Mtoto wa kaka yangu wa kwanza (First born) amebamiza 'A' za kutosha za darasa la nne mpaka nimeogopa sana, tutafute pesa Elimu nzuri ni gharama

Mtoto wa kaka yangu wa kwanza (First born) amebamiza 'A' za kutosha za darasa la nne mpaka nimeogopa sana, tutafute pesa Elimu nzuri ni gharama

Siye tunapamba watoto wapate D mbili tu kidato cha pili waende kidato cha tatu na wakifika kidato cha tatu tunawambia unataka kuwa nani wakisema ndoto zao tunawambia kazana sasa masomo haya upate D nne, wakilata hizo D nne animaliza tunampeleka VETA uko sasa baada ya miaka mitano hao watoto wenye A nyingi wanaanza tubembeleza kufanya kazi kwenye makapuni yao tena mpaka tickets ya ndege wanatuma njoo bwana mtambo umegoma uku
Kuna wazazi mna akili za kijinga kabisa
 
Wakuu this is the first time nashuhudia kijana wa kaka yangu anafanya maajabu kama haya.

Kiufupi nimefurahi sana huyu angekuwa st kayumba sijui kama angepata hata A moja

Elimu nzuri ni gharama wakuu.

Kila mwaka inatoka mil 5 Ila matunda ni mazuri.

Ukiachana na hilo anaongea kiingereza Kama kiswahili.

Anajiamini
Anachambua mambo makubwa politics ,n.k

Elimu nzuri ni gharama.
wa kwangu hapa ana A 6 anasoma shule za kata tunachangia tu hela ya kula na ya mlinzi kwa mwaka ni elf 15 ukitoa ya rim na kwenye siasa anajua current issues zote kwamba Lisu siyo mtu wa kawaida ktk nchi hii kwa sasa
 
Hata ingekuwa form 4, siku hizi wanafunzi kufail imekuwa ngumu, kufaulu ni rahisi tu,ila ukikaa naye na hiyo A unaweza kuta hata jina lake hajui kuandika....... Siasa ipo ndani ya Elimu yetu
 
A za la saba na darasa la nne miaka hii zonakustaajabisha kitu gani wakati shule zinapata A zote mpaka average ya 99 kwa somo. Elimu tu imeshuka. Kijana wangu alipiga A kumina moja hapo Kibasila sikuona ajabu.

Siku hizi one za pts saba kila mjinga anayo FORM FOUR
 
Hadi hili unataka kubishana na ni fact ipo wazi wazi?
vijana wanakuja kufanya field hakuna kitu anajua yaani hajui resistor, hajui capacitor, hajui toroidal coil inafanya kazi gani na inaonekanaje hajui, hajui chochote kuhusiana na kozi yake ya engineering anayoisomea sasa quality education gani? Ud wazalishe walimu tu hata wanasheria wao now unga tu hakuna kitu limebaki jins tu .
 
Niliwahi kwenda pale Agha Khan Primary School, ipo jirani na shule za Zanaki, Olympio na Diamond.

Umasikini ni mbaya tena ni laana, ee Mungu Baba tutoe huku. Wale watoto ukiwatazama wooote unawaona wamenawiri, wana afya, ngozi nyeusi ina mafuta mafuta yenye kupendeza.

Watoto wadogo wameshiba vizuri, uniform imekaa penyewe, imemtight vizuri. Vifungo vya shati vimebana, kiatu cheusi na soksi nyeupeee.

Hakuna mtoto asiyechana nywele, hakuna mtoto akiongea anarusha mate. Watoto wanacheza kistaarabu, muda wa kutoka pale nje hakuna bajaj au boda hata moja inayosubir kumchukua mtoto, nje kuna prado, harrier, benz, alphard n.k hizi IST, Raum, Rumion ambazo sisi tunatambazo nazo basi pale ndo gari za kwenda kuchukulia watoto.

Ukikaa pale kwa lisaa tu hakika utachukia hizi shule zetu za Kayumba. Walimu wapo smart, hakuna mwalimu kavaa kata K, hakuna mwalimu anayevaa suluari za malinda au zile suluari za karume za elfu tatu tatu sijui elfu nne.

