super hero1
JF-Expert Member
- Jul 27, 2024
- 2,339
- 1,888
Ameongea ukweli.Siasa za ndani ya CCM zimegawanyika kwenye makundi manne. Kundi la kwanza ni la koo zinazomiliki chama hicho. Hizo koo ambazo si nyingi, ndizo huamua muelekeo wa CCM.
Kundi la pili ni kundi la pangu pakavu tia mchuzi, kundi la wanasiasa wajuzi ama kwa bahati wanaofanikiwa kufika ngazi za juu za madaraka kwenye CCM. Kundi hili ni kundi linalotumiwa na zile koo zinazomiliki CCM kutengeneza picha kuwa CCM kila mtu anaweza kuwa kiongozi.
Kundi la tatu ni kundi wezeshi ambalo ndani ya kundi hili wapo watu ambao hutumiwa na kundi la Koo za wenye CCM kuonesha kuwa CCM ni chama cha umma.
Kundi la nne ni kundi la wanachama wa kawaida ambao wapo CCM kwa mazoea tu, woga, kujikomba, ujinga, umaskini, na hata ushirikina.
Leo nimemsikiliza mtoto wa Marehemu John Komba (toka kundi wezeshi) akimnasihi mtoto wa Marehemu Job Ndugai toka kundi (Pangu pakavu tia mchuzi) juu ya maisha yao watoto wa Ndugai yatakavyokuwa baada ya baba yao kufariki
View attachment 3439424
Kumbe watoto wa Komba baada ya baba yao kufariki walitelekezwa na CCM😳
Hakuwa mpumbavu, ndio maisha mkuu. Tujifunze tu.
Hawa wazee wengi sio wafanyabiashara wa kweli, wengi ni political power ndio inawapa ulaji, hawalipi kodi stahili, wanapewa mikopo isiyo na kichwa wala miguu. Au hujaona mkopo wa 1 Bil kutoka Bank fulani kwa kiongozi fulani wa Police. Hawa wamezoea mapesa mengi yasiyoeleweka, hayo marupurupu ya speaker mstaafu ni peanuts.
Nguvu ya mamba kumayi! Wakitoka wanapotea mazima.
Kudos dude.!Hakuwa mpumbavu, ndio maisha mkuu. Tujifunze tu.
Hawa wazee wengi sio wafanyabiashara wa kweli, wengi ni political power ndio inawapa ulaji, hawalipi kodi stahili, wanapewa mikopo isiyo na kichwa wala miguu. Au hujaona mkopo wa 1 Bil kutoka Bank fulani kwa kiongozi fulani wa Police. Hawa wamezoea mapesa mengi yasiyoeleweka, hayo marupurupu ya speaker mstaafu ni peanuts.
Nguvu ya mamba kumayi! Wakitoka wanapotea mazima.
Shemeji kumbe nawe umo umoWa Komba walitelekezwa completely hata madai ya baba yao kwenye chama walidhulumiwa.
Kuna yule dada “our age” alibidi aghairi mwaka chuoni auze chakula ili kukusanya ada. Yule ameolewa na mchambuzi wenu wa mpira.
I wish nimjue ili nijue umri wako mbabe wa kinyaturuWa Komba walitelekezwa completely hata madai ya baba yao kwenye chama walidhulumiwa.
Kuna yule dada “our age” alibidi aghairi mwaka chuoni auze chakula ili kukusanya ada. Yule ameolewa na mchambuzi wenu wa mpira.
Sure mimi mzee alikua DC akafariki ghafla niliamua kutembelea kwenye line yangu tu marafiki wa baba ako hawawezi kua marafiki zako mpaka Sasa naisoma number sifahamiki kokote Jua langu Mvua yangu Mwanaume Inatakiwa upambane no matter what msaada utakukuta njianiAlitaka tu kutembelea jina la Baba yake huyu. Your life is your own responsibility.
Vyuo Vya Tanzania Ada ni 1-7MWa Komba walitelekezwa completely hata madai ya baba yao kwenye chama walidhulumiwa.
Kuna yule dada “our age” alibidi aghairi mwaka chuoni auze chakula ili kukusanya ada. Yule ameolewa na mchambuzi wenu wa mpira.
Assets zilizotokana na ccm mara zote zinaisha chap chap before even you know it!Ndugai kaacha assets za kutosha, familia haiwezi tetereka. Hakuacha madeni kama komba.
Ndo ujue kuwa rasilimali za Tanganyika zimetengwa kunufaisha wachache miongoni mwa wengi!Vyuo Vya Tanzania Ada ni 1-7M
Sasa ikiwa alikuwa mtoto wa Komba alikosaje Ada ya chuo , alishindwa hata kuomba wadau wamchangie ?
Kama alifanya hivyo basi huyo Komba Alizaa watoto wasiojitambua Kama alivyokuwa yeye.
Yaani kupitia uwekezaji wake ambao ulimfanya afariki kwa pressure ni zile Shule alizojenga akajikuta anadaiwa Billion of money huku Mali zake zikitishiwa kupigwa mnada.
Nachojua Baba hakujipanga.
Nyimbo zile zimejaa laana kubwa sana!Wembe ni ule ule
Tatizo we si mbea kabisa 😅 Ungeshamjua…I wish nimjue ili nijue umri wako mbabe wa kinyaturu
Shemeji yako mbea mimi.Shemeji kumbe nawe umo umo
Wababa wa kiafrika mna mambo mengi sana.Vyuo Vya Tanzania Ada ni 1-7M
Sasa ikiwa alikuwa mtoto wa Komba alikosaje Ada ya chuo , alishindwa hata kuomba wadau wamchangie ?
Kama alifanya hivyo basi huyo Komba Alizaa watoto wasiojitambua Kama alivyokuwa yeye.
Yaani kupitia uwekezaji wake ambao ulimfanya afariki kwa pressure ni zile Shule alizojenga akajikuta anadaiwa Billion of money huku Mali zake zikitishiwa kupigwa mnada.
Nachojua Baba hakujipanga.
Wababa wa kiafrika mna mambo mengi sana.
Ukweli ndio huo rafiki yetu alikosa ada, hata madarasani huwa watu wanachangiana, ila yeye hakuona hiyo kama option, she worked hard to earn it, na alivyo pisi angeweza kupata hata kwa wababa…
Shemeji amepata mke.
Nyimbo zile zimejaa laana kubwa sana!
True , Ila Komba si ndo aliimba hiyo nyimbo aki brag kuwa ccm Ina wenyewe .Ndo ujue kuwa rasilimali za Tanganyika zimetengwa kunufaisha wachache miongoni mwa wengi!
Na kwamba ccm ina wenyewe!
Na Kwamba the struggle for mental liberation, fairness, equity and reforms is relevant even now!
Nani huyo?!Wa Komba walitelekezwa completely hata madai ya baba yao kwenye chama walidhulumiwa.
Kuna yule dada “our age” alibidi aghairi mwaka chuoni auze chakula ili kukusanya ada. Yule ameolewa na mchambuzi wenu wa mpira.
kujitegemea ni muhimu zaidi katika maisha gentleman 🐒Siasa za ndani ya CCM zimegawanyika kwenye makundi manne. Kundi la kwanza ni la koo zinazomiliki chama hicho. Hizo koo ambazo si nyingi, ndizo huamua muelekeo wa CCM.