally UDSM.
Wakuu this is the first time nashuhudia kijana wa kaka yangu anafanya maajabu kama haya.
Kiufupi nimefurahi sana huyu angekuwa st kayumba sijui kama angepata hata A moja
Elimu nzuri ni gharama wakuu.
Kila mwaka inatoka mil 5 Ila matunda ni mazuri.
Ukiachana na hilo anaongea kiingereza Kama kiswahili.
Anajiamini
Anachambua mambo makubwa politics ,n.k
Elimu nzuri ni gharama.
Kila mtu na maamuzi yake mkuu, hela anayo kwanini asipeleke mwanae sehemu nzuri akapata quality education ?Wenzako watoto wao wamebamiza hizo hizo A za kutosha wakiwa Kayumba with 0 cost.
Unajua kuna time ukifanya cost-benefit analysis, utajikuta mambo mengi tunafanya kwa kukurupuka tu, mfano, enzi zangu mimi nilipiga 1 kali form 4 hata leo watoto wanapiga 1 shule za serikali, wakat wengine wanaoiga 1 kali hizo hizo wakizilipia mamilion ya fedha na mwisho wa siku wote mnakutana UD au Muhas, huwa najiuliza, what the heck is this??
Kama mtoto anaweza pata hizo As serikalini binafsi naona ni hasara mwingine anapozipata kwa kutumia mamilion kila mwaka
NB
Sipingi shule bora wala sio kwamba nam support LIKUD , kila mtu aachwe afanye anavyojisikia.
Shida sio waalim competent noooo, big noo, suala ni usimamiz kwa watoto wetu basi, kwakifup wazaz sasa wanakwepa jukum la msingi la kusimamia na kuongoza watoto kwenye masuala ya msingi hii ni fursa private wameiona ndio wanawapigia pesaMkuu, Hata mimi nilisoma katumba enzi zangu
I don't mean to brag ila I'm super smart, niliosoma nao wanaelewa, ila quality ya education kwa private schools (Zenye kueleweka sio hizi ilimradi tu imeitwa private za ada hadi laki sita) ni ya juu mno ukilinganisha na shule zetu. Shule za Kayumba ku-outstand inategemea zaidi na jitihada binafsi, walimu hawako competent kabisa