Mtoto wa Magige Nyerere afariki katika ajali ya gari Shinyanga

Asante kwa majibu mujarabu. Kuna wahuni wa historia wengi siku hizi mitandaoni. Uwepo wenu unasaidia kutoa elimu.
 
Umeliweka sawa hilo la uhusiano
 
Hivi chifu anaruhusiwa kutumia boda? uyo chifu si ni kama raisi huyu au? tueleweshane wajameni.
 
Familia nyingi za kichifu huwa zina ushirikina sana akifa mtu ukoo wa kichifu mwingine utashangaa pia hufa huitwa kiti kuwa aliyekufa lazima awe na kiti cha kukalia huko kaenda

Au kwao mara ingine kiti au viti hutangulia kufa kabla mkalia kiti mkuu mwenyewe mzito toka Familia ya kichifu kufariki ili akifa akute kuna kiti au viti vya kukalia huko aendako ushetanini au aweza tangulia kiti au viti vikaja baadaye ila muda huwa hauwi mrefu sana kivile

Ndio maana kuokoka Familia za kichifu muhimu sana kuliko kitu chochote walokole ni bullet proof na hayo mambo ya viti
 
Nyerere analipwa .
Kusababisha Watanzania zaidi ya elfu 20 kufa kule Uganda pasi na sababu za msingi unadhani MUNGU atafurahia uzao wako?
We pimbi, mtu aliyekufa analipwaje leo? Kwanini asilipwe akiwa hai? Halafu kile kidini chenu kinachowaaminisha kuwa Nyerere hakupaswa kulilinda taifa lake ni cha hovyo sana.
 

Mkuu ungeweka na kapicha kake ingeoendza zaid na sisi watoto wa 2000 tumjue
 
Shida ni kwamba wanaume wenzangu walio wengi wamekabidhi nguvu zao na mamlaka kwa wake zao. Ni huzuni iliyoje!

Juzi hapa kulikuwa na kisa cha mjane wa hayati Mhe.Nimrodi Mkono ameugomea ukoo wa mumewe kwenda kumzika Mhe.Mkono kijijini alikotoka, kando ya makaburi ya wazazi wake, kule Busegwe-Mara. Wanaume tunafeli wapi? 😪
 
Mkuu ungeweka na kapicha kake ingeoendza zaid na sisi watoto wa 2000 tumjue
Sasa nikumuuliza kuhusu picha,I don't what his reaction will be.
Lakini,by and by utamwona katika media.
Amekuwa shocked sana alipopata hizi habari.
Akakaa kimya kwa muda,halafu akasema,"Hii inanikumbusha Membe alipomwambia Magufuli,"Wewe jihadhari sana. Sisi tuna uwezo wa kukuua wewe na ndugu zako wote"
 
Poleni sana!.
P
 
Labda hakuwa wake!

Kuna mengi tusiyoyajua..
 
Nyerere analipwa .
Kusababisha Watanzania zaidi ya elfu 20 kufa kule Uganda pasi na sababu za msingi unadhani MUNGU atafurahia uzao wako?
Mnapenda sana kucomment vitu vya uongo ili tu mpate sifa na kuonekana mnajua.

Wewe sijui hata kama ulikuwepo vitani, na kama ulikuwepo tuambie ulikuwa kikosi kipi.

Jeshi zima lililokaguliwa at last stage pale Kagera halijafika hata watu elfu 4 hlf unaleta uongo hapa

Watu elfu 20 unafikiri mchezo, hizo lori zilikuwa ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…