Mtoto wa Mbowe, Dudley Mbowe aanguka akiwa Yatch Club, alazwa ICU

Nyakati sizo hizi

 

Attachments

  • 1594026470776.png
    25.9 KB · Views: 12
Asante Madame, Mimi ushamba wangu hapo yatch club ni vyombo vya anasa kama Jeep Panther, Yamaha Offshore 425 XTO, Volvo Penta Marine na Jet Ski. Ambazo naziona huko mitandaoni.

Hapo yatch club najua sio kila member ana miliki boti, Mimi nilizungumzia wale wamiliki ambao watu wamechukulia ni jambo la kawaida.
 
Mimi mwenyewe nimemshangaa Huyo jamaa eti kila aneingia pale yatch eti ana boti.
Mkuu sijasema kila member wa pale ana boti, Mimi nimeongelea gharama kwa upande wa wenye boti hata kama ni ndogo ila kuifanya iendelee kuwa nzima pesa inavyomtoka mmiliki na yeye anatumia kwa starehe tu.
 
Yatch club mwenzangu na Mimi kuingia pale ni Kama kuisaka visa ya kwenda kwa Trump.Nakuombea upone upesi mtoto wa mwenyekiti
Pale hata ukiomba kazi ya kusafisha vyoo hupati,hata kuingia mle ndani huruhusiwi halafu pale watu wanakunywa na kula bila ya kutoa pesa taslimu,pesa inakatwa moja kwa moja kutokana na pesa uliyotanguliza kwanza,ukimuona mswahili anakunywa na kula pale basi jua si wao pato la kati bali ni wa kiwango cha pato la juu.
 
Nimefungua hiko chanzo (Source) kilichowekwa, habari zake sasa...zote za upande fulani!!
Hapa "Mtoto wa Mbowe aanguka...", pale "magufuli afyeka...", huku "Kampuni ya Mwananchi kukwama zaidi...", kule "...alipa TZS Bilioni moja", nk.
Anyway, wacha tusubiri vyanzo vingine
 
Hapa Magu utamsingizia. Mtu anywe konyagi mwenyewe aanguke then usingizie wengine ?Club kijana wa Kikristo anafanya nini ?Mbowe kamrithisha mwanae tabia chafu. Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.
Unataka wote tuende kanisani au msikitini halafu nyie watumishi mtawaombea wakina nani, Usiniambie hujui contribution ya tax katika Maeneo ya starehe haswa kwa wapiga vyombo
 
Hii familia ya kuombea sana, zaburi 23: "nijapopita katika bonde la uvuli wa Mauti hutaniacha"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…