TANZIA Mtoto wa Mbunge Cecil Mwambe afariki dunia kwenye swimming pool

TANZIA Mtoto wa Mbunge Cecil Mwambe afariki dunia kwenye swimming pool

Urefu wa ukuta unatakiwa kuwaje? Maana fence nyingi ni tofali 8 kutoka kwenye msingi
Ukuta unatakiwa kuanzia tofali 9 hadi 10 , ili anaye zifikia zile wire awe kweli ana nia ya kuingia ndani .
Sio ukuta unawafikia wapita njia mabegani ,unaweka umeme wakati mtu anaweza akajigonga kwa bahati mbaya na kugusa deadly current.
 
Ila haya ma swimming pool sidhani kama yana ulazima nyumbani. Wengine wamejenga hawayatumii mpk yamekua greenish. Ni bora uweke masinki makubwa ya kuogea ndani hapo labda uwe umezidiwa kilevi ndo inaweza kufa
 
Mtoto wa mbunge Mwambe afariki dunia jana akiwa anaogelea na wenzanke nyumbani kwao. Alijirusha kwenye kina kifupi cha maji ndani ya bwawa la kuogelea lilipo nyumbani kwao na akagonga kichwa. Watu wazima hawakuwepo nyumbani chanzo cha taarifa kinasema. Poleni kwa familia
View attachment 2334563
Sad!. Pole kwa msiba!.
P
 
Ukuta unatakiwa kuanzia tofali 9 hadi 10 , ili anaye zifikia zile wire awe kweli ana nia ya kuingia ndani .
Sio ukuta unawafikia wapita njia mabegani ,zunaweka umeme wakati mtu anaweza akajigonga kwa bahati mbaya na kugusa deadly current.
Ookey nimekupata mkuu so tunatakiwa kuongeza tofali moja juu au mbili. Ila si kuna sheria za ujenzi maana kuna fense ndefu kama ngome kwenye makazi sidhani kama inaruhusiwa.
 
Niliwahi kuhudhuria msiba wa mtoto mmoja alikufa sababu ya hizo Electric fance....

Mimi kuna mambo kwa kweli hata kama sina hela sijawahi kutamani....

Then huwa wanasema maji ya kwenye swimming pool yana nguvu sana....kunywa vikombe au kupoteza maisha ni Rahisi sana..
Fence ilimfanyaje jmn
Mchana si inazimwa au ilikua usiku?
 
tujitahidi angalau kupeleka watoto kwenye madarasa kujifunza hivi vitu vidogo vidogo kama kuogelea, boxing, karate nk, madarasa ya language tofauti tofauti nk. Vinasaidia angalau kuwajenga na kulingana na dunia ya sasa.
Tunawawekea tu pool za kizushi hizi za kitoto kupoza joto
Kina kirefu wanaenda Olympics?.!
 
Ookey nimekupata mkuu so tunatakiwa kuongeza tofali moja juu au mbili. Ila si kuna sheria za ujenzi maana kuna fense ndefu kama ngome kwenye makazi sidhani kama inaruhusiwa.
Hakuna formula hasa ya urefu wa ukuta , ila cha msingi ni kuzingatia kuwa electric fence inawekwa kwenye urefu ambao mtu hataufikia kwa bahati mbaya.
 
Nilidhani electric fence zinatetemesha tu kumbe zinaua kabisa?!
Kwa kawaida inatakiwa binadamu atetemeshwe na kupoteza fahamu kwa hadi saa kadhaa, bahati mbaya electric fence zinakuja pia kwa ajili ya zero grazing kwa ajili ya kuchunga wanyama kama mbuzi , hii system haina tofauti n electric fence ya majumbani kimfumo na mafundi wengi wanafunga majumbani kwa sababu ni cheap na wengi hatujui
Zero grazing electric fence pumps out up to 8000volts direct current (DC). hii akikutana nayo binadamu ni msiba!
 
Kwa kawaida inatakiwa binadamu atetemeshwe na kupoteza fahamu kwa hadi saa kadhaa, bahati mbaya electric fence zinakuja pia kwa ajili ya zero grazing kwa ajili ya kuchunga wanyama kama mbuzi , hii system haina tofauti n electric fence ya majumbani kimfumo na mafundi wengi wanafunga majumbani kwa sababu wengi hawajui
Zero grazing electric fence pumps out up to 8000volts direct current (DC). hii akikutana nayo binadamu ni msiba!
Unaweza kuwa charged na manslaughter
 
Kabisa, kwa sie wa uswahilini , unaamka asubuhi unakuta maiti ya jirani yako chapombe ukutani mwako, alilewa akagusa moto ,sijui utaelewekaje,
Ndo hapo wanasema amekamatwa anawanga kakutna na nguvu zaidi yake kumbe kitu cha umeme
 
Mtoto alikuwa anasoma St. Mary’s Mazinde Juu, Lushoto. Alikua shule muda wote, form two walifunga shule tarehe 19 August, kwa hiyo alikuwa haja kaa nyumbani hata wiki moja! Wenzake wana rudi shuleni weekend hii! So sad, pole sana Mwambe, mtoto wangu alikuwa anasoma na Cecilia, amesema ni binti mwenye nidhamu, mtiifu, asiye na makuu na uwezo mzuri sana wa masomo!
 
Back
Top Bottom