Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Naona UKAWA mmepata pa kupumulia. Rais Magufuli alikuwa sahihi kuwaita vilaza kwa vile mnaoneka a mmetekwa na mjadala wa vilaza
Kwa jibu hili Ni dhahir shair we ni kilaza wa kutupwa
 
Ila mm nimemuachia mungu yaani kiongozi wangu anamuita mtoto wangu aliyepata 4 ni kilaza kwahiyo nilikosea mkuzaa inasikitisha sana
Mkuu kuzaa siyo kosa,kosa ni kumsomesha kwenye nchi yenye mfumo mbovu wa elimu
 
Nashindwa kuamini yani toka jana vijana wa lumumba wameshindwa ku deal na hii story ili ikose nguvu?
Mkuu hii ni habari nyingine.....huu moto unahitaji petroli kidogo ya sugu,mnyika,lema,zitto,mdee....vyuo vikuu vyote vitalipuka
 
Naona UKAWA mmepata pa kupumulia. Rais Magufuli alikuwa sahihi kuwaita vilaza kwa vile mnaoneka a mmetekwa na mjadala wa vilaza
Kauli mbaya hii hata kama una mahaba naye lakini lazima uwe unaamini unachosimamia.Mke wake ni Mwalimu wa shule ya msingi na sifa ilikuwa division four ya 28 na pia kwa kipindi cha nyuma kuna walimu wa upe ambao kikwete aliwaomba wajiendeleze japo wawe na Cheti ya form four. Hizi kauli ni hatari kuliko unavyofikiri na sasa wapinzani ni rahisi kuwashawishi waliofeli sekondari. Mara nyingine kukaa kimya ni busara
 
Hebu turudie tena kutafakari juu ya sakata hili!
Jesca hana kosa ndio maana naomba asijadiliwe!
Baba yake amekosea kwa kuwasema watoto wenu, hilo haliwapi watu haki ya kumuingilia Uhuru wake na kumfanya sehemu ya mjadala wa mapungufu ya baba yake!
Watu wanaweza kufeli form four na kufanya vema ktk level nyingine, ushahidi upo mwingi, Ila shida hapa utaratibu wa kuingia chuo ndio wenye utata!
Kwa kuwa shida ni uingiaji wa chuo na uwepo wake chuoni, sidhani kama binti anaweza kulijibu then tubadili muelekeo wa mjadala uwe juu ya wale waliopindisha utaratibu na kumuingiza binti ktk chuo kikuu!
Kama ushahidi uliopo unatosha kutengeneza kesi basi nyuzi zote zinazomuhusu binti zifungwe na zianze nyuzi za wazazi wake!
Please give her break!!
 
Imeandikwa "usihukumu usije ukahukumiwa na kipimo kilekile upimacho ndicho utakachopimiwa".Huyu mheshimiwa sana Rais wetu amesahau kuwa hupaswi kurusha mawe kwa wengine ili hali unaishi kwenye nyumba ya vioo. Rais Magufuli alitaka kuaminisha umma kuwa yeye ni mchukia ufisadi,uzembe na mtetezi wa wanyonge.Amekuwa akitumia staili ya kuumbua wenzie hadharani wakiwemo watangulizi wake. Hazungumzii suala la Lugumi,Uuzaji nyumba kiholela na kwa vimada, kivuko cha bagamoyo, malipo hewa wizara ya ujenzi na gharama halisi za daraja la kigamboni.Amewadhalilisha watoto wa maskini kwa kuwaita vilaza kwa kuwa wamedahiliwa kusoma diploma kwa matokeo ya form four.Lakini anasahau kuwa bintiye aliyefeli form four amedahiliwa hapo hapo UDOM wala sio diploma bali shahada kabisa! UNAFIKI ULIOJE! Halafu kuna watu wanataka tuedelee kuimba sifa kwa mtukufu Rais.Hapana Rais nae ni binadamu kama wengine.akikosea akosolewe.Amefukuza watoto wa maskini na kuwadhalilisha sana.Familia zao pamoja na watoto hawa wameumizwa sana pengine kuliko hata huyo Jeska angalau yeye ana uhakika na kesho yake wakati maskini hawa hawajui kesho yao.
 

Hivi Mh. Rais kakanusha au kaongelea habari hii?
Mungu hawezi kukupa kila kitu. Na Penye Miti hapana Wajenzi. Ila WaBongo Nuksi. Wamemsubiria JPM kaita watu Vilaza, WaBongo wakafanya yao. Utafikiri walikiwa wanamsubiria.
 
Jamani kama kama kuna mshauri wa baba jesca humu aende tu akamshauri awe anafikiria mara mbili kabla ya kuongea neno lolote..Ipo siku asipokuwa makini neno dogo tu litasababisha mabalaa makubwa...Ona sasa alivyowaita watoto wa watu vilaza na kuwaachia maumivu na maumivu hayohayo yanamjia binti yake...Na kwa hili hatutolala mpk haki ipatikane...Tena huyo jesca mwenyewe kilaza classic mpk kiswahili anapata FM
 
Tafuta hotuba yake nafikiri itakuwa humu....anakiri kusema kwamba wasaidizi wake walimwambia ajiepushe kwenda UDSM kwa muda ....akakataa,akasema mbona zamani alikuwa anaenda, nafikiri wasaidizi waliona mbali kwamba angelikoroga....na pengine kwa kuwa wanasema huyo binti ana ka ulinzi,lazima watu wa usalama walikuwa na matokeo ya huyo binti
 
Pole jesca,watanzania c kwamba hawakupendi hapana hawakufurahishwa na tabia ya babako kuwaumiza watoto wa tznia maskini kisaikolojia kwakuita vilaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…