Mtoto wa kaka yangu wa kwanza (First born) amebamiza 'A' za kutosha za darasa la nne mpaka nimeogopa sana, tutafute pesa Elimu nzuri ni gharama

Mtoto wa kaka yangu wa kwanza (First born) amebamiza 'A' za kutosha za darasa la nne mpaka nimeogopa sana, tutafute pesa Elimu nzuri ni gharama

Wanafunzi wa private wanaufaulu mkubwa kwenye makaratasi lakini sio technical
 
Wakuu this is the first time nashuhudia kijana wa kaka yangu anafanya maajabu kama haya.


Kiufupi nimefurahi sana huyu angekuwa st kayumba sijui kama angepata hata A moja

Elimu nzuri ni gharama wakuu.

Kila mwaka inatoka mil 5 Ila matunda ni mazuri.

Ukiachana na hilo anaongea kiingereza Kama kiswahili.

Anajiamini
Anachambua mambo makubwa politics ,n.k


Elimu nzuri ni gharama.
Sie mbona tulisoma st. Kayumba na A tulizioga!? , Kwani kwenye pesa na kayumba wanatumia mtaala tofauti!?. Huyo na akili anazo tu, wapo wanasomeshwa kwa gharama lakini hakuna kitu.
 
Wakuu this is the first time nashuhudia kijana wa kaka yangu anafanya maajabu kama haya.


Kiufupi nimefurahi sana huyu angekuwa st kayumba sijui kama angepata hata A moja

Elimu nzuri ni gharama wakuu.

Kila mwaka inatoka mil 5 Ila matunda ni mazuri.

Ukiachana na hilo anaongea kiingereza Kama kiswahili.

Anajiamini
Anachambua mambo makubwa politics ,n.k


Elimu nzuri ni gharama.
Unajua walivyofundishwa kupeana majibu sahihi?Tuliza kipago wewe!
 
Akienda chuo apige GPA ya 5 kisha tukutane kwa rafiki yetu mpenzi JOBLESS
 
Wakuu this is the first time nashuhudia kijana wa kaka yangu anafanya maajabu kama haya.


Kiufupi nimefurahi sana huyu angekuwa st kayumba sijui kama angepata hata A moja

Elimu nzuri ni gharama wakuu.

Kila mwaka inatoka mil 5 Ila matunda ni mazuri.

Ukiachana na hilo anaongea kiingereza Kama kiswahili.

Anajiamini
Anachambua mambo makubwa politics ,n.k


Elimu nzuri ni gharama.
Wanagezerea sana hao wa private.
 
Wako waliosoma huko sasa hivi wanasota na bahasha za kusaka ajira elimu ya sasa hivi tusome kwa ajili ya kuikabili nature ila sio ajira na uwekezaji mkubwa sana kwenye elimu ya kukariri bila ujuzi ni kuchezea pesa.
 
Wakuu this is the first time nashuhudia kijana wa kaka yangu anafanya maajabu kama haya.


Kiufupi nimefurahi sana huyu angekuwa st kayumba sijui kama angepata hata A moja

Elimu nzuri ni gharama wakuu.

Kila mwaka inatoka mil 5 Ila matunda ni mazuri.

Ukiachana na hilo anaongea kiingereza Kama kiswahili.

Anajiamini
Anachambua mambo makubwa politics ,n.k


Elimu nzuri ni gharama.
Mbona madogo wengi tena wanaosoma hizi shule za kawaida wamepiga sana A flat sana tu, sasa hawa ndo vichwa ,shule za kawaida alafu mabanda yote ,achana na uyo ambae yupo shule za pesa mingi ni kawaida sana
 
Kayumba sio shule .
Hivi NYIE mpo serious kweli? Bro unachozungumza hakina uhalisia hata kidogo.
Matokeo haya ya form 2 yaliyotangazwa Jana, tafuta ya Shule Moja ya kayumba inaitwa Dareda darasa lilikuwa na wfz 380 cheki matokeo Yao af' uje ucoment hapa... Kama hiyo haitoshi itafute Shule ya bure inaitwa Kiwele (Siyo Kiwere) uone walivyonyoosha!
Binafsi namkubali sana LIKUD. Acheni kutambishia watu na hayo mabroiler... Litoto likiachwa barabarani peke yake haliwezi kuvuka hata barabara.
Mtaani kwangu Kuna mtoto wa kayumba amegonga A Tisa ktk mtihani wa form two!
ANYWAY, MLETA MADA ANATANGAZA SHULE...
Huwezi jisifia A za darasa la nne!
 
Huwezi mchukua mtoto wa Feza Primary School uje umpambanishe na mtoto wa Mbagala Kuu Primary School.

Tusiongee saana, embu mtu mmoja aende ktk hizo shule akae ata lisaa tu kisha aje atupe ushuhuda ameona nini.

