Ukuta unatakiwa kuanzia tofali 9 hadi 10 , ili anaye zifikia zile wire awe kweli ana nia ya kuingia ndani .Urefu wa ukuta unatakiwa kuwaje? Maana fence nyingi ni tofali 8 kutoka kwenye msingi
Sad!. Pole kwa msiba!.Mtoto wa mbunge Mwambe afariki dunia jana akiwa anaogelea na wenzanke nyumbani kwao. Alijirusha kwenye kina kifupi cha maji ndani ya bwawa la kuogelea lilipo nyumbani kwao na akagonga kichwa. Watu wazima hawakuwepo nyumbani chanzo cha taarifa kinasema. Poleni kwa familia
View attachment 2334563
Ookey nimekupata mkuu so tunatakiwa kuongeza tofali moja juu au mbili. Ila si kuna sheria za ujenzi maana kuna fense ndefu kama ngome kwenye makazi sidhani kama inaruhusiwa.Ukuta unatakiwa kuanzia tofali 9 hadi 10 , ili anaye zifikia zile wire awe kweli ana nia ya kuingia ndani .
Sio ukuta unawafikia wapita njia mabegani ,zunaweka umeme wakati mtu anaweza akajigonga kwa bahati mbaya na kugusa deadly current.
Fence ilimfanyaje jmnNiliwahi kuhudhuria msiba wa mtoto mmoja alikufa sababu ya hizo Electric fance....
Mimi kuna mambo kwa kweli hata kama sina hela sijawahi kutamani....
Then huwa wanasema maji ya kwenye swimming pool yana nguvu sana....kunywa vikombe au kupoteza maisha ni Rahisi sana..
Tunawawekea tu pool za kizushi hizi za kitoto kupoza jototujitahidi angalau kupeleka watoto kwenye madarasa kujifunza hivi vitu vidogo vidogo kama kuogelea, boxing, karate nk, madarasa ya language tofauti tofauti nk. Vinasaidia angalau kuwajenga na kulingana na dunia ya sasa.
Hakuna formula hasa ya urefu wa ukuta , ila cha msingi ni kuzingatia kuwa electric fence inawekwa kwenye urefu ambao mtu hataufikia kwa bahati mbaya.Ookey nimekupata mkuu so tunatakiwa kuongeza tofali moja juu au mbili. Ila si kuna sheria za ujenzi maana kuna fense ndefu kama ngome kwenye makazi sidhani kama inaruhusiwa.
Nilidhani electric fence zinatetemesha tu kumbe zinaua kabisa?!Ukuta unatakiwa kuanzia tofali 9 hadi 10 , ili anaye zifikia zile wire awe kweli ana nia ya kuingia ndani .
Sio ukuta unawafikia wapita njia mabegani ,zunaweka umeme wakati mtu anaweza akajigonga kwa bahati mbaya na kugusa deadly current.
Umenifumbua macho juu ya hili. Nilikuwa siyajui madhara yake nilishaanza kutamani. Sasa baaasina ile kitu inaitwa Electric fance....sijawahi kutamani..
Watakuja watu waseme Kinana awarudishe Matrafiki kwa sababu ajali zimekuwa nyingi.
Binafsi am shookNilidhani electric fence zinatetemesha tu kumbe zinaua kabisa?!
Kwa kawaida inatakiwa binadamu atetemeshwe na kupoteza fahamu kwa hadi saa kadhaa, bahati mbaya electric fence zinakuja pia kwa ajili ya zero grazing kwa ajili ya kuchunga wanyama kama mbuzi , hii system haina tofauti n electric fence ya majumbani kimfumo na mafundi wengi wanafunga majumbani kwa sababu ni cheap na wengi hatujuiNilidhani electric fence zinatetemesha tu kumbe zinaua kabisa?!
Unaweza kuwa charged na manslaughterKwa kawaida inatakiwa binadamu atetemeshwe na kupoteza fahamu kwa hadi saa kadhaa, bahati mbaya electric fence zinakuja pia kwa ajili ya zero grazing kwa ajili ya kuchunga wanyama kama mbuzi , hii system haina tofauti n electric fence ya majumbani kimfumo na mafundi wengi wanafunga majumbani kwa sababu wengi hawajui
Zero grazing electric fence pumps out up to 8000volts direct current (DC). hii akikutana nayo binadamu ni msiba!
Unaweza kuwa charged na manslaughterka
Kabisa, kwa sie wa uswahilini , unaamka asubuhi unakuta maiti ya jirani yako chapombe ukutani mwako, alilewa akagusa moto ,sijui utaelewekaje,Unaweza kuwa charged na manslaughter
Ndo hapo wanasema amekamatwa anawanga kakutna na nguvu zaidi yake kumbe kitu cha umemeKabisa, kwa sie wa uswahilini , unaamka asubuhi unakuta maiti ya jirani yako chapombe ukutani mwako, alilewa akagusa moto ,sijui utaelewekaje,