James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
Unamaanisha hata watu wa Gaza karibia elfu 10 wanakufa kwa ujinga wa viongozi wao?Umesahau kuwa Watanzania zaidi ya elfu 20 walirudi kwenye malori kama kuni wakitokea Uganda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaanisha hata watu wa Gaza karibia elfu 10 wanakufa kwa ujinga wa viongozi wao?Umesahau kuwa Watanzania zaidi ya elfu 20 walirudi kwenye malori kama kuni wakitokea Uganda?
Asante kwa majibu mujarabu. Kuna wahuni wa historia wengi siku hizi mitandaoni. Uwepo wenu unasaidia kutoa elimu.Labda nikuulize maana wewe ni bwege sana! Wakati wa vita na Nduli Idd Amin jeshi la wananchi wa Tanzania tulikuwa hatufuki hata 5000 mimi nikiwa mmojawapo wa wanajeshi. Na kule kwenye vita yaani mstari sa mbele hatujufika hata 3000 tulioenda kupigana hadi kumng’oa na kumkimbiza Nduli toka ardhi ya Tanzania na Uganda! Hao watu elfu 20 walitokea wapi? Nijibu hapa maana wewe inaonekana unakunywa pombe aina ya ‘pingu’ ambayo kabla hujaanza kunywa lazima ufunge pingu suruali juu kidogo ya magoti ili kuzuia mzigo!
Hao watu mamia wamekufa wapi?Watu mamia wanafariki halafu lijitu limoja tu eti imekua habari! Idiot kabisa
Umeliweka sawa hilo la uhusianoChief Nyerere amefariki katika ajali ya boda boda,alikuwa abiria kwenye boda boda usiku wa kuamkia leo Jumamosi.
Ajali imetokea jana,amefariki leo.
Amefariki hospitali baada ya juhudi za kuokoa maisha yake kushindikana.
Ajali imetokea Shinyanga ambako Chief alikuwa anafanya kazi.
Hii ni fatal crash nyingine kabisa.
Ijumaa iliyopita tumemzika Daudi Nyerere,mtoto wa Makongoro Nyerere na sasa,siku saba baadaye,Ijumaa usiku,Chief amefariki katika ajali ya boda boda.
Magige Nyerere ni kaka yake Makongoro Nyerere.
Kwa hiyo sasa ni wajukuu wa Mwalimu Julius Nyerere wawili ambao wamefariki katika ajali mbili.
Again,hii ni ajali tofauti. Siyo ile ya Daudi Makongoro Nyerere.
Makongoro Nyerere na Magige Nyerere wote ni watoto wa Mwalimu Nyerere.
Kwa hiyo,ilikuwa ni ajali ya piki piki,siyo ajali ya gari.
Unakatwa boya weweUnamaanisha hata watu wa Gaza karibia elfu 10 wanakufa kwa ujinga wa viongozi wao?
Hivi chifu anaruhusiwa kutumia boda? uyo chifu si ni kama raisi huyu au? tueleweshane wajameni.Chief Nyerere amefariki katika ajali ya boda boda,alikuwa abiria kwenye boda boda usiku wa kuamkia leo Jumamosi.
Ajali imetokea jana,amefariki leo.
Amefariki hospitali baada ya juhudi za kuokoa maisha yake kushindikana.
Ajali imetokea Shinyanga ambako Chief alikuwa anafanya kazi.
Hii ni fatal crash nyingine kabisa.
Ijumaa iliyopita tumemzika Daudi Nyerere,mtoto wa Makongoro Nyerere na sasa,siku saba baadaye,Ijumaa usiku,Chief amefariki katika ajali ya boda boda.
Magige Nyerere ni kaka yake Makongoro Nyerere.
Kwa hiyo sasa ni wajukuu wa Mwalimu Julius Nyerere wawili ambao wamefariki katika ajali mbili.
Again,hii ni ajali tofauti. Siyo ile ya Daudi Makongoro Nyerere.
Makongoro Nyerere na Magige Nyerere wote ni watoto wa Mwalimu Nyerere.
Kwa hiyo,ilikuwa ni ajali ya piki piki,siyo ajali ya gari.