Ee Mungu utusaidie.
Nimecheka sana uwiiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] u mademy day et wakiongea hawarush mate
 
Sio Kwa ubaya shule nying za private wanawfundisha watoto kitu kinachoitwa civilization Hilo nimeligundua Kwa shule kadhaa za private
 
vijana wanakuja kufanya field hakuna kitu anajua yaani hajui resistor, hajui capacitor, hajui toroidal coil inafanya kazi gani na inaonekanaje hajui, hajui chochote kuhusiana na kozi yake ya engineering anayoisomea sasa quality education gani? Ud wazalishe walimu tu hata wanasheria wao now unga tu hakuna kitu limebaki jins tu .
Sasa hao vijana uliokutana nao ndo utoe conclusion??? Watu kama hao wapo kila chuo, hakuna sehemu wanakosekana. Hata wewe unaezakuwa unafahamu capacitor lakini ukashindwa kujuwa utumie capacitor ya aina gani kwenye design yako.

Mimi nasema udsm ni chuo bora kwasababu
1. Mtaala, kama mwanachuo anajua kilichompeleka chuo, mtaala wa udsm unaweza kukufanya ukawa best Engineer hapa nchini. The way syllabus imekuwa equiped, vitu gani umewekewa usome as an Engineer nimelinganisha na baadhi ya vyuo nimeona UDSM ni best,
Hata hapo, mimi na wewe tukisema tudesign Electronics system I assure you, yangu itakuwa bora kuliko yako in every aspects. Na sio mimi tu alumni wengi sana wa udsm
 
Huwezi mchukua mtoto wa Feza Primary School uje umpambanishe na mtoto wa Mbagala Kuu Primary School.

Tusiongee saana, embu mtu mmoja aende ktk hizo shule akae ata lisaa tu kisha aje atupe ushuhuda ameona nini.

Zile shule kila muda ni safi, watoto wanapigwa na feni, vitabu na nyezo ni za kutosha. Mwalimu hana stress za mshahara, mwalimu na mwanafunzi wakiwa darasani wote tayari wamekula vizuri na kushiba, hakuna ubuyu wala kachori. Kule mayai, maziwa, samaki n.k vitu ambavyo vinaboost akili ya mtoto.

Wakati mtoto anakula hivyo, huku Kayumba mwalimu tu samaki anakula mara moja au mbili kwa mwezi, akila samaki, kuku ni kama anasa kwake.
Kabisa, shida ni mtu kashindwa kumpeleka mwanae ndo anaanza kukandia ooh mbona kafaulu vizuri na kasoma kayumba sasa ni nini?
 
Sio rahisi ikiwa watu wa PhD Ila ilikuwa inawasumbua .

Lugha inahitaji msingi mzuri kuanzia ukiwa mtoto .
Narudia Tena sio lazima ulipie mamilioni ya ada hili uweze kujua hiyo lugha ya kingereza, hata kama utaanza kujifunza lugha hiyo ukiwa na miaka minne....

Kwani ni nini hujaelewa hapa?
 
Sasa hao vijana uliokutana nao ndo utoe conclusion??? Watu kama hao wapo kila chuo, hakuna sehemu wanakosekana. Hata wewe unaezakuwa unafahamu capacitor lakini ukashindwa kujuwa utumie capacitor ya aina gani kwenye design yako.

Mimi nasema udsm ni chuo bora kwasababu
1. Mtaala, kama mwanachuo anajua kilichompeleka chuo, mtaala wa udsm unaweza kukufanya ukawa best Engineer hapa nchini. The way syllabus imekuwa equiped, vitu gani umewekewa usome as an Engineer nimelinganisha na baadhi ya vyuo nimeona UDSM ni best,
Hata hapo, mimi na wewe tukisema tudesign Electronics system I assure you, yangu itakuwa bora kuliko yako in every aspects. Na sio mimi tu alumni wengi sana wa udsm

Eti naweza kujua capacitor na nisijue capacitor ya aina gani katika design yangu? 🤣🤣 yaani vitu anavyosoma diploma level 4 unataka kunilinganisha navyo mkuu nakuandalia mimi naanza from idea, schematic , calculations , programming , simulation na mwisho kabida namalizia na ku design Kitu ambacho majority ya UDSM'ERS wanaochukulia engineering hawajui.

