Mkuu, wanaotumia equivalent qualifications kujiunga taasisi za elimu ya juu wanapitishia maombi yao NACTE. Ungekaa kimya tungeendelea kuwa na shaka kidogo tu, yaani fifty fifty, lakini umefunguka na kutuondolea shaka kuwa you are a ...Hivi NACTE siku hizi wana dahili wanafunzi wa chuo kikuu? Wajinga ndio waliwao!
Alikuwa anaongra uhalisiaMAGUFULI anarusha mawe huku yeye anakaa kwenye nyumba ya vioo! TEH TEH TEH!
JF ni kiboko kabisa!
Nami nilikuwa najiuliza kama wewe, tatizo jf watu wanaweka akili pembeni na kuingiza siasa!Imetengenezwa hiyo bwana. Tena aliyeitengeneza nadhani ni learner. NACTE tokea lini wakadahili wanafunzi wa chuo kikuu?
NACTE wanadahili wanafunzi wa Tertiary Institutions tu.
Huo ni uongo namba moja. Uongo wa Pili angalia hiyo screenshot Row ya kwanza ina namba mbili ambazo kama zimepandana.
Mleta uzi mzushi tu
Amepata mkopo?tuwekee evidence mkuu,cheti kasoma,kamaliza mwaka gani,diploma kasoma kamaliza lini na lini kaingia UDOM
Mbona unakimbia Kivuli, swali ni je, Ni kilaza au sio kilaza?Kwa hiyo ulitaka nayeye ampendelee?Suala hapa ni kusimamia misingi.Uanzie cheti,diploma ndio uende shahada.