TANZIA Mtoto wa Mbunge Cecil Mwambe afariki dunia kwenye swimming pool

Alijengewa swimming pool bila kupewa "OPERATIONAL MANUAL"
 
Mwanangu kila kitu anataka ajue eeee
 
Tupo pamoja kwenye hili Rick....

Kuna Swimming pool na ile kitu inaitwa Electric fance....sijawahi kutamani..

Unaweka kuzuia wezi baadaye inakuulia mtoto wako mwenyewe...
Mungu atunusuru na mabaya ya haya mateknolojia
 
Hii inanikumbusha kuna kipindi fulani home kulikuwa na mtoto mdogo mwenye kutambaa,na sie tulikuwa na desturi ya kuyachemshaga maji kwa ajili ya kunywa,kwenye kutambaa si akaikaribia sufuria ya maji jikoni mzee kuona ivyo akasema kuanzia leo hakuna kuchemsha tena maji,tangu siku iyo hadi leo home hatuchemshagi maji dogo kila nikimuambia anacheka tu
 
Kuna wakati mkuu inabidi uwe mbishi tu na kukomaa hakuna namna, vinginevyo unawafanya wanao waje kuwa wasindikizaji tu, Unakomaa mwanao anasoma IST pale mpaka watu wanashangaa wewe ni nani kumbe kajamaa tu kameamua kukaza kanakaa zake Buza huko.
Ushauri mzuri, wewe wako anasoma IST? Au wewe hutaki wako wasome IST?
 
Masikini tunajipa matunaini Sana !

Bodaboda zinaua na kuchinja watu wengi kuliko hata hizo swimming pool na Electric fence Ila mnavyoshupalia hapa utadhani huwa hampandi Bodaboda.

Watu wanakufa hata Kwa kupaliwa na Maji cha msingi ni kuwa makini.
 
Usijikinai hivyo, hata wewe unaweza kuwa na hivyo vyote.
 
Tafuta hela
 
Kina kifupi, amepiga kichwa! mafanikio ya mtu yana siri ngumu, RIP.
 
Tupo pamoja kwenye hili Rick....

Kuna Swimming pool na ile kitu inaitwa Electric fance....sijawahi kutamani..

Unaweka kuzuia wezi baadaye inakuulia mtoto wako mwenyewe...
Be smart.
 
Ile huwa inatokea Mara nyingi kwsbb huwa baadhi ya wenye nyumba usiku wanaconnect na geti au inajiconnect bahati mbaya so ukigusa tu geti ili kufungua au kufunga kaburi hilo....Usiombe mvua inyeshe sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…