abdulrahman Said
JF-Expert Member
- Sep 11, 2019
- 719
- 952
Ndo maana ya kuletwa hela sasa, it's capitalism broShida sio waalim competent noooo, big noo, suala ni usimamiz kwa watoto wetu basi, kwakifup wazaz sasa wanakwepa jukum la msingi la kusimamia na kuongoza watoto kwenye masuala ya msingi hii ni fursa private wameiona ndio wanawapigia pesa
Tukubali dunia imebadilika sio kila kitu utafanya wewe mzazi na haushindi 24hr na mtoto wako, toa hela watafill gape ambayo kwa namna fulani hutaifill