Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 6,076
- 15,685
Mkuu nimekuelewa vizuri sana, sasa nimejua hata namna ya kunufaika zaidi ukiwa member.Kuna rafiki yangu anauzaga art pieces kazi yake ilikuwa nikuingia sehem zenye subscription fee ili kuongeza network na connection ameuza pieces zake nyingi kisa hii na gain zake ni over 200+profits per item na akagundua sehemu kama izo ndo kuna high custumers na inakuwa rahisi ku interact nao kuliko sehemu nyingine yeyote....ili upate nilazima utoe
Hivyo ndio viwanja sasa ngoja niongeze bidii ya kutafuta hela.
Wangari njoo uchukue namba yangu ila ule chakula kisizidi tsh 900Kama na wewe ni member naomba hiyo ofa walau nikanywe tu
Siyo kweli Yatch club kuna ustaarabu wa hali ya juu sana...ni eneo unaloweza kuwaacha watoto siku nzima na wakawa salama!Viwanja vya hivyo vya kulipia dola500 ndiyo vinakuwa madanguro watu wanasex uchi kwenye makochi na kutumia madawa ya kulevya waziwazi na mashoga kibao ndani
πππ! Yaan ntakula na kunywa had aibuπ€! Yaan October lazima nitafute namna!Wangari njoo uchukue namba yangu ila ule chakula kisizidi tsh 900
Soda[emoji1787]Makabila mengine wanawpaga nini
Ndio bila shaka, ila ni jukumu langu kupigana kubadilisha hali hiyo...Level yako mi casa tabata magengeni
Muhimu ni kuona vingi kwa kadri ya uwezo wangu..Viwanja vya hivyo vya kulipia dola500 ndiyo vinakuwa madanguro watu wanasex uchi kwenye makochi na kutumia madawa ya kulevya waziwazi na mashoga kibao ndani
Hakujua kama yangetokea hayoNaye anakosea..kipindi Hiki kigumu Sana....anaharibu taswira ya dingi
Huyu ni kama Mchina anakula kila kinachotembeaMbona huko mbali!? Huyu huyu sibnaskia alimla shemeji yake?
Siyo kweli Yatch club kuna ustaarabu wa hali ya juu sana...ni eneo unaloweza kuwaacha watoto siku nzima na wakawa salama!
Hakuna sehemu ya danguro.
Everyday is Saturday......................... π
It's the law of nature. Binadamu hatuwezi kulingana viwango vya maisha.Kwakweli
Wengine Wahaha Huko Mulyabhibhi Daraja La Kikwete Kigoma Hata Hiyo Club Hawaijui
Wengine Vyeti Tele Wanahaha
Acha Tuone!!!!πππΆπ€¨π
Absolutely right.waliokua nazo tusiwachukie tupambane ili nasi tufanikiwe
Asante sana. Nilikuwa na wakati mgumu sana kufaham hili.Dadli
Mbona unaficha ficha pichaYatch club
5 july
Yatch club watu wanakula bata la bei mbaya View attachment 1498743View attachment 1498744View attachment 1498745View attachment 1498746
Kuwa member wa Dar Yatch Club sio jambo la kawaida kwa maisha ya mtanzania. Ada hiyo ya Usd 500, bado hujanunua boti na recreational boat bei ipo juu pale hakuna boti za mbao na outboard injini za 6Hp. Boti inataka usajili, matunzo na wengi pale wanatumia vyombo hivyo kuanzia ijumaa mpaka jumapili.
Kama uswahili kikundi cha kusaidiana ada ikiwa elfu 10 watu watakao toa ni wachache.
Hizo ni sehemu za wenye vipato vikubwa.