Zile shule kila muda ni safi, watoto wanapigwa na feni, vitabu na nyezo ni za kutosha. Mwalimu hana stress za mshahara, mwalimu na mwanafunzi wakiwa darasani wote tayari wamekula vizuri na kushiba, hakuna ubuyu wala kachori. Kule mayai, maziwa, samaki n.k vitu ambavyo vinaboost akili ya mtoto.

Wakati mtoto anakula hivyo, huku Kayumba mwalimu tu samaki anakula mara moja au mbili kwa mwezi, akila samaki, kuku ni kama anasi kwake.
Mimi pia nimesomesha wanangu wote shule za EM, pamoja na kwamba tunazidharau saint Kayumba but nataka kutoa mtazamo wangu kuhusu both schools, Saint Kayumba na hizo EM. Watoto wa EM wana jiamini popote, wanaongea na mtu yeyote kwa lugha yoyote, wana confidence pia, shida yao moja huwaoni wakitingisha huko vyuoni, ni kweli A level wanapataga matokeo mazuri, vyuoni huzioni hizo GPA za maana kutoka kwao, hawa wanatafuniwa almost kila kitu, wanafanyishwa past papers zote and hence mitihani ilio printiwa kwao sio jambo la ajabu, wamezoea, wanajua so mtihani wa taifa kwao sio issue kabisa; hawajui ku hustle. Vyuoni hakuna habari ya kutafuniwa, ma profesa na ma dokta hawafundishi, wanafanya lecture and then mengine unakwenda kutafuta wenyewe, hawa wa EM hawajazea hali hivo. Again, (hapa naongea na wazazi, sio vijana ) majority ya hawa watoto hasa wa kike huaga hawawezi hata kufua nguo zao, hadi za ndani yaani. Kupika, kupiga deki nyumba etc ni changamoto sana kwao, why? Shuleni kila kitu wanafanyiwa na kwasababu wanatokea familia bora, hata majumbani mwao wana ma house girls kadhaa, so hata nyumbani wana lelewa kwa style hiyo; najiuliza swali moja tu; endapo wazazi wataitwa mbele za HAKI wanaweza ku hustle na maisha na wakatoka???? I doubt. Ushauri wangu kwa wazazi, watoto wetu hawa wanao soma shule za EM, wakifika nyumbani tuwa term kama watoto wa Kitanzania, wafanye kazi zote za nyumbani, waelekezwe kwamba house girl ni dada yao and hence wasaidiane kazi zote, hi itawatengenezea bond na mabeki 3 wetu na hao mabeki 3 watawapenda na hawatalishwa vitu vichafu, mabeki 3 nao watajiona ni sehemu ya familia. Watoto wanao soma Saint Kayumba wana opposite behavior with what I described hao wa EM. Tuishi humo
 
Elimu nzuri ni gharama.
Anayedhani elimu zinafanana kwa shule zote anajidanganya mchana kweupe.
 
Kuna dogo mtaanani hapa ni yatima alifaulu vizuri sana st kayumba darasa la saba yani ile A+ akapata sponsorship feza schools 100prct kapiga 1 safi four akaendelea pale pale 5na 6 kapiga one safiii now yupo bugando degree napo kapat 100 sponsorship kuna watt wanazaliwa na uwezo wa asili na wengine ata asome vip hamna kitu
 
Mwanangu nime observe ana akili kuliko Mimi...

Ni products ya single mother Ila yupo nyumbani kwa wazazi wangu.

🦁
Oh..... Basi mtengenezee mazingira mazuri ya kuzifikia ndoto zake kwa urahisi bravo!

Mtoto kuwa wa single sio tatizo coz nina aunties zangu wawili ni single mom wanae wote wapo chuo wanazisaka degree.... Nina mwingine mwanae kavuka mpaka boarder kuisaka elimu.....

Kibaya kwa single mom ni kuwajaza maneno hasi watoto kuhusu baba zao au upande wa wenza wao.... Na wao single mom wali divorce sio kuzalishwa home japo wata fall kwenye category hiyo......

single mom wajenge uhusiano mzurii wa mtoto/watoto na upande wa mwenzake awe ni daraja asiwe ukuta.....

Hii inajenga bond nzuri.....

Hongera kwa mwanao.... inatia moyo kumwona mtoto akifanya mambo kadhaa.....

Sijifii lakini nakumbuka nilikuwa napata kipaimara ile askofu kasema fungua kitabu flani (sikumbuk) nikawa sharp nishafungua ......

Akasema aliepata aje.....

Mwamba Mimi Tena 😂..... Nafika mbele....

Nasoma mstari tuu mzee wangu kainuka kuona ni mimi..... Alinambia how he feeling...... plus watu wanaonijua

Hujaja school sitaki kusema....... Ila mtoto akiwa na nidhamu, mtiifu, anafaulu oyaah wazazi wanafurahi sana.....

Mpe dogo maua yangu......
 
Back
Top Bottom