Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Baba mkulima na mama mkulima na wote hawakusoma lakini watoto wamesoma degree ya kwanza na wengine hadi phd,what does that tell you?
Zamani nyakati 80's hadi 90's mwanzoni palikuwa na watu wenye uwezo mkubwa sana darasani lakini hawakupata fursa ya kujiendeleza, ukilinganisha na ilivyo sasa, kutokana na uchache wa shule.Hivyo wazazi walibaki kuwa wavuvi au wakulima huko vijijini.Watoto wao wameweza kurithi uwezo wa kiakili ndio sbb leo wana hata hizo Phd,ingawaje si wote wenye phd walikuwa vipanga bali wengine walikuwa wanalazisha kitabu kwa mbinu mbalimbali.
 
Huu ndio uhuru wa kutoa maoni mnaotaka wa kumdhalilisha Rais...upo mwisho wake wa haya yote, you will come to regret...

kwetu sisi ni binadamu mwenzetu, kwako wewe ni mungu na hilo ndo tatizo kuu ndo maana unaona kama kufuru
 
Wakuu..
Embu nasisi tupunguze Munkari,
Hili swala tulizike na tusonge mbele kwa kuanza kutoa maoni ni jinsi/namna gani vijana waliofukuzwa watasaidiwaje na Hapo nduoi tuwekee mkazo hasa..
Nawasilisha..
 
Mwacheni Baba Jesca na Elimu ya Mwendokasi ya bintiye. Hana ukilaza wowote.Hiyo yake ni elimu ya Mwendokasi.
Wenye elimu ya kuungaunga mkiongozwa na viongozi vilaza hamtaipenda hii ndo maana dr wenu mtu mzima aliwakimbia mtaishia siasa za maji taka ndo maana Tulia kawashika makario
 
Tuombe mungu kauli hizi zikomee kwa watu wa kawaida sio zifike kwa wale wanaovaa nguo za mabaka kama chui.....unaweza kuongoza hata bila ku-provoke jamii
 
Kwani baba na mama wanakua nae chumba cha mtihani, hihihihiiiii
 
Wakuu..
Embu nasisi tupunguze Munkari,
Hili swala tulizike na tusonge mbele kwa kuanza kutoa maoni ni jinsi/namna gani vijana waliofukuzwa watasaidiwaje na Hapo nduoi tuwekee mkazo hasa..
Nawasilisha..
Mpaka jesika naye afukuzwe UDOM
 
Udom imekua dumping place ya vilaza ndo tatizo LA kuingiza siasa chuoni hata ka alichaguliwa na NACTE ilikuaje wakati wa registration udsm wao huwakataa watu hata kama wamedahiliwa huko walikotoka
 
wala sio haki,tunataka kujua jibu ka hili swali Mtoto wa Magufuli sijui alifikaje Chuo Kikuu?
 
Chuo gani kinatoa Diploma kwa mwaka mmoja?
Januari 2013 mwaka wa kwanza wa stashahada miezi tisa masomo na matokeo. 2013 novemba mpaka 2014 Agosti stashahada masomo na matokeo. Ocktoba 2014 anadahiliwa kuchukua shahada.
Hivi wewe akili zinakutosha? January 2013 mpaka Agost 2014 ni mwaka mmoja? Kwa kuwa umeungana na wapumbavu na ndio wanakushauri, tegemea kuwa mpumbavu wa kudumu.
 
chuo gani kina dahili cheti mwezi januari?
Ngoja nikupe mchanganuo labda utafungua hiyo akili yako kidogo.
Matokeo yametoka mwaka 2012 mwezi wa pili na vyuo vinadahili mwezi wa 9
Mwezi wa 10 2012-7/2013 Certificate
mwezi wa 10/2013-7/2014 Diploma 1
mwezi wa 10/2014-7/2015 Diploma 2
mwezi wa 10/2015 -7/2016 Mwaka wa kwanza
 
Wajuvi huwa wanadai eti mtoto hurithi akili zote toka kwa mama.

Hivyo msimlaumu sana Jesca wala baba yake.

Hiyo ni kwa sababu Jesca karithi hizo akili toka kwa mama yake.

Janeth Magufuli ndo kilaza.....teh teh teh.

Seem baba alikuwa homozygous genius wakati mama alikuwa heterozygous na kwa kuwa offspring Jesca ni mtoto wa nne basi amechukua dominant gene za ukilaza! Nawaza tu biological...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…