Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

Ukiona serikali muda wote imekaa kimya bila kujibu....ngoma nzito,wanapanga data zinagoma, si kawaida hii,tungekuwa tumeshaona ka barua ka msigwa...taarifa kwa vyombo vya habari....Fulani fulani kafukuzwa....kasimamishwa....msumari umegusa mfupa
 
Jibu ni Six wote wanadahiriwa na TCU na ukiona udahiri umefanywa na NACTE basi co six leaver huyo!
Mkuu, tupo pamoja Sana,, Ila Kuna mtu ulimuuliza hili Swali nkawa namsisitiza ajibu.,,
 
Rudia kutafakari nilichokujibu kwani huu mpangilio ni ule mchakato wa kawaida kwa kufuata kalenda za kawaida na si program maalum. Kwa program maalum utaanza mara baada ya matokeo kutoka mwezi wa Machi 2012 kwa astashahada.
Nenda kaulize chuo husika kama hukukuta hii hesabu niliyokupa.
 
TUACHANE NA HUU MJADALA HAUNA TIJA KUNA NJIA NYINGI KWA 2011-2014 KUWA NA VIGEZO VYA KUINGIA CHUO TENA KIHALALI HASA UKIWA NA HELA
Hatuachi mpaka na yeye afukuzwe UDOM-atumbuliwe na baba
 
Matokeo yote nchi nzima yanawekwa kwenye mtandao kwa miaka kadhaa sasa.

Wewe umelala wapi kuhusu hili kwa miaka michache iliyopita?

Kwa nini unapenda sana censorship na kutisha watu?

Hii ni moja ya sababu nchi yetu haiendelei.

Too much respect for authority.
 
Soma vizuri nilichokueleza kwenye hiyo post hakuna mfumo huo wa foundation course hapa Tanzania tena kwa mwanafunzi ambaye yupo Form 4 hilo halipo na kama lipo nipe mfano wa hicho chuo hapa TZ kinachofanya hivyo.
 
Huyu Msororo69 kilaza wa mwendokasi,mpaka magazeti yanatoa!!
 
 
Tofautisha chuo na shule ya sekondari wewe kima. Chuo kinaithibati ya kutoa elimu Kinatunga mitihani yake na kusahihisha kisha kusubiri mtahini wa nje kuthibitisha amtokeo. Sekondari zote na vyuo vya ualimu mitihani yao hutungwa na NECTA na kuisahihisha.
Nazidi kukuongezea ufahamu wewe mfugo wa Mbowe
 
Kima mkubwa kama unataka data ungeenda chuo kilichomdahili binti huyu. Hapa tunaeleza uwezekano wa huyu binti kudahiliwa kuchukua shahada oktoba 2014. Mimi labda uniulize tulikutana wapi na bi mkubwa wako nitakujuza kila kitu
 
Jaman 2011 ilikuwa ni namba so kama mnaijua namba yake weken hadharan ila hapo mnafake
 
Acha ujinga. Matokeo ya form 4 yapo mitandaoni
 
Elewa neno program maalumu. Kwamba toka mwanzo lengo la mwanafuzi ni kumaliza shahada. Kwa kuanza na astashahada.
Hivi jana usiku Mbowe alikuwa amefungia hii misukule kwenye chumba cha giza? Kwenye kipindi cha Kipima Koto jana, Prof Kitila Mkumbo alijibu hiki kitu. Alisema kuwa baada ya wanafunzi wa kidato cha sita kupungua, vyuo viliamua kudahili wanafunzi wa kidato cha nne na kuiita shahada ya miaka mitano. Kwa kauli hiyo kutoka kwa huyu gwiji wa maswala ya elimu nchi, swala hili linawezekana.
 
Umesha ambiwa alisoma certificate magogoni
 
Mkileta hoja zinajibiwa tu. Mbona mimi hii kazi ya kitume ya kuwaelimisha nynyi wapumbavu na kuwatoa kwenye giza naipenda sana.
Tusubiri tutajibiwa na Rais. 'Kama mtu alifanya ufisadi hadharani, atatumbuliwa hadharani' - Magufuli.

Tuvute subira.
 
Du wewe mgumu sana kuelewa! Umeulizwa sana kwamba inawezekanaje kusoma certificate na diploma kwa miaka miwili? Wewe umebaki kumtukana Mbowe. Unadhan kila anayecomment huu uxi ni mwanachadema?


 

Mkuu watoto Saba mbona wachache, mi hapa Nna wa tano, nataka wafike kumi, na mungu amejalia wanabukua vizuri,, kuwa na watoto wengi ni raha,uchumi tu uwe unaruhusu na pia uwe rijali, we umetoka nje ya mada kaka/dada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…