Ukitaka kufahamu kwamba hamna kitu angalia tu final projects zao zina lack creativity very very cringy , mtu from report to design wanatumia google na chat gpt hamna kitu ndiyo maaana hasa kozi za technicals wanaochukuliwa ni ATC, MUST, DIT halafu ndo UDSM'ERS wanakuwa wa mwisho mwisho hukooo.

"Hata hapo, mimi na wewe tukisema tudesign Electronics system I assure you, yangu itakuwa bora kuliko yako in every aspects. Na sio mimi tu alumni wengi sana wa udsm"

☝️☝️☝️ 😂 wacha utani bwana mkuu kwa syllabus zipi hizo ?
 
Hivi standard four nayo ya kumpa promo mtoto? Hata form two bado kumpa promo angalau ingekua form four tungekuelewa
 
Eti naweza kujua capacitor na nisijue capacitor ya aina gani katika design yangu? 🤣🤣 yaani vitu anavyosoma diploma level 4 unataka kunilinganisha navyo mkuu nakuandalia mimi naanza from idea, schematic , calculations , programming , simulation na mwisho kabida namalizia na ku design Kitu ambacho majority ya UDSM'ERS wanaochukulia engineering hawajui.

Ukitaka kufahamu kwamba hamna kitu angalia tu final projects zao zina lack creativity very very cringy , mtu from report to design wanatumia google na chat gpt hamna kitu ndiyo maaana hasa kozi za technicals wanaochukuliwa ni ATC, MUST, DIT halafu ndo UDSM'ERS wanakuwa wa mwisho mwisho hukooo.

"Hata hapo, mimi na wewe tukisema tudesign Electronics system I assure you, yangu itakuwa bora kuliko yako in every aspects. Na sio mimi tu alumni wengi sana wa udsm"

☝️☝️☝️ 😂 wacha utani bwana mkuu kwa syllabus zipi hizo ?
Basi tusiongee sana, Me naomba mimi na wewe tufanye live meeting kila mtu aoneshe design yake walau moja halafu tucheki flaws
 
Mwanangu ana soma kayumba na kapata ufaulu wa grade A

KINACHO NISHANGAZA MWANANGU ANA UWEZO WA AKILI UNAO STAAJABISHAA.

NAWEKA NA MATOKEO YAKE HAPA CHINI.

View attachment 3193004

View attachment 3193008
FROM KAYUMBA.
Inawezekana ikawa kweli, ila changamoto ni ngumu kuamini je kweli haya ni matokeo ya mwanao, na kweli anasoma Kayumba, maana hapo hakuna utambulisho wa kuthibitisha hilo
 
Yaani mfanyabiashara hajui thamani ya elimu?labda kama unaongelea wachuuzi ambao Bado mitaji Yao haijawa mikubwa.mfanyabiashara anayejitambua anamsomesha mwanawe ili aje kuendeleza zaidi biashara ili kufikia kiwango cha kimataifa na siyo kuajiriwa ili ulipwe ujira wa milioni Moja au mbili.wanaotafuta ajira hizi za laki saba ,milioni au milioni mbili ndiyo hao Sasa wanaotokea kayumba schools
Ujaijua jamii wewe watoto wenye pesa hawasomagi futilia
 
Watakutana na Wakwangu wakiwa na Bahasha kutafuta kazi ya mshahara wa laki tano.

Wako kasoma kwa milioni 50 wangu kasoma kwa 1M tu.
Ukutee kwake Million 50 ni sawa na million 1 tu.Tutafutenii pesaaa,nilishikaa daftari la Dogo mmja Form 3 sikuu mojaa anasoma shulee ya Kataa,Dah Bureee ni sumuu.
 
Back
Top Bottom