Chezeya wengine ila sio hawa akina AishaMako kazidiwa mguvu ma Jaji Aisha......ohh bi Aisha
We pimbi, mtu aliyekufa analipwaje leo? Kwanini asilipwe akiwa hai? Halafu kile kidini chenu kinachowaaminisha kuwa Nyerere hakupaswa kulilinda taifa lake ni cha hovyo sana.Nyerere analipwa .
Kusababisha Watanzania zaidi ya elfu 20 kufa kule Uganda pasi na sababu za msingi unadhani MUNGU atafurahia uzao wako?
...Ya kitaifa?Kwahiyo hii
Naayo ni habari?
Chief Nyerere amefariki katika ajali ya boda boda, alikuwa abiria kwenye boda boda usiku wa kuamkia leo Jumamosi.
Ajali imetokea jana, amefariki leo.
Amefariki hospitali baada ya juhudi za kuokoa maisha yake kushindikana.
Ajali imetokea Shinyanga ambako Chief alikuwa anafanya kazi.
Hii ni fatal crash nyingine kabisa.
Ijumaa iliyopita tumemzika Daudi Nyerere, mtoto wa Makongoro Nyerere na sasa, siku saba baadaye, Ijumaa usiku, Chief amefariki katika ajali ya boda boda.
Magige Nyerere ni kaka yake Makongoro Nyerere.
Kwa hiyo sasa ni wajukuu wa Mwalimu Julius Nyerere wawili ambao wamefariki katika ajali mbili.
Again,hii ni ajali tofauti. Siyo ile ya Daudi Makongoro Nyerere.
Makongoro Nyerere na Magige Nyerere wote ni watoto wa Mwalimu Nyerere.
Kwa hiyo, ilikuwa ni ajali ya piki piki, siyo ajali ya gari.
Shida ni kwamba wanaume wenzangu walio wengi wamekabidhi nguvu zao na mamlaka kwa wake zao. Ni huzuni iliyoje!Mzee Nyerere atawapiga mapigo 12, mmmedhalilisha sana WAZANAKI mnaenda kuzika Mjukuu wa Chief UKWENI kwa MAKONGORO kule Arusha?? Haya ni Matusi sana kwa PATRINIAL CLAN...
Poleni kwa msiba mwingine kikubwa tukazike ndugu zetu MWITONGO tuache kuendeshwa na wake zenu badilikeni.
Anajitegemea. Hana wa kumlipaKwani Mnafiki wa Kujitegemea halipwi!!??
Sasa nikumuuliza kuhusu picha,I don't what his reaction will be.Mkuu ungeweka na kapicha kake ingeoendza zaid na sisi watoto wa 2000 tumjue
Poleni sana!.Ijumaa iliyopita tumemzika Daudi Nyerere, mtoto wa Makongoro Nyerere na sasa, siku saba baadaye, Ijumaa usiku, Chief amefariki katika ajali ya boda boda.
Magige Nyerere ni kaka yake Makongoro Nyerere.
Kwa hiyo sasa ni wajukuu wa Mwalimu Julius Nyerere wawili ambao wamefariki katika ajali mbili.
Tatizo udini.Wewe utakuwa na laana kutoka kwa wazazi wako. Sio bure kwa nini nimesema hivyo, michango yako wewe yoote imejaa upumbavu na ujinga mtupu.
Labda hakuwa wake!Shida ni kwamba wanaume wenzangu walio wengi wamekabidhi nguvu zao na mamlaka kwa wake zao. Ni huzuni iliyoje!
Juzi hapa kulikuwa na kisa cha mjane wa hayati Mhe.Nimrodi Mkono ameugomea ukoo wa mumewe kwenda kumzika Mhe.Mkono kijijini alikotoka, kando ya makaburi ya wazazi wake, kule Busegwe-Mara. Wanaume tunafeli wapi? [emoji25]
Mnapenda sana kucomment vitu vya uongo ili tu mpate sifa na kuonekana mnajua.Nyerere analipwa .
Kusababisha Watanzania zaidi ya elfu 20 kufa kule Uganda pasi na sababu za msingi unadhani MUNGU atafurahia uzao wako?