Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,845
- 4,776
I have explained that issue a million times, it's called academic privacy and its proponents have cogent reasons. I mean I've belabored that point for years.Ubaya wake ni nini mkuu?! Mbona unapenda mambo ya giza sana? Ubaya uko wapi sasa?
I don't disagree. I said as much all along. La Rais kuita watu VILAZA nimesema tunalipinga na kulaani.Anheuser;
Mnachotaka kuficha hapa ni nini? Tunataka kuueleza umma kuwa; Usitupe mawe kwenye nyumba ya jirani wakati weye wakaa nyumba ya vioo.
Ulipowaita watoto wa wenzio "vilaza" wakati unatetea kuwafukuza UDOM, tena ukadiriki kusema ati "It is only in Tanzania" Mtu anaingia chuo kikuu na F zote 4. Ati mtu kapata D 4 anaingiaje UDOM!!! Sidhani ka ulijua wenzako wana mjua mwanao Jesca. Hapa kama sio hilo jina lake, si angepeta tuuu???
Acheni tujionee live, makengeza haya
Hilo la 'kudhalilisha' sasa umeandika vizuribaada ya kufundishwa au kukurekebisha kwani umeandika 'nililomdhalilisha'. Hapo sawa, ila kwa kuwa upeo wako uko chini umekosea maneno mengine:
mlopokaji>>>>>>>>>>>MROPOKAJI
onesha>>>>>>>>>>>>>>ONYESHA
wewe ni kilaza wa udom
Mbona 2012 ulijibu kwa kuunga hoja mkono??Tujibu vitu feki?
kama wewe huna haja miye ninayohaja ya kuuliza au kujua ndiyo maana ninafuatilia uzi huu sasa wewe sijui unatafuta nini kama si kujaza foleniKwani ulijuaje kuwa sisi au mimi ni wa 1954??? Mtu akiandika ID yake ni 2014 kwa hiyo ni wa 2014? Pamoja na hayo sisi baadhiyetu tutafahamuje hayo unayosema au swali lako la alifikaje? Baadhi yetu hatuna haja ya kuuliza na kulijibu swali hilo. Kwani wengine walifikaje?
Kwani ulijuaje kuwa sisi au mimi ni wa 1954??? Mtu akiandika ID yake ni 2014 kwa hiyo ni wa 2014? Pamoja na hayo sisi baadhiyetu tutafahamuje hayo unayosema au swali lako la alifikaje? Baadhi yetu hatuna haja ya kuuliza na kulijibu swali hilo. Kwani wengine walifikaje?
I have explained that issue a million times, it's called academic privacy and its proponents have cogent reasons. I mean I've belabored that point for years.
Nisingependa matokeo ya mtoto yabandikwe kwenye ma website for everybody to ruminate on. It is the worst kind of government intrusion into people's affairs.
I don't disagree. I said as much all along. La Rais kuita watu VILAZA nimesema tunalipinga na kulaani.
Hayo ya mtoto wake kuingia chuo hiyo ni issue tofauti. Mtoto wake kaingia chuo, kwani waziri wa ujenzi ndio anaingiza watu vyuo? Au alipojua mwanae kaingia chuo angeenda kugombana na admission officers wa HESLB?
Jesca Magufuli, Mwanaasha Kikwete au mtoto yeyote ambae hakufanya vizuri shule hawatakiwi kudhalilishwa kwa kubandikwa ukutani wala kutukanwa na Rais. Kitendo cha Rais kushindwa kujiheshimu pamoja na watoto wa nchi hii ni lazima kikome na kikemewe.
There is no way Jakaya Kikwete, Ally Mwinyi au Mwalimu Nyerere wanaweza kuokota lugha za mtaani za VILAZA na kuzichomeka kwenye presidential speeches. Only Magufuli and Mkapa ndio marais wenye track record ya kutukana watu kwenye hotuba zao.
Rais kajidhalilisha mwenyewe he is a misfitKama unadhani kauli zako wewe na wenzako hamdhalilishi Rais basi poleni sana...there is a big problem...nadhani hamuelewi mtendalo, na hili ni tatizo kubwa....
Acha wehu wewe! Hapa anaongelewa Jesca ambae alidahiriwa BCom na NACTE! Tangu lini BCom imekuwa kwenye category ya Program Maalumu?Elewa neno program maalumu. Kwamba toka mwanzo lengo la mwanafuzi ni kumaliza shahada. Kwa kuanza na astashahada.
Hivi jana usiku Mbowe alikuwa amefungia hii misukule kwenye chumba cha giza? Kwenye kipindi cha Kipima Koto jana, Prof Kitila Mkumbo alijibu hiki kitu. Alisema kuwa baada ya wanafunzi wa kidato cha sita kupungua, vyuo viliamua kudahili wanafunzi wa kidato cha nne na kuiita shahada ya miaka mitano. Kwa kauli hiyo kutoka kwa huyu gwiji wa maswala ya elimu nchi, swala hili linawezekana.
kama wewe huna haja miye ninayohaja ya kuuliza au kujua ndiyo maana ninafuatilia uzi huu sasa wewe sijui unatafuta nini kama si kujaza foleni
CC: PascoLeo hii ikiwa ni siku ya 3 sijaona chombo chochote cha habari kilichojaribu kufanya utafiti/uchunguzi juu ya udahili wa mwanafunzi Jesca John Magufuli katika Chuo Kikuu cha Dodoma(UDOM).
Nilitaraji/natarajia waandishi wataenda mbali zaidi kwa kuwahoji wote au baadhi ya watu wafuatao:
1.Mwanafunzi Jesca John Magufuli
2.Mzazi/Mlezi wa Jesca Magufuli
3.Makamu Mkuu wa Chuo cha UDOM au Afisa yeyote anaehusika
4.Mkuu wa shule ya St.Mathew alikosoma binti wa Magufuli
5.Uongozi wa TCU(hawa huenda hawahusiki sana)
6.Viongozi wa NACTE
Waandishi ni wajibu wenu kutuletea developing story juu ya jambo hili hasa katika kipindi hiki ambacho serikali hii ya awamu ya tano inaonekana kulvalia njuga swala la ubora wa elimu.
Nimeangalia magazeti karibu yote ya jana na hata ya leo sijaona habari imeandikwa popote pale wakati ni jambo ambalo limezua mjadala mkubwa katika mitandao ya kijamii.
Anyway,ngoja tusubiri magazeti ya kesho huenda yakawa yameandikae chochote juu ya jambo hili.Wanaogopa kuweka hadharani jipu la mkulu gazeti litafungiwa.