Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

AKILI HUTEGEMEA PIA NA MAZINGIRA UKITOA KURITHI KUTOKA KWA BABA AU MAMA AU LABDA ALIPATA KWA BAHATI MBAYA AYO MATOKEO AU UENDE ALISOMA ILIMRADI ANAPENDA KUIMBA AU KUCHORA WAZAZI WENGI UDISCOURAGE TALENT ZA WATOTO WAO.
 
Umenena vema!
Hoja ambazo focus ni baba ni sawa kabisa, shida ni pale focus inapokuwa mtoto!
Hapa umemtaja mtoto in reference to baba, kwa maana concept nzima ni juu ya mapungufu ya baba na sio ya mtoto!
Hicho ndio exactly ninachowaomba watanzania wazingatie!
Kuna sehemu watu wanamshupalia mtoto wa watu naye anahitaji huruma yetu, ni bado binti si vema akaishi na stress hizi!
 
Nyani Ngabu watoto wa kike huchukua IQ genes za Baba na wa kiume kwa Mama. Kwa hiyo hao watoto wa Baba Jesca na Baba Mwanaasha sio kosa lao.Ni sahihi kabisa.

Hiyo nayo sidhani kama iko settled.

Kwa sababu, if anything, Anko Magu Ana uwezo mkubwa sana wa kukariri.

Sasa bintiye vepee?

Hahahaaaa we are going to have a field day with this.

Ila suala la akili ni changamani sana na ndo maana hata sayansi bado haiko settled.

Mtu anaweza kurithi akili toka kwa mzazi yeyote yule na pengine hata asiweze kurithi toka kwa wazazi na akawa na zake tu mwenyewe.
 
Ila mm nimemuachia mungu yaani kiongozi wangu anamuita mtoto wangu aliyepata 4 ni kilaza kwahiyo nilikosea mkuzaa inasikitisha sana
Pole sana mkuu MTU yoyote hana mamlaka ya kumwita mwanao kilaza hata kama kapata division five lakini Kauli yake imeonyesha kuwa hata jesça alifeli ila mbeleko ya mzee ikamubeba kwenda udom.
 
Baba milionea anaweza kulipia shule za private ila mtt kazungusha round about aka ZERO. Baba mkwe kababe mzigo kapewa unyekiti wa chama akatafutiwa phd holder kusaidia kapata Slaa. Zero kaonekan mtu miaka 6 baadaye kawa KUB. Baada ya miaka kumi akatamani kuwa prime minister ile hali anajua hata kuandika barua hawezi. Akaja msanii EL na ahadi kibao. ZERO also knonwn as DJ akatimua PHD akachukua msanii Miezi sita baada ya uchaguzi hajui cha kufanaya. Msanii wake hajitambui akili zimefika mwisho kaleta Dr wa binadamu kuzipa pengo la PHD halisi naye kaishiwa pumzi. Hii ndio short story ya Kiongozi wa nyumbu
 
Lakini

Inawezekana mtihani si kipimo sahihi cha uelewa wa mtu Lakini sio kwa division 4 ya point 30. Tuliopita shuleni na kufanya mitihani tunajua umuhimu wa kupima uelewa wa mwanafunzi kwa mtihani.
Mkuu aliambulia Ds na ki C what of wale wanaokosa hata hizo, Nilikuwa miongoni mwa ambao sikuwa nikipinga hiyo falsafa hadi pale niliposhuhudia waliokuwa vipanga waki turn kwenye ukilaza, na vilaza wakiwa vipanga. Nilipochoka ni pale ambapo niligundua kumbe mitihani huwa inaibwa pia? Rais ni binadamu kama ambavyo tulivyo sisi japo anapaswa kuwa na maono ya kipekee lakini haiondoi ukweli yeye ni mwanadamu
 
Kama kapita njia hizi uloainisha basi ndo ukilaza wenyewe alokua anaongelea Mweshimiwa Rais. Ingawa najua hizo ni fikra zako. Uhalisia hauko hivo..
Nashukuru umeelewa. Tatizo ni wewe kusaini kuwa mfugo mtiifu kwa Mbowe. Mtu awe na stashahada daraja la kwanza unamuita kilaza? Labda isiwe kielimu.
 
Mnajadili mambo msiyoyajua au kufahamu vizuri , kila binadamu ni unique si lazima awe na akili kama wazazi wake , akili hazitengenezwi na mtu ni kitu tumepewa Na Mungu wako., Juhudi binafsi hutofautiana kati ya mtu na MTU, kuna watu wenye akili nzuri lkn hawana juhudi wameishia chini. Na kuna watu na elimu ya wastani lkn wana juhudi sana ndio Maprofesa wetu
 
Kwa kuwa mheshimiwa Rais aliwaita watoto wetu waliopata division 4 kuwa ni vilaza,na kwa kuwa naye ana watoto waliopata dv 4.30 na wapo UDOM wanasoma lakini cha ajabu vilaza wake hawajafukuzwa kama vilaza wetu,na kwa kuwa serikali anayoiongoza ndiyo inayosimamia Elimu yetu inayizalisha maelfu ya vilaza kila mwaka,basi tufike mahali akubali kuitwa Baba kilaza kwa Maana ana kilaza chenye dv 4.30 UDOM na akubali kuwa anaongoza serikali ya vilaza kwa sababu serikali yake ndiyo inayosimamia Elimu.

Tukiyapitia matokeo ya kidato cha NNE 2015,Karibu 80% walipata dv 4 na ziro.Hii inadhihirisha ukilaza wa serikali yake anayoiongoza


Angalia sehemu ya matokeo ya kidato cha NNE 2015 hapa chini:





Kwa matokeo hayo ili kuuondoa ukilaza,serikali inapaswa kuzifunga shule zake zote kwa sababu shule hizo ndiyo zinazozalisha vilaza ambao hawatakiwi nchini.
 
kwani yupo mwaka wangapi mbona mnamuandama sana..... labda aliunga unga kusafisha vyeti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…