Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

mbulula wewe acha ubishi, mimi ni mmoja wapo nilioombea udahili wa shahada kupitia NACTE, na tupo wengi tuu..
ukweli ni kwamba ukiwa umepitia diploma wewe unaombea nacte na f6 tuu ndo wanaombea tcu

inaelekea wewe umeishia form 4 pumbavuuuuuuuuu

Kabisaaaa....waende ht google basi wakacheki...hii system ni mpya imeanza km miaka 4 ilopita wao wanabisha....
 
Certificate mwaka 1. Diploma miaka 2 sasa kama kamaliza Nov 2011 leo 2016 atakuwaje mwaka wa pili UDOM? Halafu Maths na Commerce kapata F atasomaje BCom?

kilaza uzaliwa na kilaza. Je kilaza ni nani kati ya baba,mama,bibi na babu?
 
Pale babako anapoweza kukutumbua mwanae kama jipu lol
 
Huenda ali receit aka clear credit zake kisha akasonga Mbele. Au alianza Mdogo mdogo Certificate kisha Diploma. Hiyo inawezakana wajamani kwa wale wanao unga unga. Mwisho wa siku wengi wao hufanikiwa kupata hata Masters/PhD
Itakuwa ivyo. Bongo bwana zengwe kila kona. Kwa sababu kuna watu wengi wanaanza ivyo mpaka wanatoboa maana
 
Angekuwa mtoto wa maskini angepata zero ,istoshe ni mtoto wa walimu walishindwaje kumsaidia ? Anyway ualimu ni kichaka cha walio feli kulingana na Bashe
 
Halafu cha ziada hapo ni kwamba hizo qualifications za kusomea certificate sina hakika kama alikuwa nazo maana alipata F ya Commerce na Mathematics. Na sasa anasoma BCOM-Human resources management. Nilitegemea certificate yake na diploma viwe kwenye uelekeo wa Commerce, ambayo alikuwa na F na angehitaji mwaka mmoja zaidi kutengeneza credits upande huo. Kama kuna ambaye anafahamu alisoma certificate na diploma ya vitu gani na mwaka gani atusaidie taarifa hiyo.
 
Unachosema ni sahihi lakini kwa hiyo njia uisemayo angatakiwa sasa ndio awe mwaka wa kwanza, lakini yeye yupo wa pili... Au Diploma sikuhizi ni mwaka mmoja??
 
tehe tehe ameyataka mwenyewe, dacha aisome namba kumbe nayeye nyumbani ana kilaza
 
Angekuwa mtoto wa maskini angepata zero ,istoshe ni mtoto wa walimu walishindwaje kumsaidia ? Any ualimu ni kichaka cha walio feli kulingana na Bashe
Kaka anangalia Baba Jesca atakukasirikia
 
Inawezekana kama utapitia elimu ya hapa be pale alias ya kuunga unga.
 
hivi kwa kuweka matokeo ya huyu dogo ni point gan tunajaribu ku prove? kwamba kwakua yeye alifeli basi na hawa special diploma wa udom ambao wana div 3 na 4 wakat mahitaj yalikua ya wenye div 1 na 2 waachiwe waendelee ama ni vipi yan? kosa halifuti kosa jamani na kama ishu ni kuwaita hao watoto vilaza mbona hamuongelei alivoisifia udsm kua inachukua vipanga tuu?? kwani kinyume cha neno kipanga si kilaza jamani? halaf ye mwenyewe alisema whenever n wherever there's reforms hua lazima kuna wasio na hatia wataumia na akatuomba samahani.. kikubwa tusipoteze taswira ya "msitu" ambao ndo wote tunatakiwa tuuone kwa kuelekeza macho yetu wote kwenye "miti"
 
Kamaliza Form 4 mwaka 2011 na sio 2010
 
Yaani huyo Dada alimaliza form six kitambo, kama miaka kumi ishapita, mkumbuke kuna kuresit.
Umeangalia matokeo ya necta wanafunzi wa 2011 shule st Mathew? Kama alireseat ama kupitia diploma anatakiwa sasa awe mwaka wa kwanza hapo sina shida lakini vinginevyo lazima tuhoji amefikaje?
 
Binafsi huyo mtoto naona yupo hapo kwa usahihi, maana hiyo system inayoonekana hapo ni ya Nacte, ikimaanisha kua alienda certificate(D 3 zinaruhusu kufanya hivyo), na kisha akaunga diploma, na baadae akaapply degree kupitia Nacte kama inavyotakiwa kwa watu wa equivalent. Na kuhusu kuselect wanafunzi kwa ngazi ya degree Nacte wanafanya hivyo, na nna ushahidi juu ya hilo. Wanachokifanya baada ya kuselect na kupangia wanafunzi katika vyuo husika, yale majina ya waliochaguliwa na kupangiwa vyuo yanapelekwa tcu ili kuunganishwa na mengine ya form six leavers na baadae kupelekwa bodi ya mikopo. Hivyo labda povu liwatoke juu ya huyo binti kupata div 4 form 4, na sio juu ya kusoma degree, maana yupo hapo kwa mujibu wa utaratibu, na wapo wengi kama yeye na wataendelea kuwepo, na walikuepo pia kabla yake
 
mbulula wewe acha ubishi, mimi ni mmoja wapo nilioombea udahili wa shahada kupitia NACTE, na tupo wengi tuu..
ukweli ni kwamba ukiwa umepitia diploma wewe unaombea nacte na f6 tuu ndo wanaombea tcu

inaelekea wewe umeishia form 4 pumbavuuuuuuuuu
Huwa nacheka sana pale unapomnyooshea kidole mwenzako na kumuita kilaza ukasahau kwamba wewe ni kilaza mara mia..
Swali kwako mkuu una uhakika TCU wanadahili form six pekee na kisha diploma kupitia NACTE tu??? Pitia hapa basi ukaondoe kutu kwenye ubongo wako cas.tcu.go.tz halafu uache ubishi wa kindezi...NOAS haidahili wanafunzi bali CAS hivyo soma kabla ya kumwaga mashudu humu jukwaani!!! Nenda kwenye website yenu ya NOAS kisha click kwenye guidelines kisha download bachelor degree programs guide book kisha soma kwa umakini maelezo yake, usipoelewa omba msaada ukikosa njoo hapa nikusaidie msaada..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…