Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Baada ya matokeo ya jeska mtt wa.... kusambaa mtandaoni sasa neno kilaza imebadilishwa jina na kuitwa ujeska
 
Reactions: BAK
Kwa hiyo Baba Jesca kuwadhalilisha watoto 7,802 watoto wasiomhusu kwa kuwaita vilaza ni sawa ila yeye mtoto wake akiitwa kilaza kwa kufeli kidatu cha nne na kushangaa aliingiaje UDOM ni kosa?
Yote ni makosa!

Watoto 7,802 waliodhalilishwa na Rais ni ujahili wa ajabu!

Na sisi kumbandika na kumdhalilisha mwanae Jesica ni ufidhuli mkubwa!

Nilisema hayo wakati wa kudhalilishwa Mwanaasha Kikwete na nitasema tena.

Vyombo vya usalama vinataka tumuheshimu Rais. Wengine tunasema tunataka kila mtu aheshimiwe. Sisi tusimtukane Jesica na yeye Magufuli asitukane watoto wa nchi hii. Raia wa kwanza anaetakiwa kuwa mfano wa utaua wa kujiheshimu ni Rais wa nchi. Rais huwezi kutumia lugha za "vilaza" za kuokota kwenye mitandao.

Mwalimu Nyerere alisema ukiwa Rais lazima ujiheshimu! Rais amekosa staha.
 
Hapo kwenye rangi ndiyo sababu Mwalimu bado anapendwa sana na kuheshimiwa na Watanzania kwa zaidi ya 90% kwa sababu yeye pamoja na wadhifa wake mkubwa alijitahidi sana kuonyesha upendo na heshima kwa Watanzania wote badala ya chuki na dharau.

 
Jesca ni over 18 ame apply chuo kwa utashi wake mwenyewe, na sio Kwamba Baba yake Ndio kamtuma hivyo Kama hana vigezo au ni kilaza basi naye Hiyo kauli ya Raisi ina muhusu atoke hapo chuoni aende kwenye chuo cha size yake .
 
Jesca ni over 18 ame apply chuo kwa utashi wake mwenyewe, na sio Kwamba Baba yake Ndio kamtuma hivyo Kama hana vigezo au ni kilaza basi naye Hiyo kauli ya Raisi ina muhusu atoke hapo chuoni aende kwenye chuo cha size yake .








Ficha upumbavu wako,usifikiri sisi hatujasoma kama wewe,hakuna mwanafunzi yeyote aliyopo masomoni aliyejipigania peke yake hadi kupata nafasi ya kusoma bila wazazi,ndugu/jamaa zake kufahamu.Itikadi za kisiasa zisikutie upofu kiasi cha kushindwa kuuona ukweli ulio dhahiri kiasi hiki.

Huyo binti asiye na sifa hakufika hapo alipo kwa juhudi zake kama unavyotaka kutuaminisha,pamoja na ukilaza wake alionao amefika hapo kwa msaada wa familia yake.
 
Ndio maana sikumpa kura yangu ,eti ni MSAFI,MWADILIFU,MZALENDO,nyerere alisema mwangalieni mtu usoni kama anafanana na uadilifu, nchi za ulaya ni lazima ujiuzuku,CCM akuna MSAFIIIIIIIII
 
Kwanini akumtaja hadharani kama alivyowaita wale wa Diploma vilaza? acha kutetea upumbavu.Nyumbu usie na kichwa.
 
Sisi atujamtukana mtu ila tunataka jibu la hili swali Mtoto wa Magufuli sijui alifikaje Chuo Kikuu?
 
Kwani haiwezekani kufika chuo kikuu kwa matokeo hayo. Labda alipiga 5&6 huku anarudia mtihani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…